adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 10,962
- 23,120
Moja kwa Moja..
Baada ya Jeshi la Israel kufanya Sbambulizi la anga katika mwa Gaza na kukenga gari la shirika la msaada la chakula na kuuwa wafanyakazi wa shirika hilo waliokuwa ndani wakiweno raia watatu wa Uingereza , raia wa Poland , Australia na Palestina viongozi mbalimbali wamejitokeza kulaani hilo shambulio hilo pamoja na kuibua hasira kutoka watu pande mabalimbali duniani.
Miongoni mwa viongozi waliojitokeza kulaani hadharani tukio hilo n Joe Biden, Waziri mkuu wa Uingereza Rishi Sunak, Waziri mkuu wa Australia Anthony Albanese and Waziri wa mambo ya nje wa Canada Melanie na wengineo.
Kauli ya Waziri mkuu wa Poland "Waziri Mkuu wa Poland Donald Tusk alisema mgomo mbaya wa Israel dhidi ya wafanyakazi wa misaada ya kigeni huko Gaza umezorotesha uhusiano kati ya nchi hizo mbili, huku majina zaidi ya waathiriwa yakidhihirika.
"Shambulio la kutisha dhidi ya watu waliojitolea na majibu yako yanazua hasira inayoeleweka," Tusk alisema kwenye mtandao wa kijamii Jumatano.
Tusk alisema kuwa Poland imeonyesha mshikamano baada ya shambulio la kigaidi la Oktoba 7 lililofanywa na Hamas.
"Leo, unaweka mshikamano huu katika mtihani," alisema, akihutubia moja kwa moja Waziri Mkuu wa Israeli Benjamin Netanyahu.
Papa Francisc nae ajitokeza.
#Uzi Unaendelea