msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimeuza nyumba, niliyemuuzia hataki kunimalizia fedha yangu mwezi wa nne huu, nikiuza tena kuna kosa?

    Wakuu, nilitangaza kuuza nyumba yangu na nikaletewa na dalali mteja. Mteja huyo akaomba kulipia nyumba hiyo kwa installment mara tatu. Awamu ya kwanza ilikuwa tarehe 23/12/2023. Awamu ya pili ilikuwa iwe mwezi wa tatu lakini alichelewa akanilipa mwezi wa tano. Na malipo ya mwisho alitakiwa...
  2. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wenu juu ya safari ya train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaam

    Habari wakuu naomba msaada wenu kuhusu safari za train kutoka mbeya kwenda Dar es Salaa. Ni lini inatoka mbeya kwenda DSM. Zote zikiwemo express na ordinary. Mbeya linaondoka siku gani? Msaada please.
  3. African businesses

    JamiiForums Tanzania Msaada jamani biashara yangu inakufa

    Kwa ufupi niseme tu hapa nilipo sielewi kabisa nimepigana sana mpaka kufika hii hatua niliyonayo, toka barabarani mpaka kumiliki ofisi, kama mnavyojua kusimamamisha biashara sio jambo ndogo. Japo nilianza hii biashara ila nilijipa muda wa miaka mitatu kwamba labda ndio naweza kuona mwanga...
  4. I

    JamiiForums Tanzania Jinsi gani ya ku re-apply chuo cha Muhimbili?

    Jinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili, maana kwenye akaunti yangu niliyoombea sioni sehemu ya ku re-apply.
  5. Olsea

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu Aliexpress

    Habari wakuu,ninaomba msaada kwa wale wazoefu wa kuagiza vitu Aliexpress,nilinunua bidhaa tarehe 18/09/2024.Percel ikafka Dar es salaam Tanzania tarehe 28/09 mm nipo Mkoa wa Tabora nikajua itanifikia hadi huku maana mara ya mwisho nilitumia posta ilifka had huku.Cha ajabu kufikia tarehe 03/10...
  6. I

    JamiiForums Tanzania Msaada: Jinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili

    Jinsi ya ku re-apply chuo cha Muhimbili, maana kwenye akaunti yangu niliyoombea sioni sehemu ya ku re-apply.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa Mwalimu huyu; Mikono inatetemeka sababu ya pombe kali. Anashindwa kuweka saini na kusahihisha mitihani. Ipi tiba yake?

    Ni jamaa yangu..kila siku nipo naye kijiweni. Ila mikono inatetemeka na anashindwa kusaini na kusahihisha madaftali. Ipi tiba yake?
  8. One yes

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa ufadhili wa masomo chuoni kwa wenye uwezo binafsi au taasisi

    Habari wakuu!! Naomba msaada wa masomo kwa atakae guswa au anae fahamu shirika lolote linalotoa msaada kwa ngazi ya diploma. Nitangulize shukrani zangu za dhati kwa wana JF kwa wale wote watakao changa michango yao. Me ni kijana mwenye umri wa miaka 19,niliitimu kidato cha nne mwaka jana...
  9. A

    JamiiForums Tanzania 1zz vvti engine rattling noise msaada

    Kuna gari 1zz engine vvti inatoa mlio ambao unaonekana ni kama unatoka ndani ya engine na sio nje kwenye mkanda, tensioner imenunuliwa mpya, vvti sensor inaonekana iko vizuri tumetoa chujio,Timing belt haijavutika bado iko vizuri, Anahitajika fundi mwenye akili na aliyewahi kutatua tatizo la...
  10. jangala22

    JamiiForums Tanzania Msaada tiba ya sickle cell (seli mundu)

    Habari za wakati Naomba niende moja kwa moja kwenye maada mwanangu ana mwaka mmoja amegundulika ana sickle cell kinachoniuma ni nyakati za usiku anapata maumivu makali na kupelekea kulia sana naomba msaada kwa anayejua tiba au huduma ya kwanza kila anapopatwa na shida ya kusikia maumivu
  11. Baba Rhobi

    JamiiForums Tanzania Msaada Kuhusu Hizi Air Cooler

    Wakuu wa Tech inakuaje....!? Wakuu na amini tunatofautiana uwezo kimapato wapo wanaomudu gharama za kulipia AC nikiwa nacheki Youtube review za AC nakuta kwa 24Hrs ngoma imebeba Units kama 20 hivi hii ukizidisha na 300 ushee bei ya unit 1 mara 30 staki hata kujua jibu lake. Kiukweli hizi fan...
  12. Diwani

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nyumba ya urithi, nanufaikaje?

