Je, ni kweli mshahara wa Mwezi April, 2020 umeshatoka?

Mwalimu kp

JF-Expert Member
Nov 14, 2011
574
486
Habari zenu Wakuu,

Jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja. Kuwa mshahara was mwezi April, mwaka 2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank

Je, kuna ukweli au uhakika wa taarifa hii?

Kama ni ya kweli, kongole kwa Rais Magufuli!
 
Habarini wakuu,jana jioni nilipata taarifa kutoka kwa rafiki yangu mmoja.Kuwa mshahara was mwezi April,2020 umeshatoka.

Na yeye alitumiwa message kupitia NBC Bank.So wadau wenye uhakika,je ni ya kweli hayo?Kama ni ya kweli,kongole kwa mh Rais!
saa nyingine uwe na aibu. mshahara wenyewe shilingi ngapi hata wiki haifiki
piga kimya.
kuajiriwa ni utumwa na naona unaufurahia
 
Back
Top Bottom