Jose Chameleone: Hakuna msanii wa Tanzania na Kenya anayetufikia kwa Kuimba, wanabebwa na Mashabiki tu

BARD AI

JF-Expert Member
Jul 24, 2018
3,377
8,120
chame.jpg

Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo.

Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na Wasanii kushindwa gharama akitolewa mfano wakati Kenya ikiwa na Studio 50 Uganda walikuwa na Studio 3 huku Tanzania Mashabiki walikuwa waliwachukulia Wasanii wake kama Wafalme.

Nyota huyo wa Ngoma za "Valu Valu" na "Tubonge" ameongeza “Naweza kukwambia hivi, Majirani zetu wametuzidi kwa Vifaa na Upendo wa Mashabiki lakini hawawezi kuimba kama sisi. Hiyo ndio Silaha pekee tuliyonayo na tunapaswa kuwekeza hapo mengine yatakuja".

=======

Chameleone says although Uganda is still trailing Kenya and Tanzania in the music arena, there are areas where his country excels the rest.

According to the Leone Island boss and one of the most revered artists in the region, Ugandan musicians were left behind decades ago because they largely lacked financial resources.

He gave the example of Kenya where as far back as the 1990s, artists could afford the very best of music equipment.

“Kenyans were very rich and they invested a lot of money in their music,” he said.

“At the time we had three studios here, they had like 50; so they were far ahead of us.”

As for the Tanzanians, Chameleone says they moved faster than Ugandans because they have the most patriotic fan base.

This he says is the reason for the exponential rise of artists like Diamond Platinumz, who is treated like royalty by everyone in his country.

Yet what Uganda lacks in resources and patriotism, according to Chamelone, it makes up for in talent.

The Valu Valu singer believes that neither Kenya nor Tanzania comes close to Uganda in producing music talent.

“I can tell you this my friends, our neighbors have the equipment and the love, but they cannot sing like us,” he said.

“This is the only weapon we have and this is what we have to capitalize on to build ourselves, the rest will come along.”

Chameleone was speaking at the weekly Uganda National Musicians Federation (UNMF) jam session in Makindye.

At the meeting, he rallied his fellow artists to appreciate the importance of working together in the federation.

He also condemned some of the musicians who have abandoned the outfit since it was created in May this year.
 
Naweza kubaliana naye.

Labda idadi ya watu pia inawezakuwa inachangia jambo hili,kila mtu anapoamua kucheza vya kwao Uganda wanajikuta na kete chache mkononi sababu wako wachache.

By the way,kenya kwenye swala la kuimba,music industry yao kwa ujumla imesizi kabisa.
Ile EA ya akina naziz,nonini,juakali,nameless,goodlife,navio,ngoni,blue 3,obssesion imepotea kabisa.

Kwa sasa kaachwa Diamond,harmonize,alikiba,na wengine wanavimba kama wamemaliza.
 
Fact kwa sababu ya lugha. Wanamuziki wengi wa sasa wa Uganda wanaimba zaidi kwa lugha yao ya Baganda inakuwa tatizo mashabiki wa Bongo kuelewa. Hata yeye alipata mashabiki wengi wa Bongo kwa sababu ya kutumia zaidi Kiswahili.
 
Naunga mkono hoja, waganda wana sauti nzuri sana si za kulazimisha kama hawa wa kwetu
 
Fact kwa sababu ya lugha. Wanamuziki wengi wa sasa wa Uganda wanaimba zaidi kwa lugha yao ya Baganda inakuwa tatizo mashabiki wa Bongo kuelewa. Hata yeye alipata mashabiki wengi wa Bongo kwa sababu ya kutumia zaidi Kiswahili.
Mziki hauna lugha mkuu,

Ngoma kibao za Uganda Kwa lugha yao zimepenya bongo omukwano, tindatine ilikuwa inapigwa mpaka kwenye vilabu vya pombe huko mtwara vijijini

Magic system, Cabo snoop etc tumewasikiliza sana bila kujua wanachoimba. Ingekuwa mziki una lugha wasanii wa nje wengi tusingewajua

Mziki wa Uganda umedrop sana miaka hii huo ndo uhalisia, Ila kuhusu mashabiki kweli bongo hapa kwenye maswala ya siasa, michezo na mziki Kwa Afrika tunastahili kuwa top 5
 
Naweza kubaliana naye.

