morning lovely 😍
naombeni mnisaidie nataka kufuta account ya Facebook nilijiunga kipindi bado mdogo sasa inanikwaza nataka kufuta nimeacha kutumia na miaka sasa lakini notification zinakuja hii kitu inanikwaza just help me please 🙏 😢
Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amefunga mashindano ya mpira wa miguu ya KNK CUP 2024 yaliyotanguliwa na Bonanza la michezo mbalimbali ambapo amempongeza Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt.Dotto Biteko Kwa kuendelea kuunga mkono kwa kasi jitihada za Mhe.Rais Dkt Samia Suluhu Hassan...
Kwema. Nina mdgo wangu anataka kusoma KOZI ya community development Kwa level ya cheti binafsi nilipenda asome procurement . hii ya community binafsi naona kama uwanja wa kupata kazi ni mgumu japo naomba wabobez mnisaidie japo naheshimu anachokitaka yeye...
Habari ya muda huu wadau.
Nipo stage ya kuweka tiles, sasa hizi hesabu zinanipa headache.
40×40 - box 65
25×40- box 45
Skirting - box 7
Tiles za tangastone- box 18
Naomba msaada wa kupata namba/connection ya kiwanda cha tile twyford pale chalinze.
Au,
Kujua wholesale price ya tiles za...
Habari wakuu nimekuja kwenu kutaka mawazo bint yangu wa Umri miezi 6.5 hatambai ukimuweka hata kujaribu kumove hamna... anakua kama anataka kujivuta hawezi kabisa kumove Wala kutambaa. Nimekuja kwenu kutaka ushauri nini chakunya aweze kutambaa kumove na kusimama.
Naaambiwa kuwa na watu kwa umri...
Jamani nimekua selected course ya bachelor of arts with education Duce lakini ninahitaji kwenda udsm mlimani kusoma course nyingine nifanyaje ili kubadili admission
Naomba mnisaidie wadau,
Mwaka jana nilipatwa na tatizo la shinikizo la juu la damu lakini wauguzi walinishauri na kuniambia ni tatizo la kupita hamna haja ya kutumia dawa za presa lakini kwa sasa ni takribani mwaka sasa kuna maumivu kwenye upande wangu wa kushoto.
Maumivu hayo huwa nayasikia...
Mjumbe wa mtaa kaniletea barua ya wito naitajika kwa afisa mtendaji.
Barua imeandikwa naitajika kwa 7bu ya kutolipa ela ya takaa
Nimeshindwa kujua kwanza mm ni mtumish wa serikalini pia nipo single naishi mwenyewe nipo busy hata muda wa kushinda nyumbn sina mwez au wiki sirudi nyumbn kutokan...
Kama wewe ni mzalendo kwanini ukatae msaada wa uchunguzi kutoka Scotland Yard
Je unafurahia utekaji kwasababu tu si ndugu yako kapotea au chama chako?
Hata kama vyombo kweli vinafanya uchunguzi kuna shida gani kusaidiwa? Hasa pale ambako kuna wasiwasi vyombo vyetu vinahusika.
Soma pia...
Kichwa Cha habari hapo wakuu kinajieleza nataka Kujua Hawa wakina Mpemba og, side kama side Huwa wanatumia software gani kuingiza maneno Yao ?!?
Nawasilisha swali na kama hujui kama Mimi Kaa kimya .
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.