msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Alitembea na Mkwe mtarajiwa

  2. Burapaa

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kati ya kozi hizi, nikasome kozi gani?

    Waungwana naombeni ushauri mimi ni muhitimu wa diploma ya Business administration . Nlishindwa kuendelea pindi tu nlivyomaliza kwasababu ya changamoto za matokeo (Nacte) nina mpango wa kufanya application ya kusoma Bachelor degree katika vyuo vifuatavyo: 1. Bachelor degree in Banking and...
  3. kinda la baba

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nimepata changamoto ya Kupata Mkopo kutoka Benki ya NMB

    Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu, kwanza mimi sio muandishi mzuri, mtanisamehe kwa uandishi wangu. Tatizo lipo mwezi uliopita nilichukua mkopo kwenye Benki ya NMB kutokana na matatizo niliokuwa nayo. Baada ya mwezi mmoja, nikarudisha deni lote. Baada ya hapo, nilitaka kuchukua...
  4. Mariam Aliko

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada wa mawazo yenu mimi niko mwanza nina mtaji wa Mil 2

    Habari wapendwa naomba msaada wa mawazo yenu mimi niko mwanza nina mtaji wa Mil 2 sijui nifungue biashara gan kwa huu mtaji wangu mawazo yenu wadau
  5. frank mkweli

    JamiiForums Tanzania Wanasheria masuala ya kazi msaada tafadhali

    Habari wakuu vipi wazima? Mimi mzima nina swali naomba nikuulize. Hivi kuna Sheria ya kumshitaki mwajiri kama alikuwa haweki hela za NSSF na loan board ukamshitaki, na lingine kama bima yangu haifanyi kazi. Natakiwa nifanye nini na pia zile hela za helsb ambazo zimekatwa kwangu hazijaenda...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Msaada nifanye biashara gani?

    Habari mimi ni muajiriwa wa sekta binafsi na natamani nipate msaada wa wazo la kibiashara litakalonikwamua na kunitoa kwenye kuajiriwa.. Wazo langu nilitamani nifanye house floor plan na kuziuza hizo ramani kwa watu tafadhari mwenyew idea na uelewa wa hii biashara naomba ushauri nitatoka? Na...
  7. chibe dayo

    JamiiForums Tanzania Msaada bei ya vitunguu

    Habari wana jamvi Naomba kuuliza bei ya vitunguu kutoka shambani napatikana mkoa wa Arusha. Ahsante
  8. KUKU_UFUGAJI

    JamiiForums Tanzania Huu ugonjwa wa Gastritis sasa unanitesa mno

    Habarini wapendwa, bila kupoteza muda, naomba niende kwenye mada moja kwa moja. Mwaka jana mwezi wa 2, nilienda hospitali ya Regency sababu nilikuwa nina sumbuliwa sana na tumbo. Niliishiwa nguvu, mikono na miguu kufa ganzi, kuhisi kiwewe au kuchanganyikiwa, kichefuchefu, kuchoka sana, na kuhisi...
  9. MKANDAHARI

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo

    Amemaliza form 4 na kapasi vizuri tu ana one, ni Ke. Anataka kwenda diploma kwenye kozi ya sekta ya afya. Anaomba ushauri wa kozi gani nzuri kati ya hizi Ordinary Diploma in clinical medicine Ordinary Diploma in Pharmaceutical sciences Ordinary Diploma in medical laboratory sciences Ordinary...
  10. T

    JamiiForums Tanzania Msaada wakuu, Chuo kizuri kozi za afya ngazi ya diploma

    Habari Wakuu, Naombeni mnisaidie ni chuo gani kizuri cha private ngazi ya diploma kwa fani ya nursing na clinical medicine ambacho kina hostel za bei rahisi au hostel za bure? Chuo kisiwe kanda ya ziwa wala kusini mwa Tanzania. Naombeni msaada pls!
  11. jitwangabalogi

    JamiiForums Tanzania Msaada, natafuta kazi yoyote halali

    Kwema ndugu zangu, mwenye connection ya kazi yeyote hata ya mda mfupi naomba anisaidie! Elimu, Diploma (education) Makazi, Dar es Salaam Tel no, 0748786954 Shukran!
  12. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa maoni yenu

    Kwa anaejua je supu Kwa mgonjwa wa vidonda vya tumbo ni sawa au itamletea madhara naombeni mnifahamisge wanajamvi.
  13. Bukayo Saka

    JamiiForums Tanzania Msaada wa utofauti wa lactogen

    Habari wana jukwaa ; Naomba msaada wa wataalamu na wazoefu , nina mtoto anaetumia maziwa ya lactogen ila leo nimeenda kununua muuzaji akanambia number 1 iko ya Kenya na kuna ya South Africa. Ya kenya anauza 35,000 na ya SA anauza 26,000. Nimesoma makopo kila kitu kipo sawa kwa upande wangu...
  14. Lady Whistledown

    JamiiForums Tanzania WHO: DRC ina idadi ya Watu wengi wanaohitaji Msaada wa Kibinadamu Duniani

    Shirika la Afya Duniani (WHO) limesema takriban watu Milioni 25.4 katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na Mgogoro wa Kiafya na Kibinadamu kutokana na kuongezeka kwa mzozo na vurugu, hasa katika marneo ya Mashariki ya nchi Shirika hilo lilisema kuongezeka kwa vurugu za makundi ya...
  15. elimsihi

    JamiiForums Tanzania Wafanyabiashara wa Karikakoo watoa msaada Wa milioni 8 Gongolamboto

    Kikundi cha wafanyabiashara wanawake wa Karikakoo kinachojulikana kama Matumaini Mapya, kimekabidhi msaada wa viti 120 vyenye thamani ya zaidi ya Tsh milioni 8 katika kanisa la kipentekoste la Elbethel. Tukio hilo lilifanyika siku ya 7/7/2024 kanisani hapo Moshi Bar, Gongolamboto kwenye ibada ya...
  16. T

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba msaada kujua fee structure ya chuo cha Muhimbili College of Health and Allied Sciences.

    Habari wana JF, Husika na kichwa hapo juu. Naomba kufahamishwa ada ya diploma ya nursing kwa mwaka ni shilingi ngapi? Pia, gharama za hostel zao ni shilingi ngapi kwa mwaka na je, mwanafunzi anaweza pata hostel kwa miaka yote mitatu? Naomba kwasilisha, mnaojua mnisaidie!
  17. Rodwell mTZ

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haya matokeo ya mtihani

    Salaam, naomba kuuliza kwa huyu mwanafunzi aliyemaliza form 6 na matokeo haya, History D Geography C Language S, hivi anaweza kuendelea kusomea chuo cha namna gani na kozi ipi itaendana na hayo masomo? Natanguliza wingi wa shukrani, usiku mwema wajameni.
  18. Ok9

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kutengeneza picha zenye maneno

    Habari... Naomba namna ya kutengeneza picha kama hizi. Zenye hizo caption. Kwa simu au computer
  19. Mjanja M1

    JamiiForums Tanzania Msaada: Anataka kuwa Winga

  20. T

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utaratibu wa Leseni ya Biashara

    Wakuu msaada kidogo hapa. Mimi nafanya biashara ya duka la vinywaji. Mwaka wa tatu huu. Leseni huwa Kila ikiisha naenda TRA na Halmashauri ku-renew. Sasa last time nimerenew itaisha mwezi wa 8 tareh 30 mwaka huu 2024. Cha ajabu amekuja Afisa biashara amechukua leseni anasema leseni niliyonayo...
Back
Top Bottom