msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ojuolegbha

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisaikolojia umetolewa kwa watu wenye ulemavu

    MSAADA WA KISAIKOLOJIA UMETOLEWA KWA WATU WENYE ULEMAVU Watu wenye Ulemavu 821,763 (wanaume 411,321 na wanawake 410,442) walipatiwa huduma za msaada wa kisaikolojia. Kati ya hao, watu wenye Ualbino 67,502 walipatiwa msaada wa kisaikolojia wakati wa uendeshaji wa kliniki za uchunguzi wa...
  2. KakaKiiza

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kuelekea Uchaguzi Oktoba 2025, Ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia, utamshauri kitu gani kwa manufaa ya nchi?

    Wadau za leo, Kama kichwa cha habari kinavyoelezea na kuuliza wewe Mtanzania kutokana na changamoto unazopitia au kuziona katika jamii yako leo, Je, katika kipindi hiki kuelekea katika Uchaguzi wa Awamu ya Sita hapo Oktoba 2025, ukipata nafasi ya kumshauri Rais Samia Suluhu ungemshauri kitu gani...
  3. Datum check

    JamiiForums Tanzania Nina ujuzi wa Land Surveying, msaada kazi na connection

    Mimi ni Me, umri miaka 21. Nina ujuzi wa land surveying topographic Surveying engineering surveying cadastral surveying ..na. Uwezo wa kutumia software kama civil 3d na Qgis. Na vifaa kama level ,total station na gps. Pia nna experience ya kufanya kazi katika ujenzi wa barabara na upimaji wa...
  4. Mtu_imara

    JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya kichocho sugu usaha unatoka ameambiwa kibovu kina mayai ya kichocho

    Shusha dawa apo pharmacist au alieshauguaga io kichocho sugu
  5. makutupora

    JamiiForums Tanzania Shida haina hodi, mwenzenu nimefika mwisho, naombeni msaada

    Nina mazingira magumu sana mbele naona giza tu mpaka sioni thamani ya haya maisha. Miaka miwili natafuta kazi, naishi kwa ndugu kwenye mazingira magumu, mama yangu ni mgonjwa na namuangalia anavyoteseka kila siku nikiwa sina namna ya kumsaidia. Yoyote ambaye ana ofisi, biashara, taasisi au...
  6. S

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Steve Nyerere kupitia taasisi ya Mama ongea na mwanao wametoa msaada wa 'Kiti cha mama'

    Hii kila kitu kuwa cha mama, kuitwa cha mama na kukihusianisha na mama imekuwa kero sasa, ukipita barabarani magari yameandikwa SSH 2025 kuta zimechorwa chata hiyo hiyo nk. Sasa hatimaye wamekuja na 'kiti cha mama' kwa ajili ya kuwasaidia walemavu na wameviweka na picha ya Rais Samia, hii ni...
  7. Bei Rahisi Electronics

    JamiiForums Tanzania Msaada Wakuu!

    Mdogo wangu wa kike kuniuliza ilo swali sitaki nionekane kilaza. "A former East African and current east African community is like a new wine in old bottle, discuss"
  8. Mr Mjs

    JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Swahili Voice Over AI

    Wadau nimejaribu kutafua AI nzuri kwaajili ya Voice Over ya Kiswahili nimekwama. Msaada kwa mwenye kujua ambayo ni nzuri anisaidie.
  9. C

    JamiiForums Tanzania KKKT mnapoteza sana muda wenu kuendelea kumng'ang'ani MALASUSA huyo si msaada tena kwa ustawi wa kanisa.

    Ni hayo tu. Kichwa kinajitosheleza. Maana kanisa limekuwa la kinafiki.
  10. B'REAL

    JamiiForums Tanzania Msaada unaitajika

    Wakuu habarini za sahizi,poleni na majukumu,waungwana naomba msaada wa hili jambo,mi ni mjasiria mali,niko istagram ila sina uzoefu sana,nilifanya malipo ya matangazo na meta mara kaza,kuna deni ilikuwa nadaiwa kama 87000,nikalipa yote plus kulipa tangazo upya,wakanitumia receipts malipo yame...
  11. Muimba SINGELI

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Kamera nzuri ya bei ya chini kwa kwa ajili ya video

    Kwa bajeti ya 200,000 hadi 300,000 naweza kupata kamera gani nzuri kwa ajili ya short films na clips. Nipo mtwara. Kwa sasa natumia simu kufanya hivyo vyote.
  12. S

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada

    Naomba msaada wa soft copy ya vitabu hivi. 1:- Adili na Nduguze 2:- Utengano 3:- Dunia uwanja wa fujo 4:- Mirathi ya Hatari 5:- Kichwa maji 6:- Kuli 7:- Njama 8:- Watoto wa mama nitulie 9:- Vuta N'kuvute
  13. L

    JamiiForums Tanzania Msaada wa Kituo Cha Usaili Cha (Ajira portal)Kwa Dsm

    Wakuu naomba mnijuze Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ? Kipo wapi ?
  14. immortanity

    JamiiForums Tanzania Mwanamke mwenye uvimbe anaweza kushika mimba?

    Msaada tafadhali wakuu Hivi mwanamke mwenye uvimbe tumboni namaanisha kwenye mfuko wa uzazi uterus anaweza shika mimba na kuzaa?
  15. R

    JamiiForums Tanzania Msaada namna ya ku quote several sentences na kuzijibu

    Imenitoka kidogo naomba mwongozo
  16. KJ07

    JamiiForums Tanzania Msaada wa MEXT SCHOLARSHIP APPLICATION ya JAPAN

    Habari za wakati huu wana jukwaa. Niko mbele yenu hapa kuomba kama kuna yoyote aliyewahi kuomba na kupata Scholarship za MEXT za nchini JAPAN aweze kunipa guidance ya mambo kadhaa maana dirisha ndo limegunguliwa. Natanguliza shukrani na naomba kuwasilisha. Asante.
  17. Kyenju

    JamiiForums Tanzania Msaada! Tools za Kudownload videos

    Wataalam Wakuu. Natumia browser ya Google chrome, ila napata ugumu Kudownload video za YouTube. Nipetumia extension kadhaa ila hazifanyi kazi. Je, kwa sasa ni hipi browser mzuri mbadala wa Torch iliyopigwa pin? Wasalaam.
  18. Mejasoko

    JamiiForums Tanzania Msaada wa maswali ya written Utumishi nafasi ya Planning Officer II mwenye madini share please

    Wadau nakwenda kupambania bahati yangu tarehe 25 mwezi huu, mwenye madini juu ya maswali ya written kada ya planning officer Fanya kushare
  19. COLTAN

    JamiiForums Tanzania Msaada Katika Samsung A15

    Habarini. Natumia Samsung A15 Nikimpigia MTU Mimi Nina Msikia Ila yeye hanisikii nifanyeje? Ili aweze kinisikia nitakae mpigia?
  20. Arsenal Gunner

    JamiiForums Tanzania Nyumba ya chumba, sebule, jiko, choo inaingia bati mita ngapi?

    Naombeni Kwa mlliojenga au mafundi mnaojua chumba sebule jiko choo inaingia bati mita ngapi maana nimeuliza bati naona kichwa kinawaka moto aisee mwenye kujua anisaidie nimeuliza alafu mita 1 Bei 27000 kwahiyo bati Moja Lina mita 3 sawa na 81000 jumla hii ni hatari aisee
Back
Top Bottom