Labda idadi ya watu pia inawezakuwa inachangia jambo hili,kila mtu anapoamua kucheza vya kwao Uganda wanajikuta na kete chache mkononi sababu wako wachache.

By the way,kenya kwenye swala la kuimba,music industry yao kwa ujumla imesizi kabisa.
Ile EA ya akina naziz,nonini,juakali,nameless,goodlife,navio,ngoni,blue 3,obssesion imepotea kabisa.

Kwa sasa kaachwa Diamond,harmonize,alikiba,na wengine wanavimba kama wamemaliza.
Kuna wasanii wakali kuliko au wanalingana na hao. Ila muziki una mambo mengi...😁😁.

Kuna wasanii wanaandika vizuri na uwezo mkubwa, ila kutoboa hiyo list hapo mpaka ujikunje ile ile.

Kile kidada Abby Chams sijui kama nimeandika sawa, kina quality za kimataifa, ila watu wanahangaika namna ya kuki Menninah🤣🤣. Kinapona tu sababu ya familia yake kuwa ya kishua na kumsimamia kwa karibu.

Kuna Appy yule wa sitaki marafikiii....yule nae ni bad news, lakini anakutana na ma block-mtimanyongo kibao.

Nadhani ukitaka kuwapita au kufika level za hawa wakulungwa, ujiandae kuteketeza hela ktk matukio. Yani number ya muziki wako iendane na matukio ya kupinda, nyimbo 10 scandal 10.
 
Amefanya utafiti wa kuaminika au ametoa tu mtazamo wake
Yuko sahihi masta ukifanya simple research utagundua Hilo pia nadhan EATV ilikua na mchango mkubwa sana kwa mziki wq Uganda apa bongo sijui nin kilitokea wakabak kusapot mziki wa bongo tu au ndio mambo Yao yakutaka walipwe na media per play
 
Fact kwa sababu ya lugha. Wanamuziki wengi wa sasa wa Uganda wanaimba zaidi kwa lugha yao ya Baganda inakuwa tatizo mashabiki wa Bongo kuelewa. Hata yeye alipata mashabiki wengi wa Bongo kwa sababu ya kutumia zaidi Kiswahili.
Twanga Fotooo la Koffi haukulicheza juzi juzi tu na ki congolese au kifaransa haujui.

Fally Ipupa Mayday wadada wanaliimba kwa hisia "mavitu shuu komplikeetee" na hawajui kitu.
Marketing mkuu, fungu. Waganda yule Eddy Kenzo ameshakuwa nominated grammy.

Walichochelewa wenzetu ni kubadilika katika marketing na kutafuta network na hawa kina Chameleone walikuwa wachoyo. AY angekuwa mchoyo wa taarifa na connection inawezekana Diamond asingekuwa hapo alipo.
 
Levo yake huyo ni 20 percent ...yanini malumbano yanini manenoooo Lakini hata tu Rayvany hamfikiii ...mwambie atuache sisi hata east africa ndo wababe wao.
 
Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo.

Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na Wasanii kushindwa gharama akitolewa mfano wakati Kenya ikiwa na Studio 50 Uganda walikuwa na Studio 3 huku Tanzania Mashabiki walikuwa waliwachukulia Wasanii wake kama Wafalme.

Nyota huyo wa Ngoma za "Valu Valu" na "Tubonge" ameongeza “Naweza kukwambia hivi, Majirani zetu wametuzidi kwa Vifaa na Upendo wa Mashabiki lakini hawawezi kuimba kama sisi. Hiyo ndio Silaha pekee tuliyonayo na tunapaswa kuwekeza hapo mengine yatakuja".

=======

Chameleone says although Uganda is still trailing Kenya and Tanzania in the music arena, there are areas where his country excels the rest.

According to the Leone Island boss and one of the most revered artists in the region, Ugandan musicians were left behind decades ago because they largely lacked financial resources.

He gave the example of Kenya where as far back as the 1990s, artists could afford the very best of music equipment.

