msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Gulio Tanzania

    JamiiForums Tanzania Msaada naomba makadirio ya malipo App yenye download 10k

    Habari zenu wakuu, Nimekuja kwenu wadau naomba msaada wenu kwa wamiliki wa App huko play store nataka nijue App yenye download watu 10k na watumiaji active 10% malipo yake huwa kiasi gani kwa makadirio kwa mwezi. Nimesikia Admob wanalipa sana na ndio mana nimekuja hapa ili nipate taarifa kwa...
  2. N

    JamiiForums Tanzania Niliharibiwa, nimepata uraibu wa kutamani Wanaume. Naomba msaada niweze kuacha

    Mimi ni Mwanaume umri miaka 25 kipindi nipo Primary katika ukuaji wangu nishawahi kuingiliwa na ndugu yangu wa karibu akaniambia niseseme ikawa tabia yake ila sio mara kwa mara badae akaachaga kabisa. Mimi alikuwa ashaniharibu kisaikolojia na unavojua akili za utoto zile, nikafikirigi ni...
  3. M

    JamiiForums Tanzania Anaomba msaada wa hii kozi tafadhali

    Kuna binti kamaliza form six mwaka huu kaomba chuo kapata vyuo viwili na alikuwa anasoma PCB kapata UDSM na UDOM lakini kozi aliyopata ndo haelewi kozi yenyewe ni Aquaculture vyuo vyote viwili kapata kozi iyo ss anauliza vp iyo kozi ajira zake zimekaaje
  4. herrera

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kuunganisha sound bar

    Jamani naombeni msaada namna ya kuunganisha sauti ya kwenye tv niwe naisikia kupitia sound bar
  5. appoh

    JamiiForums Tanzania Msaada jins ya kuisajir dawa yangu ya bawasiri

    Habarini za muda huu Najua jamii forum ni forum yenye watu wa nyanja mbali mbali sasa nimekuja hapa kuomba msaada wa namna gan ntasajir dawa yangu ya kutibu bawasir ili nianze kuifanyia PA na kuibrand Dawa yangu imekua na mafanikio makubwa katika kutibu bawasir imewatibu watu weng waliokata...
  6. chibe dayo

    JamiiForums Tanzania Msaada wanna jamii forums

    Habari, Wanandugu naomba kujua sehemu gani naweza kupata beef fillet kwa bei chini ya elfu 15 popote pale ntafika kwa sasa Arusha. Asanteni
  7. Jackwillpower

    JamiiForums Tanzania Msaada: Mambo gani yatanisaidia kushinda katika kesi yangu?

    Habari Wana JF, naombeni msaada wa kisheria. Mwajiri wangu alinivunjia mkataba bila kunipa barua yoyote yakuniachisha kazi, nilipewa kesi ya wizi ambapo alinipeleka polisi, lakini hakupeleka kesi mahakamani, baada ya kutoka polisi nilienda kituo cha haki za binadamu, nikapewa form za CMA...
  8. bint white

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa kisheria kuhusu Kuvunjiwa mkataba

    Habari zenu humu
  9. Akotia

    JamiiForums Tanzania Msaada kutuma kahawa Marekani

    Habari za mchana jamii, Nina tatizo la kutuma kahawa ya Kilimanjaro kwa rafiki yangu aliye Marekani. Nimejaribu kutumia huduma za posta lakini wameambia ni lazima niwe na leseni hata kwa kiasi kidogo kama 400g ya kahawa. Hali hii ya urasimu inakera sana na inafanya iwe ngumu kwa sisi Watanzania...
  10. switmumie

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika hili la kununua nguo

    Habari za asubuhi wapendwa. Yaani nimeamka na mawazo sana nikaona nije huku kutaka msaada wenu yawezekana mm ni mshamba eneo hili. Juzi nilinunua nguo duka fulan maeneo ya Sinza kulikua na sale hizi nguo za Uturuki kwa sale ya sh laki1. Katika nguo zilizokua kweny sale atleast ile kwangu ndio...
  11. Candela

    JamiiForums Tanzania Msaada kontena kutoka South Afrika kwa Roli

    Kontena 20ft, kulitoa south mpaka bongo bei gani kwa roli wakuu. Likiwa na mzigo full. Natangulizw shukrani.
  12. Wilhelm Johnny

    JamiiForums Tanzania Nawezaje kupima ubora wa bidhaa kabla ya kuagiza mtandaoni?

