msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Chacha Steven Mokiri

    JamiiForums Tanzania Msaada: Naomba anayejua jina la huu wimbo anisaidie na jina la msanii!

    Kwa anayejua jina la huu wimbo anisaidie ni muhimu sana. https://www.instagram.com/reel/Czn5se0IMrm/?igshid=MTdlMjRlYjZlMQ==
  2. Expensive life

    JamiiForums Tanzania D voice ndio msanii aliyefeli kuliko wasanii wote waliowahi kutambulishwa na WCB

    Dogo amepoa sana kama uji wa sembe, hana amsha amsha, mziki wa bongo unahitaji uandishi mzuri na drama kwa wingi ili uende mjini. Diamond platnumz licha ya uandishi wake mzuri alikuwa na drama nyingi, rejea harmonize, rayvann, mbosso, zuchu hawa wote wimbo wao wa kwanza tu uliwapeleka mjini...
  3. LIKUD

    JamiiForums Tanzania TANZIA Zahara wa Afrika Kusini afariki Dunia. Imedaiwa aliwekewa Sumu na Ndugu yake katika Sherehe ya Baada ya Mahari

    Habari ya kwanza niliyokutana nayo leo kwenye mitandao ya kijamii inahusu kifo cha mwanadada Mwimbaji Bulelwa Makutukana ( Zahara) kilicho tokea jana huko Johanesburg baada ya kuugua ini kwa muda mfupi. Zahara amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 35. Binafsi nitamkumbuka sana Zahara kwa...
  4. Msanii

    JamiiForums Tanzania Happy Birthday Msanii🌷🌼🌻, lakini unanikera aisee

    Happy birthday kwako (kwangu) Msanii Leo umetimiza miaka kadhaa tangu uanze kupumua juu ya ardhi hii ya wadudi. Natumaini umejifunza mengi na kuona mengi kwenye dunia hii hii ambayo ni nzuri kwa wachache na shubiri kwa wengi. Ombi lako (as birthday wish) kwa uongozi wa JamiiForums kwamba...
  5. S

    JamiiForums Tanzania Sina ushabiki wa kitimu kwenye muziki, ila Harmonize ni msanii wa ovyo sana

    Mimi huwa nashabikia muziki mzuri bila kuwa na U-team kama ambavyo dhana hiyo imejengwa hapa Bongo. Mfano: Team Diamond, Team ALIKIBA, Team KONDE n.k. Mimi msanii yeyote tu akiimba ngoma kali namkubali bila kujali ni Mondi,Kiba au yeyote yule. Unajua msanii ili u-maintain kwenye game ya...
  6. DogoWaNjombe

    JamiiForums Tanzania Msanii Harmonize ‘Konde Boy’ alivyotibuana na Mabaunsa Uwanja wa Mkapa, ngumi zarushwa

    Inadaiwa Msanii Harmonize na team yake ya Konde Gang walienda VVIP kwa ajili ya kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Morocco kuwania kufuzu Kombe la Dunia 2026, wakati wa mapumziko, jana Usiku wa Novemba 21, 2023. Watu hao wakashuka kwa lengo la kuelekea Uwanjani inaaminika wlaitaka kwenda...
  7. Chinga One

    JamiiForums Tanzania Wimbo wa Msanii Darasa "I don't care (it's holiday)

    Chorus Kali sana na melody imetulia ila amezingua kwenye mashairi ya kitoto hajayapangilia,nadhani hakua serious na hii ngoma, angetuliza kichwa hii ngoma inebamba zaidi ya hapa sababu inaendana na sana na msimu huu wa sikukuu. Kama anaweza mwanetu angefanya remix na kuweka mashairi kwenye...
  8. The Dictator

    JamiiForums Tanzania RASMI: WCB wasafi wamtambulisha msanii wao mpya; D VOICE

    Katika usiku wa SWAHILI NIGHT iliyoandaliwa na lebo namba moja ya muziki nchini Tanzania; tarehe 17 november, wamemkaribisha msanii ambaye atakuwa chini ya Lebo hiyo ajulikanaye kwa jina maatufu kama D VOICE. D VOICE si msanii mgeni sana katika masikio ya wapenda burudani ya mziki nchini...
  9. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

    Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo. Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na...
  10. M

    JamiiForums Tanzania Kwa hii ngoma ya msanii Diamond iitwayo Pound and Dollars ni rasmi ameanza kurudi kwenye Muziki mzuri

    Ukikaa Kwa makini ukatenga muda wa kuisikiliza hii ngoma utaungana na Mimi kuwa Diamond wa nenda kamwambie, karudi..wimbo mkali sana kuanzia mashairi, melody, nk.kifupi hizi ndio nyimbo wenye akili tunaenda kusikiliza.
  11. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya MTV Msanii Bora Afrika, amgaragaza Burnaboy

