msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. Sajo

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii wa HipHop SALU T afariki dunia

    Msanii mkongwe wa Hip Hop nchini, Salutaba Mwakimwagile maarufu kama Salu T amefariki dunia jijini Mbeya leo tarehe 15 Aprili 2023. Msanii huyo amefariki akiwa anaendelea kupewa matibabu katika Hospitali ya Rufaa ya Mbeya. Akitoa taarifa ya awali, Msanii mwingine wa HipHop, Taikun Ally maarufu...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Msanii Tiwa Savage anusurika kutekwa

    Msanii tajwa hapo juu kaponea chupu chupu jaribio la kutekwa na mpaka sasa watuhumiwa kadhaa akiwemo dereva wake mpya wako mikononi mwa police wakibinywa korodani. -- Popular singer, Tiwa Savage has confirmed escaping from a security breach at her residence – widely reported online as a kidnap...
  3. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Kwa mujibu wa Google, Diamond Platnumz ndio msanii anaefatiliwa zaidi Africa 2023

    Diamond Platnumz ndio habari kubwa mpaka sasa Africa. Ndio msanii pekee yeye na Davido wanaozungumzwa na kufatiliwa zaidi hapa Africa. Je Diamond Platnumz ni mkubwa kuliko Bongofleva? Inawezekana lisiwe swali ili.
  4. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Msanii Mimi Mars atamani kupata mtoto

    MSANII wa Bongo Fleva, Marianne Mdee ‘Mimi Mars’ ameweka wazi kuwa anatamani kupata mtoto. Mimi Mars amesema baadhi ya watu wanadhani kuwa hapendi kuwa na mtoto, isipokuwa aliamua kujipa muda kidogo na kwamba hivi karibuni ataitwa mama. “Kila kitu ni mipango hivyo nilikuwa najipanga nikiwa...
  5. sinza pazuri

    JamiiForums Tanzania Epuka matapeli. Kamala Harris hamjui msanii yoyote kwenye playlist inayozunguka

    Huo ni mchongo wa kuokota trend songs za wiki hii huko apple music kisha unadanganya waafrica. Hauitaji kuwa genius kuona ilo. Wabongo tupige kazi tuufikishe mbali muziki wetu safari yetu bado ni ngumu. Huyu mmoja anaetuwakilisha nje siku hatokuwepo na tutarudi enzi za dharau. Say no tu janja...
  6. Oscar Lyrics

    JamiiForums Tanzania Msanii 20% amepotelea wapi?

    Ni msanii mwenye kipaji kikubwa mno. Nakumbuka baadhi ya nyimbo zake kali kama: 1. Mama Neema 2. Binti kimanzi ft Bushoke 3. Ya nini malumbano 4. Tamaa mbaya nk.
  7. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania Kipi kinamfelisha msanii Ruby kuendelea kufanya vizuri katika muziki?

    Ruby, moja ya wasanii wenye vipaji vikubwa katika muziki, kuanzia sauti mpaka uwasilishaji wake lazima vitakuvutia. 👉 Nyimbo kama Jela, Yule na Forever ni moja ya hits pendwa, ambazo zimeendelea kumpa sifa au kuuonyesha ubora wake. 👉 Nimejiuliza kipi kinachomfanya asiendelee kuwika katika zama...
  8. Rebuild

    JamiiForums Tanzania Msanii wa Hip Hop Bongo Boshoo asaidiwe uwandishi

    Boshoo kama upo humu hii ni yako.. Style yako ya kurap na uwandishi bado ni moja tu. Tangu....atoke Tanga hadi kwenda dar kutafuta tobo bado ni hivyohivyo tu.. Clouds Media wanambeba lakini wapi.. Eti naye kamchana Dizasta Vina 😂😂😂😂 dogo kazingua.... Nendeni kaskilizeni track yake mpya EL...
  9. Intelligent businessman

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Costa Titch afariki dunia baada ya kudondoka stejini

    Taarifa zilizothibitishwa zimeripoti kuwa msanii Costa Tich amefariki dunia. Msanii huyo alikuwa akifanya onyesho stejini, ndipo alipo anguka ghafla na kukumbwa na umauti.:👉 👉 Taarifa za kina zaidi, kuhusiana na chanzo Cha kifo bado hazijajulikana. Zaidi ya kusemekana ni ajali tu. Miongoni...
  10. BARD AI