“Kenyans were very rich and they invested a lot of money in their music,” he said.

“At the time we had three studios here, they had like 50; so they were far ahead of us.”

As for the Tanzanians, Chameleone says they moved faster than Ugandans because they have the most patriotic fan base.

This he says is the reason for the exponential rise of artists like Diamond Platinumz, who is treated like royalty by everyone in his country.

Yet what Uganda lacks in resources and patriotism, according to Chamelone, it makes up for in talent.

The Valu Valu singer believes that neither Kenya nor Tanzania comes close to Uganda in producing music talent.

“I can tell you this my friends, our neighbors have the equipment and the love, but they cannot sing like us,” he said.

“This is the only weapon we have and this is what we have to capitalize on to build ourselves, the rest will come along.”

Chameleone was speaking at the weekly Uganda National Musicians Federation (UNMF) jam session in Makindye.

At the meeting, he rallied his fellow artists to appreciate the importance of working together in the federation.

He also condemned some of the musicians who have abandoned the outfit since it was created in May this year.
Nimesoma na kuishi Uganda
Niliwahi kuhudhuria matamasha mengi ya muziki
Nakubaliana na chameleone
 
Tanzania Kiswahili kimeenea nchi nzima...huo ni mtaji mkubwa..
Halafu media za Tz ndo za kwanza kusambaa east Africa zikapeleka sio Tu mziki Hadi bongo movie

Ukitazama TV za Uganda, Kenya,Rwanda na Burundi zote zina onesha sio Tu mziki Bali na bongo movie pia..... Tanzanian contents inapendwa sababu tulitangulia kufanya usambazaji na Kiswahili kiko Sana na competition kubwa
 
Msanii Mkongwe wa Muziki, Jose Chameleone amesema licha ya Muziki wa Uganda kuachwa nyuma na Kenya na Tanzania, bado taifa hilo linajivunia uwezo wa kuimba walionao Wasanii wake ambapo hakuna Msanii wa Tanzania wala Kenya anayefikia uwezo huo.

Amekiri, Muziki wa Uganda uliyumba kutokana na Wasanii kushindwa gharama akitolewa mfano wakati Kenya ikiwa na Studio 50 Uganda walikuwa na Studio 3 huku Tanzania Mashabiki walikuwa waliwachukulia Wasanii wake kama Wafalme.

Nyota huyo wa Ngoma za "Valu Valu" na "Tubonge" ameongeza “Naweza kukwambia hivi, Majirani zetu wametuzidi kwa Vifaa na Upendo wa Mashabiki lakini hawawezi kuimba kama sisi. Hiyo ndio Silaha pekee tuliyonayo na tunapaswa kuwekeza hapo mengine yatakuja".

=======

Chameleone says although Uganda is still trailing Kenya and Tanzania in the music arena, there are areas where his country excels the rest.

According to the Leone Island boss and one of the most revered artists in the region, Ugandan musicians were left behind decades ago because they largely lacked financial resources.

He gave the example of Kenya where as far back as the 1990s, artists could afford the very best of music equipment.

“Kenyans were very rich and they invested a lot of money in their music,” he said.

“At the time we had three studios here, they had like 50; so they were far ahead of us.”

As for the Tanzanians, Chameleone says they moved faster than Ugandans because they have the most patriotic fan base.

This he says is the reason for the exponential rise of artists like Diamond Platinumz, who is treated like royalty by everyone in his country.

Yet what Uganda lacks in resources and patriotism, according to Chamelone, it makes up for in talent.

The Valu Valu singer believes that neither Kenya nor Tanzania comes close to Uganda in producing music talent.

“I can tell you this my friends, our neighbors have the equipment and the love, but they cannot sing like us,” he said.

“This is the only weapon we have and this is what we have to capitalize on to build ourselves, the rest will come along.”

Chameleone was speaking at the weekly Uganda National Musicians Federation (UNMF) jam session in Makindye.

At the meeting, he rallied his fellow artists to appreciate the importance of working together in the federation.

He also condemned some of the musicians who have abandoned the outfit since it was created in May this year.
He is right!
 
Back
Top Bottom