Tunaosubiri mshahara wa Januari tukutane hapa

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
4,604
2,000
January ishaanza kufika ukingoni na saa tunasubiri ujira ambao ni haki yetu ya msingi. Najua kuna simbanking na internet banking lakini utamaduni wetu wa kupeana updates tuuendeleze.

Ukiuona mshahara tuambie mithili ya Waislam wanavyojuzana pindi mwezi unapoandama ili wale Eid
 
Top Bottom