msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Msaada mpenzi wangu mpya hisia zake hazipandi mpaka nimpulize mwili mzima na kumtekenya miguuni.

    Baada ya kupitia balaa zito la mke wangu kichaa aliyenipiga picha 71 za makalio ,niliamua rasmi kumuacha. Mungu si athumani nikapata mtoto mmoja wa kinyaru binti ajatumika sana,ana nyama nyama za kutosha mwilini(nakupenda sana kipenzi changu konjeta♥️♥️). Sikutaka kumchelewesha kama...
  2. Trump effect: Je, kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada

    Je kuna mabadiliko yoyote hasi baada ya Trump kutangaza kuondoa pesa ya msaada. Inajulikana madhara ya haraka ni wenzetu wengi kusitishiwa ajira zao. Je kwa upande wa utoaji huduma hali ikoje huko uliko? Naskia kuna wanaoambiwa watapewa dawa za mwezi kwa mwezi badala ya miezi 3 au 6. Hali...
  3. Msaada jinsi ya kujisajili website ya Zimamoto

    Uzi tayari.
  4. Naombeni msaada wa maarifa ya kiroho

    Habari za usiku huu wakuu natumai mpo good Mimi kama kijana wenu tangu nijiunge JF hii ni mara yangu ya tatu naanzisha uzi na ni mara ya kwanza kuomba msaada wa maarifa ya kiroho Nimekuwa nikifatilia sana mada za kiroho na vitu kama hivyo kwa mda na members kama kina mshana jr DR Mambo Jambo...
  5. Ninaomba msaada wa Template ya katibo ya NGO toleo la kiingereza

    Kwema wakuu? Nina hitaji Muongozo wa katiba ya NGO ambayo ni English version. Online site ya board ya NGOs iko suspended. Mwenye kuwa nayo ninaomba anisaidie. Asanteni.
  6. I

    Bunge la Ulaya lataka kusitishwa kwa msaada wa EU kwa Rwanda kuhusu mzozo wa Kongo

    Kama kawaida waafrika ni watu wanaopenda kutafuta visingizio kwa matatizo yanayowakabili ambazo mara nyingi wanajiletea wenyewe. Mfano mzuri ni mgogoro uliopo nchini Congo unaohusisha serikali ya nchi hiyo na waasi wa M-23 ambao wengine wamekuwa wakidai kwamba huchochewa na wazungu japo hawatoi...
  7. MSAADA SAMSUNG A21 SIMPLE CHARGING WAY

    Nmeletewa samsung a21 simple haichaji mime chunguza nikagundua charging ic ndio shida kuipata ikawa ngumu ikabidi niunge battry direct lakini changamoto ni kuwa batty inachajiwa ila simu haionyeshi chaji mpaka udisconnect battery na urudishe ndio unaona limefikia wapi ila ukiiacha inatumika...
  8. K

    Msaada: Makisio ya kodi na ushuru bandarini

    Wakuu wazima? Katika process za kutoa kontena bandarini, naomba mwenye uelewa anifungue macho hapa. Ni kodi zipi na asilimia ngapi hulipwa kwa kontena la 40HQ, mzigo ni machines za kiwandani, rawmaterials na packages. Itapendeza kama nikipata mchanganuo wa gharama zote. Natanguliza shukrani..
  9. Naomba msaada: Nahitaji frame Kariakoo, mtaa wa kuuza pochi za kike

    Wakuu, nawasalimu kwa jina la JMT. Nimeingia Dar, takribani miezi 3 iliopita nikitokea Mtwara baada ya kufunga biashara yangu Mtwara MC Uchumi umeshuka kwa kasi na ninaelekea kupoteza mtaji, hadi natamani kujinyonga. Nimejaribu biashara mtandaoni nimeishia kuchata na watu, eg mtu anauliza bei...
  10. Msaada jinsi ya kuandika maandishi mahali na kuyahifadhi ili baadae kuyachapisha au kuyahamishia mahali pengine

    Msaada wakuu, nawezaje kuandika maandishi mengi na kuyahifadhi kwenye simu yangu (nje ya mtandao) ili baadae nikitaka kuyahamishia mahali kama hapa jf, facebook na sehemu nyingine yoyote. Kwa mfano nataka kuandika hadithi ila nataka niwe naiandika kidogo kidogo ili mwezi mmoja mbele niipost...
  11. Msaada sio lazima lakini ukimpa MTU uhakika wa kupata Kazi basi msaidie.

