msanii

1. Mbunifu, mtu anayejishughulisha na kazi za sanaa kama vile kuchora, kuchonga, kuimba.

2. Mtu muongo au mjanja mjanja, asiye mwaminifu.
  1. B M F ICONIC

    JamiiForums Tanzania Msanii Rema anamzidi mbali Diamond Platinumz kifedha

    Kwa vigezo Hivi. Moja kwa moja twende kwenye Mada. 1. STREAMS KWA UPANDE WA SPOTIFY Kwa upande wa hizi streaming platform Apple music ndo uongoza kwa kulipa vizuri ikifatiwa na Spotify, Youtube hulipa pesa ndogo zaidi. Kama unavyoona hapo chini Ikumbukwe Diamond ni kinara upande wa Youtbe...
  2. KENZY

    JamiiForums Tanzania Hapa kwetu Tanzania msanii gani unafikiri ni mkali wa miondoko ya R&B?

    Binafsi kete naitupa kwa TID na Marioo hapo ni upande wa wasanii wakiume kwa wakike nafikiri maunda zorro na Vumi. TID Mario Maunda Vumi
  3. Augustking

    JamiiForums Tanzania Namtafuta msanii wa kuimba

    Habari wana JF Natafuta msichana kijana mwimbaji mwenye mwonekano wa pop anayejua kuimba kwa Kiingereza katika maeneo ya sinza. awe age kati ya 18 - 21. Kuna nyimbo za kingereza ambazo atakuwa anaimba kwenye crowd. NAOMBA TUWASILIANE KWA NJIA YA WHATSAPP +255 759 702 766 nitumie: Whatsapp...
  4. secretarybird

    JamiiForums Tanzania Msanii Bando MC hajui 'Ku-Rap'

    Wakuu nimepata wasaa wa kusikiliza nyimbo nyingi za BANDO MC kwa umakini nikagundua kuwa jamaa hajui ku stick kwenya mada hadi akaeleweka, anachojua ni kutamka maneno yanayochekesha watu hasa watoto wa2000+ ambao hawajui muziki wa rap ukoje. Unaweza kukuta Kila neno katika mstari linaelezea...
  5. USSR

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi ya Nyerere: Familia ya Mwalimu Nyerere yawataka wasanii kuacha kutumia jina la Baba wa Taifa kama ubin wao

    Familia ya Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere imewataka wasanii wanaoigiza sauti za viongozi akiwemo Baba wa Taifa kuanza kutumia majina yao halisi badala ya kujitambulisha kwa majina ya viongozi wanaoigiza sauti zao na kuleta mkanganyiko. Msemaji wa familia hiyo ambaye ni mtoto wa sita wa...
  6. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania TID Afichua: Nilijuta kuwa msanii kutokana na kuzuia nyimbo zangu kwenye Redio kwa Miaka Mitano

    Legend wa Bongo Fleva, Khalid Mohamed maarufu TID, amefunguka kuhusu majuto aliyoyapata akiwa msanii. Akizungumza kwenye mahojiano na My Reply Show, TID ameeleza kwamba kitendo cha baadhi ya vituo vya Redio kuzuia kucheza nyimbo zake kwa zaidi ya miaka mitano na kukosa matamasha yao amekiri kuwa...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Kushushwa jukwaani kwa msanii akiwa anatumbuiza

    Ni vipi wandugu,niende moja kwa Moja kwenye mada.Juzi kati tumeshuhudia msanii akishushwa jukwaani punde tu baada ya kuanza kuiburudisha hadhira yake.Hili linaleta taswira flani yenye sintofahamu .Cha kujiuliza ni kwamba Je msanii aweza akawa amewakwaza hadhira au hadhira wamejawa tu na stress...
  8. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania MSANII G - SOLO

    Tunaendelea.. Msanii G - solo : Nilikuwa katika Album Yao " Gangster with Matatizo " G.w.m" inaitwa " Mikosi" Album ambayo ilikuwa ina nyimbo kama vile. Side.. A. 1. Yamenikuta Featuring – Mr II 2. Bwana Kidevu Featuring – G Solo (2) & Mc Steav 3. Mguu Nje Featuring – Dolla Soul 4...
  9. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania MSANII G - SOLO

    Tunaendelea pale tulipoishia kwenye kipande kilichopita , mahojiano yangu " Ukwaju wa kitambo na msanii " G solo" Msanii G solo : Kaka yao na wale kina Dada Crew ya " Unique sistes" ilinipa support kubwa sana kwenye upande wa ghalama za usafiri kutoka Dodoma hadi Dar es Salaam, ukaribu wetu...
  10. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Msanii G - solo

    MSANII G - SOLO "Msanii wa Tanzania Gerald Mwanjoka ‘G-Solo’ aliyewahi kurekodi wimbo mmoja na msanii maarufu wa hip hop wa Marekani LL Cool J uliojulikana kwa jina la Hip Hop Is Everywhere.. Pamoja na ule wimbo uliomtambulisha vyema Hapa Tanzania akiwa amemshirikisha msanii Inspector...
  11. Kisesetusese

