MSAADA: Kamera nzuri ya bei ya chini kwa kwa ajili ya video

MSAADA: Kamera nzuri ya bei ya chini kwa kwa ajili ya video

Muimba SINGELI

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
4,211
Reaction score
10,864
Kwa bajeti ya 200,000 hadi 300,000 naweza kupata kamera gani nzuri kwa ajili ya short films na clips.

Nipo mtwara.
Kwa sasa natumia simu kufanya hivyo vyote.
 
Unaweza tafuta simu mtumba flagship ya zamani, simu kama Aquos R6 na R7 zina camera sesnor ya Inch 1 zitakupa results nzuri sana kwa chini ya laki 3. Tafuta tu vifaa vingine kama Tripod, Taa etc
Shukurani kiongozi, nitajaribu kuiulizia hiyo simu kwenye maduka ya mtumba kama naweza kuipata, maana maduka ya simu used ni machache sana.

Pia kuna mtu anaiuza Google pixel 6, japo nasikia kuhusu sifa ya kamera ya hii simu lakini Sijajua kama naweza kupata ubora na muonekano wa utofauti zaidi wa video ukilinganisha na hii A05s.

Unaweza kunishauri hapo kiongozi.
 
Ndio pixel 6 itakua improvements kubwa sana toka A05s.

Nayo ni flagship level camera.
 
Back
Top Bottom