    Moja Kwa moja kwenye mada. Mkuu wee ni MTU mzima Mwenye familia na watoto kama Mimi pengine umenizidi umri au nimekuzidi umri. Umenipigia simu asubuhi ya Jana tumepanga fresh sana mipango na akuniambia kuna Kazi unataka unipe ambayo itanisogeza kimtindo nikakwambia Mimi nipo fresh kabisa...
  12. I

    Msaada, Mashine ya Embroidery Vichwa Vitatu

    Kwema wakuu? Kama ambavyo wengine tumeifanya jf kuwa google na chatgpt wa kikwetu kwetu. Naulizia wapi nawezapata mashine ya Embroidery vichwa vitatu? Kwa maana nyingine naulizia duka linalouza mashine kwa hapa Dar. Asanteni
  13. Msaada, mafunzo ya reik,pranic healing dar es salaam.

    Naomba msaada Kwa anaejua au kufahamu sehemu ninayoweza kupata mafunzo haya ya reik,pranic healing Kwa hapa dar es salaam naomba anisaidie.
  14. Msaada wa website nzuri ya kupaste ulr kudowload movies for free zinazokua kwenye website za kuuwatch online tu.

    Wakuu habari. Naomba mnisaidie hii kitu, kuna movies flani zipo kwenye website flani flani ambazo huwezi kudownload, yani ni kuwatch online tu. Sasa ningependa kujua naweza kupata website ambayo taweza kupaste url tu ya movie husika then nidownload ? please help me njia yoyote nayoweza kutumia...
  15. L

    Msaada kuhusu interview ya airport operation officer maswali ambayo yanaweza kuulizwa

    Msaada kuusu interview ya airport operation officer kuusu maswali yanayoweza kuulizwa
  16. Msaada maswali ya interview ya nafasi ya Assistant Airport security TAA

    Wakuu. Naomben hint za maswali ya interview ya assistant airport security kw wenye uzoefu nazo. Nimekuw shortlisted Nd maan naomb maswali
  17. Mbunge Salim Hasham Atoa Msaada Kutokana na Mvua Iliyoambatana na Upepo Iliyobomoa Nyumba Zaidi ya 100 Ulanga

    Wananchi zaidi ya 1000 wanaoishi katika kijiji cha Mavimba Kata ya Milola Wilayani Ulanga Mkoani Morogoro wamebaki bila makazi baada ya Mvua iliyoambatana na upepo mkali kubomoa Nyumba zaidi ya 100. Wakizungumza na Waandishi wa habari waathirika wa tukio hilo wameiomba Serikali kupitia ofisi ya...
  18. Msaada: Kupata cable ya hii swiss level

    Habari wakuu, Natafuta sehemu naweza kuipata charging cable ya Swiss level. MaSurveyor naombeni msaada.
  19. K

    Msaada, dawa ya mwanamke mpenda kununanuna bila sababu za msingi

    I hope jumapili iko poa kwenu nyote, Kwangu haiku poa kabisa, nina mwanamke naishi nae na tumebarikiwa mtoto mmoja mwenye umri wa miaka miwili, tatizo ni huyu mwanamke wangu, yaani anapenda kununa kuliko kula, yaani ukimkosoa kitu ambacho ni kweli anakua kakosea basi hapo ni kununa kuanzia siku...
  20. D

    Naombeni msaada wenu

    Bila shaka wote mko poa kabisa. Kidoti wenu nimerudi maji ya shingo nashindwa hata pa kuanzia. Kama familia yangu ya JF naombeni ushauri wenu wenda nikapata hata msaada. Kama mnakumbuka nilileta uzi huu Kuna wengine hatujui tulipokosea Sikuweza kuandika kila kitu. wengi mlisoma historia yangu...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…