msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Desierto

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa hili la kutopigia ndugu simu

    Kuna watu wangu wa karibu wananilaumu siwatafuti kuanzia mashemeji zangu mpaka na familia yangu wanasema siwapigii simu. Mfano mashemeji zangu wengine Sina hata namba zao. Shida hata nikiwapigia nitawaambia Nini yaani salamu TU basi? Lakini Kuna watu wengine haipiti siku tatu nawapigia na ni...
  2. M

    JamiiForums Tanzania (KUMBUKIZI) Hili limeniuma sana: Marekani yatoa msaada wa MABOZA sita ya maji kwa Tanzania

    Marekani imetoa msaada wa maboza sita ya maji yanayojiendesha yenyewe ya lita 2400 kila moja, kwa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ), ambayo yataipa uwezo wa kusukuma na kusambaza maji. Hii inaiwezesha JWTZ kusambaza maji safi na salama kwa maeneo ya vijijini ambayo hayana huduma ya...
  3. Ethan3

    JamiiForums Tanzania Nina Milioni 12 na nina mawazo ya kufanya biashara moja kati ya hizi mbili. Naombeni ushauri

    Habari wana Jamii forums Ee bhna katika harakati za huku na kule nmefanikiwa kujikusanya nina 12 milioni, kichwa kinawaka moto, sjui nifanye biashara gani Nipo mkoani kwenye hii mikoa ya pwani yenye shughuli kuu za uvuvi. Nina kijana ambaye nawaza atakuwa muuzaji na mie nitakuwa msimamizi coz...
  4. Mdau jf

    JamiiForums Tanzania JF Madaktari msaada wenu juu ya hii alama inaongezeka kila kukicha

    jamani hii ALAMA haiwashi wala haiumi ila inaongezeka kila Siku naona mabadiriko
  5. Mad Max

    JamiiForums Tanzania Msaada: Wakuu hii Application ya X (Twitter) inakula sana nafasi kwenye simu. Nifanyeje?

  6. S

    JamiiForums Tanzania Msaada kwenye tuta

    Wakuu kwema. Na imani mnaendelea poaa. Wahenga walisema kama nitakuwa sijakosea "omba nyavu ukavue samaki mwenyewe kuliko kuomba samaki kila siku" Naomba msaada wenu kwenye hili kwa yule atakayeguswa. Niweze kupata laptop kwa ajili ya kuendeleza project yangu (ajira binafsi) ya web development...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta professional microphones za shure original hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  8. Yoda

    JamiiForums Tanzania Uovu hustawi zaidi kwa msaada wa wale wanaoufanya uovu uonekane jambo la kawaida

    Nilipokuwa shule ya sekondari nikisoma historia ya Ulaya, hasa kuhusu ukatili uliotekelezwa chini ya Hitler na Mussolini, nilikuwa nadhani kwamba dunia—hasa Ujerumani—lazima ilikuwa imejaa watu wakatili na waovu. Sikuweza kuelewa jinsi uhalifu wa namna hiyo ungeweza kutokea bila kulaaniwa kwa...
  9. P

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Sheria kuhusu sikukuu za kitaifa kwa watumishi wa umma

    Habari wana bodies,napenda kujua Juu ya Sheria na miongozo juu ya watumishi wa umma wanaofanya kazi hadi siku za mapumziko ya sikukuu za umma,je wanastahili kupata stahiki gani kwa mujibu wa sheria?
  10. A

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu

    Kuna maswali ambayo najiuliza Mwanzo na mwisho ndugu yangu tulikutana mwanza Alivyofika nairobi ndugu zake na mke wake Sasa familia yangu wamenitenga Dar es salam ndiko mke wangu anaishi Mimi nipo uku morogoro kutafuta dawa Atapata bus nikasema hapana ilo ni swali lake Sasa tupo hapa...
  11. Mshana Jr

    JamiiForums Tanzania Ndugu zetu wanahitaji msaada wetu ili waweze kupata matibabu