    Huenda sipo peke yangu hivyo labda maada hii inaweza kuwagusa na wengine watakaoamua kujifunza kutoka kwa wanachama wengine. Mwaka 2017, rasmi nilikabidhiwa urithi wa marehemu baba yangu ambaye alikufa miaka mingi iliyopita, kitu pekee kuhusu nyumba yetu ni kuwa, hakukuwahi kuwa na migogoro...
  13. O

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya kubadilisha BIOS password

    Habari za mda wadau wa jf. Ndugu zangu mwaka jana nilinunua laptop aina ya dell latitude 3410 hapa kipindi nainunua niliikuta ikiwa na setup ambayo inaiwezesha kuwasha kwa kukunjua tu ile screen yake. Ni kwamba huwezi kuwasha wala kuzima kwa kutumia power button. Kwa mda mrefu nilikuwa...
  14. redpill evengalist

    JamiiForums Tanzania Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto?

    Ipi ni njia sahihi ya kuendelea kutoa pesa kwa ajil ya matumizi ya mtoto? Nimezaa na Binti mmoja kutoka SINGIDA kiufupi Nalazimishwa kufunga ndoa na mhusika lakini Binafsi sipo Tayar ktk Hilo kutokana na tabia alizokuwa kuwa NAZO. Huyu Binti amekuwa Jeuri, kiburi, hashauriki kwachochote Mm...
  15. Pdidy

    JamiiForums Tanzania Kila ikifika saa nane naota wezi ba napiga kelele msaada pls wiki sasa nasali sana usikupia

    Naitwa sherry Na umri wa miaka 35 Kila ikifika saa nane usiku mpaka kumi naota wezi Kama hawaibi nyumban naota wananikimbiza Nimekuwa napenda sana kusali mida ya usiku..... Sema ilipoanza hio hali naingiwa na wasiwasi na naweza nisilale kabisa mpaka asbh Naomben msaada kwa waliowahi tokewa na...
  16. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    JamiiForums Tanzania Umetoa msaada ndiyo hatukatai sasa ni kwanini utangaze?

    Mungu ni mwema nyote. Wakuu mtakubaliana na mimi kuwa misaada ni mizuri pale inapohitajika hasa unapokuwa na shida bila shaka ukipata utatuzi wa shida yako utafurahi sana na kumshukuru Mungu. Changamoto kubwa ni hii ya kutangazwa yaani aliyekupa huo msaada anaanza kujisema tena na anasema...
  17. Hot27

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu

    Habari za wakati huu wanajukwaa. Naomba niulizie kwa anayepangisha fremu ya biashara kwa bei nafuu hasa kipaumbele changu ni maeneo ya Buguruni Malapa na Ilala japo nakaribisha wa maeneo mengine ila iwe ndani ya Dar es salaam na eneo lililochangamka, mwingiliano wa watu. Natanguliza shukrani...
  18. Walcotinho

    JamiiForums Tanzania Msaada ufafanuzi Kodi ya Mapato Yatokanayo na Ajira

    Habari familia, kuja jambo linanitatiza, kwa waliopo kwenye ajira hasa binafsi, Kuna hii Kodi ya mapato inayotokana na mshahara, aisee hii Kodi ni kubwa mno inaumiza Sana, sijajua ndo utaratibu ulipo tangu zamani ama ni mabadiliko yaliyotokea hivi karibuni? Maana unakuta anayelipwa Gross...
  19. Wakuperuzi

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu kuhusu utaratibu wa kupata cheti cha ndoa Rita

    Naomba kufahamishwa kuhusu upatikanaji wa cheti cha ndoa cha Rita je! Kinaweza kupatikana hta kwa hawa viongozi wetu wa dini au ni Rita tu peke yake?
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msaada ni app gani huwa mnatumia kutype documents kwenye simu??

    Wakuu kwema. Kama heading inavyosomeka, ni app gani naweza kutumia kutype documents hasa barua, na kufanya editing ya CV. Sina access na pc kwa muda hivyo sitaki mambo yaende kombo kisa sina pc. Naomba kujua pia changamoto zake na jinsi ya kuzitatua. Nawasilisha.
Back
Top Bottom