msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mufti kuku The Infinity

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kuna namna ya kupakua tamthilia za Mexicans, Brazilians?

    Sana sana nahitaji Da Cor do Pecado /Shades of sin. Mwenye anajua namna ya kuipata hii mtandaoni, hata kwa kulipia 🙏🏻🙏🏻
  2. L

    JamiiForums Tanzania Msaada HESLB

    Salaam, Mimi ni mnufaika wa mkopo wa masomo kwa asilimia 50%. Nimekuta kwenye mfumo wameniandikia deni la 575,690,250.00. Nimeshituka kwani nasoma miaka mi3 masomo ya ya ualimu na kwasasa nipo mwaka wa2. NB: Mimi ni mwajiriwa
  3. Mastamind

    JamiiForums Tanzania Msaada; Truecaller Inafuta Contacts

    Habari zenyuu,, Hivi karibuni nimekuwa nikiexperience kufutika kwa Namba za Simu nilizokuwa nimesave kwa Truecaller, kila ukisave upya badae hukuti jina ukibahatika unakuta namba tupu kwenye chati za SMS Messenger Shida ni nini hii Wajuvi, Natumia Note 20 Ultra
  4. GENTAMYCINE

    JamiiForums Tanzania Simba SC nawashaurini mapema leo hapa JamiiForums kuwa kamwe msimsajili Fiston Mayele kwani hatokuwa msaada wowote ule Kwetu

    Nina taarifa za uhakika kuwa ili Kutuliza Hasira Kali za wana Simba SC ( nami nikiwemo ) za muenendo mbaya wa Timu yetu na kwa Viongozi wetu wa Simba SC kwa kutujua Mashabiki wao tulivyo Mazuzu Original huenda Ligi Kuu ya NBC ikimalizika tu Mchezaji wa Kwanza Kusajiliwa Simba SC akawa ni Fiston...
  5. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania UVCCM Wawasili Rufiji Kutoa Faraja kwa Wananchi

    ✳️UVCCM WAWASILI RUFIJI KUTOA FARAJA KWA WANANCHI. Viongozi Wakuu wa Jumuiya ya Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Taifa wakiongozwa na Mwenyekiti wa UVCCM Taifa Komredi Mohammed Ali Kawaida (MCC) wamewasili Rufiji mkoani Pwani kutoa faraja na kuwajulia hali wananachi wa Rufiji...
  6. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Ushauri

    Habari zenu wakuu, mimi nimemaliza chuo hivi karibuni nikaingia katika field niliyosomea, ukemia , nikajikita kwenye ukemia wa plant kwa muda wa miezi kadhaa nikawa nime master vitu kwa kiasi kikubwa lakini changamoto sipati kazi na wala sijui cha kufanya. Sehem niliyo anza kufanya kazi kama...
  7. O

    JamiiForums Tanzania Shekh Zuberi Mufti wa Tanzania ni wazi anahitaji msaada

    Leo kwa bahati nzuri nimepitia sehemu nikakuta kuna issue ya msikiti wa Mtoro wakimuoba msamaha Mufti, nikataka kuangalia nini kimetokea tarehe 29 ya Ramadhan. Nikarudi kutafuta clip nikaipata kumbe kuna Shekh msikitini alisahihisha kauli ya kidini aliyotoa siku alipoenda kufunga darsa wanaita...
  8. Kaveli

    JamiiForums Tanzania Msaada: namna ya ku-recover WhatsApp Video call (outgoing) if possible.

    Kwa tech gurus wote kwenye jukwaa hili, title ya uzi yahusika. Naombeni namna ya ku-watch/download WhatsApp Video call (outgoing). Urgently naihitaji video husika ila haipatikani kwenye storage. Naishia kuona video call 'history' tu ya tarehe husika. N.B: Nahitaji video husika urgently for...
  9. MwaFreeca

    JamiiForums Tanzania Msaada whatsapp

    Habari ndugu zangu, Nina shida Whatsapp yangu ilifungiwa kwasababu nilikua natumia GB whatsapp. Nikawasiliana nao kwa njia ya Email account ikafunguliwa. Nikatumia whatsapp official kwa muda wa miezi mitatu ikaja kukataa tena inaleta ujumbe huu hali yakuwa natumia Official whatsapp..
  10. Sir John Deere

    JamiiForums Tanzania Urusi yashambulia vituo vya umeme Ukraine yote giza Ukraine waomba msaada haraka

    Hali ni tete sana Huko Ukraine baada ya urusi leo asubuhi kufanya mashambulizi makubwa katika mitambo ya kuzalisha umeme Huko Kiev na miji mingine mikubwa nchini Ukraine. Inakadiriwa watu takribani laki 2 katika jiji la Kiev hawatakua na huduma , miundombinu yote inayotumia umeme haifanyi kazi...
  11. I LOVE YOU DUCE

    JamiiForums Tanzania Msaada: Hali yangu nashindwa ielewa. Je, ina maana yoyote kiroho?

