Nina SMART UPS C (APC)
Hii ni kama back up ya umeme kama unatumia umeme ukakata kama ukiconnect hii desktop haizimi ni mpya kabisa
Tatizo sijajua kuiunganisha ili desktop ichukue moto. Mwenye uzoefu anipe madini wakuu
Usiku wa leo nimeota ndoto ya ajabu sana, nimeota kuna mtu ninaye mfahamu ananikimbiza na kutaka kunidhuru.
Nikaanza kumkemea kwa maombi huku namnyooshea kidole, ghafla nikaanza kupaa angani mpaka nikafika kilele cha juu mawinguni, chini nikawa naona mazingira tofauti kabisa ambayo sijawahi...
Husika na heading hapo juu
Elimu diploma ya clinical medicine
GPA ya 5.0
Kazi anazo weza kufanya
1. Kutibu wagonjwa both symptomatically and clinically
2. Kufundisha masomo ambayo anayoweza kufundisha
. Patient care
. Reproductive and chilid health RCH
. Biology
...
Nipo nje ya nchi na pasipoti yangu imeisha muda.
Nimesha jaza maombi ya pasipoti mpya na pia nimefanya malipo kwenye tovuti ya Uhamiaji.
Pia nimetuma barua pepe na copi Ubalozi. Lakini bado hawajajibu.
Naomba kama kuna mtu anajua taratibu zao nje nilichokifanya. Na inachukua muda gani?
Habari wanajamii forum,
Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
Habari wanajamii forum,
Naomba msaada wa kusaidiwa kupata nyumba ya kupanga za NHC Dar es salaam eneo laweza kuwa Ubungo Shekilango au eneo lolote ambalo litanirahishia kufika hospitali ya muhimbili kwa urahisi kwani kwa sasa nauguza Mgonjwa ambaye anilazimu kumpeleka kwenye session muhimbili...
Wadau, sina mengi zaidi ya kusema kwamba naona kabisa Maisha yangu hapa Tanzania yanaelekea pabaya, nadhani suluhisho pekee ni kwenda mbali kama sio nje ya Tanzania basi mbali kabisa na mji wa dar es salaam.
Kama kuna wadau wowote wanafahamu au wana uwezo wa kunisaidia kutimiza hilo naomba...
Ipo hivi.
Hizi njegere nimezibandika kuchemsha tangu saa 6 na nusu hadi saa 8 kamili, ni ngumu hazilainiki.
Huyu shemeji yenu hapendi njegere ngumu, sikuwa na jinsi nimeunga hivyo hivyo nikamtengea ale, nipo mahali nimekaa nasubiri bomu lilipuke maana najua atafoka hadi kesho.
Msaada tafadhali...
Habari zenu wakubwa,
Naomba ushauri na msaada mzee wangu alimdhamin mtu hasa akaweka dhamana ya nyumba yake kisa alirubunia atapewa 10%...huyo mtu alienda bank kwaajili ya kupewa mkopo bank wakamwambia hatuwezi kukupa Hela bila dhamana ya nyumba yule mteja ndo wakamkutanisha mzee kupitia...
Wakuu kuna mama ana binti mgonjwa ameshindwa gharama ya operation ni kubwa sana,
Anauliza ni Ofisi gani aende na vithibitisho vyake, pamoja na barua yake wamgongee muhuri au wampe barua yenye muhuli apite mtaani aombe michango kwa wasamalia wema, sababu hajui utaratibu na hataki kuomba omba...
Habari zenu wakubwa zangu,
Nanyenyekea sana nikiamini JF uwa hakuna tatizo linalokosa msaada.
Wakubwa nahitaji msaada wenu ni kwamba kuna company flani kubwa tu staki kuitaja ila department niliyokua nafanyia kazi ni Huduma kwa wateja nilikua nafanya kama customer service representative kitengo...
Habari.
Jamani msaada kwenye tuta
Nina Toyota rush toka alhamis inaniletea ugonjwa pasua kichwa mno.
Ukiitembelea bila kuwasha ac unaweza kutembea hata siku nzima isisumbue gear box ina change fresh kabisa,lakini ukiwasha tu ac ndani ya dakika 5 au 10 basi over drive ina blink kwenye dashboard...
Huyu jamaa alinunua kiwanja mwaka 2005
kiwanja kilikua kimepimwa Kwa maelezo yake wakati ananunua muuzaji alitoa mawe ya namba za kiwanja kimya kimya ndio zkamuuzia mwaka 2018 jamaa akajenga nyumba kubwa ya vyumba vitano Sasa wiki iliyopita yule jamaa aliemuuzia kuyumba kiuchumi akamgeuka...
Wakuu Habarini,!
Nielekee moja kwa moja kwenye Mada Hakika Mficha Maradhi Kifo humuumbua,
Maisha yanaweza kupinduka in a flash of second,
Jamani nisikieni Nina Huzuni na Moyo unalia Sana,
Naomba Msaada wenu napitia kipindi kigumu kupita maelezo nimekwama,
Nina shida ya Ajira/Kazi ya kujikimu...
Habari za majukumu,
Ninakaa na watoto watatu wa kuamzia miaka 8 mpaka 19, watoto hawa yaani ni awasikii kiasi kwamba hata chumba chao tu wanacholala kutandika au kufanya usafi ni mpaka uwasimamie, huko bafuni waakooga ndo usiseme ukiingia tu unakaribishwa na harufu kali mpaka vigae...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.