    Habari za huku wakuu kuna mdau huku aliwahi agiza bidhaa na mzalendo cargo nataka kuagiza godoro nauliza ili nijue ubora maana bei zao ni za kizalendo kweli kweli
  13. KING ASSENGA

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Biashara zinanivuruga naona nachanganyikiwa. Nifanyeje kujitoa katika hali hii?

    Habari ndugu, naomba niwashirikishe kidogo yanayonisibu; Nina biashara 5; 1. Magodoro 2. Electronics 3. Mchele 4. Duka la rejareja 5. Vinywaji vya jumla. Kinacho niumiza wakuu chakwanza ni location mbovu haswa kwa biashara ya; 1. Mchele 2. Electronics 3. Magodoro Jambo la pili ni mtaji...
  14. co fm

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo kuhusu pesa za mkopo

    Habari za muda huu wadau, hapa kazini kwetu kuna watu wamekuja wanataka kutupa mikopo kwa riba ndogo sana kiasi kwamba kwa mshahara wangu ninaweza kupata mpaka million 50 kwa miaka mitano. Sasa naombeni msaada wa mawazo jinsi ya kutumia hizo million 50 kwa faida. Sina gari wala nyumba
  15. baba_

    JamiiForums Tanzania Msaada vipele huwa vinakuja na nakupotea na maumivu makali

    picha hapo chini
  16. Kabelwa

    JamiiForums Tanzania Msaada simu za tigo

    Wadau naomba ushauri kati ya simu hizi mbili zinazouzwa kwenye maduka ya tigo IPI ni nzuri Energizer u652 na ZTE a35 ninataka kuchukua mojawapo
  17. C

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu kusoma kwa Njia ya Masafa (Distance Learning)

    Wakuu, nipo huku Mtwara ndani ndani,natamani kujiendeleza kielimu ngazi ya degree kwa kozi za Afya. Naomba mnielekeze chuo kizuri cha nje ya nchi ambacho kinatoa elimu kwa njia ya masafa na kinachotambulika na TCU. Napokea pia ushauri wa kozi nzuri za Afya ambazo mtu anaweza kusoma kwa njia ya...
  18. Boeing787-8

    JamiiForums Tanzania Msaada majina mawili kwenye Academic Certificates na kitamburisho

    Hello, Naomba mnisaidie ambao mmeudhuria interview za utumishi. Kwenye vyeti vya form four, six, chuo na Cha kuzaliwa natumia majina mawili tu (AMANI FOCUS) Kwanye kitamburisho Cha mpiga kura uwa wanalazimisha ujiandikishe Kwa majina matatu. Sasa ukitumia kitambulisho Cha NIDA, au Cha mpiga...
  19. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wataalamu wa Afya ya Sauti

    Habari za kazi wataalamu wa Afya. Nina tatizo la sauti yangu kutoka kwa kukwaruza. Nimetumia dawa lkn sauti yangu halisi imekataa kurudi, naelekea kumaliza mwaka Sasa. Naomba msaada kwa anaejua mahala sahihi ambapo naweza kupata matibabu.ama kama mtu anaweza kunifanyia matibabu nitashukuru...
  20. kitonger

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nahitaji mkopo usio na riba

    Wakuu habari ya muda huu, ninahitaji mkopo wa laki 7 usio na riba na nitalipa kwa miezi 5(Kila awamu ni Tsh.140000 au zaidi). Dhamana ni hati ya kiwanja nilichonunua 2019 kwa Tsh 1.3M..Nipo magomeni mwembechai. Aliye tayari karibu tuchat. Namba zangu ni 0654102984.
Back
Top Bottom