    . Hawa mnaowaona hapa ni Watanzania wenzetu ambao wamepata madhira mbalimbali. Picha ya Kwanza anaitwa Kuringe Sawere huyu alitekwa na Maofisa wa Polisi Disemba 4, 2025 baada ya wiki mbili kupita kuna msamalia mwema alitujulisha kwamba Kuringe kafichwa kituo cha Polisi Chang’ombe Dar es salaam...
  12. vallentino86

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kushauri kuhusu NSSF

    Habari zenu wakuu, naomba mwenye ufaham wa kupata mafao ya NSSF endapo mwajiri hajakupatia barua ya kukuachisha kazi.
  13. R

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta mic original za shure hapa dar

    Habari zenu wakuu, ninatafuta professional wireless microphone za shure original kabisa kariakoo sijaona anaeuza wengi wanauza shure za kichina, kuna yeyote anaeziuza hapa tanzania? na kwa wazoefu wa hizi mic ni frequency zipi ni nzuri kwa bongo mana kuna h9(512-542Mhz) h10(542-572Mhz)...
  14. AlexProsper

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kusoma kozi ya bodi ya ununuzi na ugavi(PSPTB)

    Habari za mda wakuu? Napenda kuuliza vigezo vipi vinatakiwa kujiunga na mitiani ya bodi ya ununuzi na ugavi kwa mtu mwenye elimu ya kidato cha nne ? Anaanza na hatua ipi? nawasilisha kwa msaada zaidi
  15. Kizibo

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje?

    Wakuu, naomba kwa anayejua anisaidie. Benzoin kwa kiswahili inaitwaje? Inapatikana wapi au mazingira au maduka gani kwa hapa Tanzania? asanteni sana.
  16. tamuuuuu

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu

    Msaada namna ya kufuta kovu ambalo si la muda mrefu.Ndugu yangu kaunguzwa na toyo ilimlalia mguuni.Sasa amebaki na kovu,tunaomba msaada maelekezo ya dawa kwa anayejua tafadhari. Asante.
  17. D

    JamiiForums Tanzania Kwa Mmakonde yeyote aliyopo humu naomba msaada wa kunitafsiria wimbo huu, chilambo Cha vene!

    Ni wimbo unaoitwa 'Chilambo Cha vene' uliopigwa na mwamba Halila Tongolanga "Field Marshal". Aisee wimbo umenishika vibaya huo miaka na miaka lakini si mjuzi wa kutosha wa kimakonde hivyo naomba msaada wako wa tafsiri ewe Mmakonde usiye na majivuno..... Natanguliza shukrani, Nawatakia Christmas...
  18. bwawani90

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada. Ni shule gani Dar es salaam ya kata yenye hostel

    Naomba anayejua shule jijini Dar ambayo ni kutwa ila inazo hostel ndani ya eneo la shule iwe hostel ya wasichana. Asante
  19. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Ajali ya gari la polisi imetokea uwanja wa ndege Dar

    Ajali hii imetoa ujumbe mbaya sana wa chuki ya wananchi kwa Polisi yaani Polisi wanaomba Masaada raia wanaangalia tu, sijawahi kuona hii kwenye Taifa langu ila leo nimeona kwa macho yangu, hii ni mbaya sana kwenye nchi yetu kiwango cha chuki kwa wananchi ni kikubwa sana, nchi yetu inahitaji...
  20. lane

    JamiiForums Tanzania Msaada: Fundi wa mashine za Hay na Silage

    Salaam kwenu Bila shaka Mwenyenzi Mungu anawajalia kila lililo jema Natarajia kuanzisha mradi wangu wa kutengeneza na kuuza MAJANI ya malisho ya mifugo (ngombe, mbuzi, kondoo......). Kwa kuanzia nimenunua baadhi ya vifaa kama vile: tractor, drum mower, round hay baler, hay rake, chaff cutter...
Back
Top Bottom