    JamiiForums Tanzania Nicki Minaj aanzisha Record Label yake, amsaini msanii kutoka Ghana

    Siku chache baada ya kuachia ngoma mpya ya “Red Ruby Da Sleeze”, Rapa huyo kutoka Marekani ameweka wazi ujio wa Label kupitia #QueenRadio inayoruka kupitia Amazon Amp. Amesema Lable hiyo itakuwa chini ya #RepublicRecords na tayari amewasaini wasanii chipukizi ambao ni London Hill, Tate Kobang...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Msanii wa bongo movie akiwa ametokelezea na mwenzake. Ila sasa🙄

  12. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Msanii Macvoice na tuhuma ya utapeli kwa mwanafunzi

    Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm. 📌Habari kamili. Na Hemedyjrjunior. 👇 Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy , ambayo inafahamika kama Next level inayopatikana Dar es salaam Tanzania. Moja ya story ambazo...
  13. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Msanii anatakiwa kulipwa na Media au yeye ndo alipe

    📌Tuanze na Media za bongo| Media zipo kwa ajili ya kuhabarisha na kuburudisha( maana ake kutoa huduma kwa jamii kutobagua habari ya kufikisha kwa jamii , tukija kwenye burudani hapa Media za bongo kwasasa wimbo wako hausikik kwa Media bila pay au wimbo wako kupata air time bila kutoa pay . Afu...
  14. Hemedy Jr Junior

    JamiiForums Tanzania Haya wazee wa masong challenge hizi ni lyrics za wimbo gani na msanii gani na anatoka wapi?

    Say nobody fit to stop my shine I no fit die ’cause it’s not my time Man, I’m on my grind And na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh-oh-oh See, I don’t care about no enemies They envy me, they tryna get to me But na only money dey my mind Sey na only money dey my mind Oh, eh...
  15. Mkweche II

    JamiiForums Tanzania Msanii Hammer Q yupo wapi siku hizi?

    Kwema wakuu? Naulizi msanii hapo juu yupo wapi siku hizi maana sijamsikia kitambo? Mwenye taarifa zake aweke hapa.
  16. K

    JamiiForums Tanzania Msanii chidi Benzi kutunikiwa phd ya heshima katika muziki

    Kulingana na mchango wake mkubwa katika kuukuza muziki wa kizazi kipya napendekeza msanii mkongwe Chidi Benzi apatiwe PhD ya heshima sasa akiwa hai kama alivyopatiwa Babu Tale
  17. Chachu Ombara

    JamiiForums Tanzania TANZIA Msanii Albino Fulani afariki dunia nchini Marekani

    Msanii wa Muziki na Mwanaharakati wa haki za Watu wenye Ulemavu wa Ngozi nchini, Babu Sikare maarufu kama Albino Fulani amefariki dunia. Habari hizo za msiba zimetolewa katika ukurasa wa Twitter wa MwanaFa. Pia soma > Mkasi - SO2E09 With Babu Sikare (Albino Fulani) -- Jina lake ni Babu Sikare...
  18. Wakili wa shetani

    JamiiForums Tanzania Huyu msanii Appy ni moja ya vocalist wakali sana wa kike, ni vile tu hana platform ya kumtrendisha

    Nimegundua miaka hii tunasikiliza mziki mbovu kuliko wazee wetu. Tunasikiliza mziki kutokana na umaarufu wa mwanamuziki na si talent yake. Na kama tujuavyo, umaarufu ni kujitangaza tu. Huyu msanii ni mkali sana. Vocals zake ni za kipekee sana.
  19. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania REVIEW: Makosa matano (5) yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Inauma ya msanii Aslay

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 6 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF Lakini pia nitaipost Twitter. ____________________________________ Video imetoka majuzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka 2023. Ikiwa imeongozwa na director Majagi. Mpaka sasa tarehe 6...
  20. Ali Nassor Px

    JamiiForums Tanzania Makosa matano yaliyoonekana kwenye video ya muziki ya Zuwena ya msanii Diamond Platinumz

    Imechambuliwa na kuandikwa na Ally Nassor Px . Tarehe 5 February 2023. Sehemu ya kwanza kuipost ni hapa JF sehemu ya pili itakuwa ni Facebook na mwisho kabisa nitamalizia Twitter. ........................................................... Video imetoka juzi Tarehe 3 mwezi wa pili mwaka...
Back
Top Bottom