msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Kasomi

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Grand P, Msanii mwenye mvuto wa aina yake

    Jina la kuzaliwa: Moussa Sanguiana Kaba Mwaka wa kuzaliwa: 1990 Umri: Miaka 31(mwaka huu 2021) Kuzaliwa: Sanguiana (Guinea) Raia: Guinea Kipaji: Mwimbaji, muigizaji, mtu wa mitandao ya kijamii na mwanasiasa Aina ya muziki: Hip hop Miaka ya kazi: Tangu 2019 suala la kiafya: Kuugua...
Back
Top Bottom