    Msanii Diamond Platnumz ameshinda tuzo ya Msanii Bora kutoka Afrika kwa mara ya 3 katika mashindano ya MTV Europe Music Award 2023 ( MTVEMA2023 ) diamond amewashinda Asake, BurnaBoy   (Nigeria) Libianca (Cameroon) na TylerICU (Dj wa Afrika Kusini). Hongera sana sisi wanaJF tunathamini...
  12. D

    JamiiForums Tanzania Anafungiwa msanii, but not video director na crew nzima. Basata kama shule hawana

    issue ipo hivi, wasanii wanatunga nyimbo, video director na all credited members ndo wanahusika kwenye video FUNNY PART : DIRECTOrs na credited members wao wapo salama. ila msanii anafungiwa. yeye kashooT tu. mtoa idea yupo anaendelea na kazi? why? BASATA ARE SHALLOW : Okay wasanii...
  13. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Wasafi Record Label kutambulisha msanii mpya katikati ya Novemba

    Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi kipya. Mapaparazi wengi wakedai msanii huyo uenda ni wa nyimbo za Singeli
  14. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania WCB Wasafi wanaenda kumtambulisha msanii mpya November 2023

    Linaletwa balaa jipya mjini, naweza sema ile kiu ya kuona wasanii wetu kwenye majukwaa mazito kama kima Rema sasa inaenda kukatwa. Topnotch talent sio mbambamba. Let's count God bless WCB
  15. Eli Cohen

    JamiiForums Tanzania Kiukweli, sio upendeleo au mapenzi, ila huyu ndie msanii bora wa kike hapa Tanzania

    Kuna kitu special kilichopo ndani ya huyu mdada. Despite na uigizaji na uandaji mbovu wa filamu bongo lakini unapokutana na huyu mtu hata kama umekosea chaneli lazima utafurahishwa na uigizaji wake.
  16. Determinantor

    JamiiForums Tanzania Aonavyo Boniface Jacob kuhusu msanii kuvunjika jukwani Mapokezi ya Makonda

    Anasema hivi..... See new posts Nitoe pole kwa msanii aliyepata ajali ya kuvunjika uti wa mgongo katika jukwaa la CCMAkiwa anafanyia kazi ya kucheza muziki wa dansi wakati CCM ikimpokea Makonda. Pole kwa msanii husika, wasanii wote na pole kwa familia yake. Nimesikitishwa na kauli za kejeli...
  17. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Diamond Platnumz ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF (AFCON). Kama atatokea mwingine anarudia

    Ogopa matapeli, Diamond Platnumz (shabiki damu wa Yanga)ndio msanii wa kwanza toka Tanzania kuimba jukwaa kubwa la CAF aliimba kwenye AFCON Gabon 2017. Tunaweka kumbukumbu sawa ili kuondoa upotoshaji wowote unaoweza kuja kufanyika.
  18. sky soldier

    JamiiForums Tanzania Weka hapa msanii alieweza kupata umaarufu nchini akiwa bado yupo mkoani

    Wasanii wengi wanaofanya kazi zao mikoani huwa wanaishia kutamba hukohuko mikoani lakini wapo wachache ambao walivuka boda na kupata umaarufu nchi nzima. Uzi huu tuwataje wasanii waliofanya kazi zao mikoani lakini zikahit na kuwatambulisha nchini. Marlaw - Iringa Marlaw baada ya kumaliza...
  19. Mhaya

    JamiiForums Tanzania Msanii Usher Raymond asikitishwa na mauaji ya Israel na Palestina, na kisha badae kufuta post hiyo huko Instagram

    Msanii kutokea nchini Marekani Usher Raymond katika mtandao wa Instagram ameonesha wasiwasi wake juu ya mambo yanayoendelea huko Israel na Palestina ikiwemo vifo vya watu zaidi ya 1000, utekaji wa wanaume, wanawake na watoto huku akisisitiza kuhusu kuzingatia uhai wa Bindamu, katika maelezo...
  20. Leak

    JamiiForums Tanzania Msanii Ray Vanny ni mmoja ya Wasanii wasiotumia akili kabisa!

    Nimekuwa nikifatilia baadhi ya show anazofanya msanii RayVany kwenye show zake hasa za Wasafi festival! Kusema ukweli ni msanii ambaye amekuwa akiwekeza sana kwenye show hizi sana sana hata kushinda Diamond mwenyewe na amekuwa akiwahamasisha wengi kufanya uwekezaji! Lakini mara nyingi inasemwa...
Back
Top Bottom