Anafungiwa msanii, but not video director na crew nzima. Basata kama shule hawana

Danielmwasi

JF-Expert Member
May 3, 2021
1,000
1,989
issue ipo hivi, wasanii wanatunga nyimbo, video director na all credited members ndo wanahusika kwenye video

FUNNY PART : DIRECTOrs na credited members wao wapo salama. ila msanii anafungiwa. yeye kashooT tu. mtoa idea yupo anaendelea na kazi? why?

BASATA ARE SHALLOW : Okay wasanii wamefungiwa ila madirectors wa video wanaendelea kutoa video. makosa wana solve shallow . ili YAJILUDIE, not everyone is involved to the point after few days mambo yale yale tena.

Conclusion:

1. BASATA HAWANA KAZI, WANATAKA KUONEKANA WANAFANYA KAZI. KWA KUTOKUSOLVE MATATIZO PERMANENTLY.

2.BODI YA FILAMU na BASATA are separate organisations. kwanini?? i mean directors wa video don't actually answer to basata. 😂😂. TANZANIA KUNAVITUKO.

(these two should be one organisation)
nani ametuloga we separate them..
 
You have a point, all those who were responsible for making the video should be banned, namaanisha sio kila mtu hadi dancers but wale vichwa wa hio project.
Kabisa. They should all be responsible. and maadili should be part of there contract clause. Before production
 
Ni mwendo wa kutafuta kasoro KWA kwenda mbele. Wangewafungia hao wote ungeweza kuna kutaka mwanamuziki tu ndio ahusike
 
Sieleweshwi na wapumbavu mimi. Idea ya wimbo + wimbo ni wangu, video ni Yangu, Location nachagua mimi, wewe kazi yako ni kushuti tu. Then afungiwe Director? Achana na matako tumia kichwa kufikiri POPOMA
akili huna, digital rights ujui hata how it works. i dont do dumb people, so pita hivi. you sound mtu wa uswahilini wale wajuaji, awajui. so please dont commet again
 
Sieleweshwi na wapumbavu mimi. Idea ya wimbo + wimbo ni wangu, video ni Yangu, Location nachagua mimi, wewe kazi yako ni kushuti tu. Then afungiwe Director? Achana na matako tumia kichwa kufikiri POPOMA
Location anachagua msanii??
Unaonekana hujui kazi za director kweny video production.
 
Idea ya video anatoa mwenye wimbo, na yy ndio mmiliki. Tumia akili yako vizuri.
Idea sio lazma itoke kwa msanii tu sometimes na mara nyng director ndo huwa wanakua na ideas wasanii wanafanya kumjazia tu au kumuacha director afanye yake,ila point ya msing msanii ndo finally huwa anakabidhiwa kaz na kuamua ipande lini..

So bila kujali idea imetoka kwa nani ila msanii ndo anatakiwa kuwajibishwa
 
Ni mwendo wa kutafuta kasoro KWA kwenda mbele. Wangewafungia hao wote ungeweza kuna kutaka mwanamuziki tu ndio ahusike
sio kweli. its should be all to solve the problem and maadili clause should be involved in cotracts among artists and directors
 
Mzee umejaribu kuandika ila hauko sahihi mana msanii ndo mtu wa mwisho kuruhusu kaz yake iende mjini,kwa lugha rahis iyo video ni mali ya msanii na sio director,so ni sahihi kwa 100% kumfungia msanii peke yake
sio kweli ni mali ya wote. ni bongo tunaraisisha vitu. creativity si ya msanii pekee. but all credited individuals
 
sio kweli ni mali ya wote. ni bongo tunaraisisha vitu. creativity si ya msanii pekee. but all credited individuals
Jiulize:-
-msanii alikuwa haoni upotofu katika wimbo/video hiyo(ambayo mimi najua ni yake)?
-msanii akishamlipa director na wengine,Ina maana wote wanaumiliki wimbo/video?
-msanii hana akili ya kujitegemea/utashi wake hadi ahusishe makosa ya wimbo wake kwa watu wengine?
 
Back
Top Bottom