Wakuu, mmoja wa wapenzi wangu hunitafuta anpoona mshahara umekaribia. Yaani kuanzia tarehe 20 anakesha na mimi mpaka tarehe 26 nikipokea tu mshahara anapotea.
Haombi pesa lakini binafsi huwa nampa 50,000 asubuhi akiondoka ndio hutasikia kapiga simu wala kutuma sms ila ikifika tarehe tajwa...