Jamii huwa inapata fedha zao kwenye mzunguko kupitia wenzao wenye ajira, kwakuwa wao hawana njia yoyote ya kupata hela kutoka hazina moja kwa moja. Serikali inatoa fedha hazina kuwalipa watumishi, makandarasi na watoa huduma. Baada ya makundi haya kulipwa ndio wanazipeleka hela hizo kwa wananchi...