    Kuna muda napata ideas fulani akilini na moyoni mwangu kuwa nifanye na muda huo huo akili inasema ukiifanya hii inaweza badili maisha yako, lakini napo taka kuanza kuifanyia kazi, nashidwa kuendelea na roho nyingine nyuma Ina nambia muda Bado utafanya tu baada ya miezi kadhaa,Kisha na cease na...
  12. BabaMorgan

    JamiiForums Tanzania Msaada Subwoofer kujizima kila mara nini tatizo?

    Wakuu nina subwoofer ndogo nimenunua haijamaliza mwezi ina tatizo la kujizima kila mara mfano umeweka flash unasikiliza mziki au upande wa radio itajizima kama vile umeme umekata lakini muda huohuo inawaka inabidi uanze tena kuweka upande wa radio au Bluetooth haipiti hata dk 2 inazima tena japo...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Barrick yakabidhi msaada wa vifaa vya kisasa vya kupima ulevi wa madereva kwa Jeshi la Polisi

    Meneja Mawasiliano (Corporate Communication and Country Liaison Manager) wa Barrick, Georgia Mutagahywa (wa pili kutoka kushoto) akimkabidhi moja ya vifaa vya kisasa vya kupima ulevi kwa madereva vilivyotolewa na Barrick kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Usalama barabarani kanda maalum ya Dar es...
  14. 2sexy

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka unahitajika kuhusu ujauzito wangu

    Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu. Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35. Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza...
  15. masai dada

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natakiwa kufanya nini kama mwajiriwa wangu hakuwa akipeleka michango yangu ya NSSF

    Guys, nilifanya kazi sehemu kuna pesa nyingi sana haikuwa inaenda kule na sasa hivi nimeacha na ninaihitaji clearance na hilo eneo. Kulingana na status ya muajiriwa wangu wa zamani naweza nisipelekewe kabisa. Naombeni msaada wa kisheria.
  16. G

    JamiiForums Tanzania Wataalam wa kudownload mitandaoni naombeni mnisaidie pdf za vitabu hivi

    Edit: Nimshukuru thesym kwa kuweza kushare nasi link muhimu yenye vitabu kibao, nimeweza kupata vitabu nilivyohitaji nawe waweza kujaribu. link ya vitabu
  17. coockie monster

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kununua stocks mbalimbali DSE

    Hamjambo makamanda? Nahitaji kujua pale DSE nawezajaze kununua hisa Kwa kuwekeza on stocks mbalimbali kuanzia banks au stock nyengine? Naomba mdau wa haya mambo anipe maelezo jinsi ya kuwekeza au kutumia brokers. Any information ni muhimu kwangu wadau.
  18. harakati za siri

    JamiiForums Tanzania Msaada App ya kutafsiri lugha kwenye Video au Audio

    Jambo wanajamii. Tafadhali anayejua app ya kutafsiri lugha, nimekutana na kitu kizuri sana usiku huu Youtube, sitapenda kinipite. Thank you in advance.
  19. runyaga

    JamiiForums Tanzania Mwanangu amepata kigugumizi cha ghafla, msaada kama naweza kupata tiba

    Mtoto wangu ni mdogo ana miaka miwili na nusu. Ndiyo alikuwa ameanza kuongea ila alikuwa anaongea kwa kutoa neno vizuri kabisa, ila sasa kama wiki hivi naona amekuwa na kigugumizi kwenye kuongea kwake. Sasa nilikuwa naulizia kama kuna msaada anaweza kupata.
  20. christophany

    JamiiForums Tanzania Msaada: Natafuta kazi ya kufanya. Ni mwepesi kujifunza kazi yoyote

    Habari wanajukwaa wa JF Mm ni kijana mwenye umri wa miaka 31 elimu yangu ni kidato Cha sita(6) naomba msaada wa kupata kazi yoyote itakayoniingizia kipato ili maisha yangu yaende , Unaweza jiuliza umri huo na elimu ya kidato Cha sita ilikuwaje ? Kimsingi nilimaliza kidato Cha sita 2013...
Back
Top Bottom