    JamiiForums Tanzania Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID

    Kuna wakati naona sijawahi kukutana au kusikiliza kazi za msanii smart kama TID. Huyu jamaa kama utakurupuka hutaelewa..he is the smartest artist on earth
  12. Vincenzo Jr

    JamiiForums Tanzania Msanii Ali Kiba aachia EP yake ya "STARTER The EP"

    “STARTER the EP” Officially Out now Worldwide, Stream on All Music Streaming Platforms, Enjoy!!! Bongo Flava Ndio Fahari Yetu, “STARTER The Ep” iko Hewani Kete ziko saba chaguo ni lako. Enjoy As promised, 20th imefika Let me present to you “Starter The Ep” to you all my beloved fans, Now Out...
  13. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa msanii 50 Cent kutoka nchini Marekani hataki kufanya kazi

    MSANII 50 CENT "Mwanangu, Marquise Jackson ana umri wa miaka 25 na bado anaomba msaada wa mtoto. Bado nampa $6800 kila mwezi lakini anasema hazitoshi." 50 Cent "Mafanikio yalinigharimu uhusiano wangu na mwanangu wa kwanza, Marquise. Lakini hana akili, akiwa na umri wa miaka 25, haoni aibu...
  14. ukwaju_wa_ kitambo

    JamiiForums Tanzania Historia ya msanii Bab Lee

    HISTORIA FUPI YA MSANII BAB LEE KATIKA TASNIA HII YA MUZIKI WA BONGO FLEVA.. "Bab lee jina langu halisi naitwa "Ally Omary " kiukweli mimi kwenye mambo ya muzuki nimeanza toka mwaka 2000 kwahiyo mpaka sasa nina Takribani miaka 24 katika game hii ya Bongo fleva. Tangu nilipoanza Muziki...
  15. Marco Polo

    JamiiForums Tanzania Msanii Jay Combat ni Jiwe la thamani lisiloonekana

    Nilikuwa kwenye daladala jioni moja kutoka kwenye pirika zangu mara ndani ya gari Kuna wimbo ukawa unapigwa nakumbuka kiitikio tu " Wivu mama" ulinivutia sana ule wimbo hasa sauti ya mwimbaji na mashairi yake na ukizingatia ulikuwa ni wimbo wa singeli ikabidi niingie YouTube kutafuta ni msanii...
  16. M

    JamiiForums Tanzania Kwahiyo hamna msanii hata mmoja aliyetoa, nyimbo ya maombolezo ya Ally Kibao?

    Hivi wasanii tukio wanalijua au wamejikausha, Wasanii wanabagua viongozi wa kuwaimbia au inakuaje? Wasanii hawa mfano msechu muda kama huu keshatoa nyimbo 10 , iweje kifo cha mshauri wa chama cha chadema yuko kimya! Hawa wasanii mnawaelewa kweli au inakuajekuaje? Nauliza je wamepost hata kutoa...
  17. B

    JamiiForums Tanzania Genius JiniX66 Bonge la msanii

    Huyu amemshirikisha Jay Melody katika ngoma yake kali FAR AWAY .Mwanzoni nilijua ni Mnaija mpaka nilipo mgoogle ndo nikajua m TZ.Nilishangaa sana.Kilichonishangaza zaidi ni mshamba wa kuvaa kama Marioo ! Nikashangaa zaidi inakuwaje Jay Melody anaruhusu hilo ? Sasa alieshirikishwa ndo kapendeza...
  18. Meja Jenerali Isamuhyo

    JamiiForums Tanzania Msanii Q Jay ameokoka siku hizi

    Mnamkumbuka msanii wa Bongofleva Q Jay kutokea kundi la Wakali Kwanza? Siku hizi ameokoka na kumrudia Mungu. Inasemekana kipindi cha nyuma alipitia wakati mgumu wa uraibu wa pombe na madawa. Hivyo hii ni habari njema sana!! Mungu ni mwema kila wakati!!
  19. Suley2019

    JamiiForums Tanzania Nani kubeba tuzo ya Msanii bora wa Kiume kwa Bongo kati ya mafahari hawa?

    Kamati ya Tanzania Music Award (TMA) leo August 29,2024 imeanza kutangaza Nominees wanaowania tuzo za muziki Nchini kwa kuanza na category tatu ambazo ni Mwanamuziki bora wa kiume wa mwaka, wimbo bora wa taarabu wa mwaka na wimbo bora Afrika Mashariki, Kusini na Magharibi. Wimbo bora wa taarabu...
  20. Introvert Music

    JamiiForums Tanzania Wakuu hivi kuna msanii anemzidi kipaji Rod Wave

    Katika wasanii ambao nikisikiliza ngoma zao nazielewa namba Moja duniani ni rod wave nataka nijue Kuna msanii anaemzidi kipaji huyu jamaa duniani Sasa hivi nazungumzia kipaji a.k.a mziki mzuri sio umaarufu.
Back
Top Bottom