lete rimoti
Senior Member
- Aug 24, 2021
- 159
- 202
Wakuu naomba mnijuze
Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ?
Kipo wapi ?
Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ?
Kipo wapi ?
Kazi za taasisi gani,Wakuu naomba mnijuze
Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ?
Kipo wapi ?
Written ya TAA mkuuNa ni written au oral?
Okay,Written ya TAA mkuu
Angalia vizuri kwenye shortlist yao, lazima wataje eneo la kufanya interviewWritten ya TAA mkuu
Naona wamewawekea mikoa tu, na interview ni tar 23,Angalia vizuri kwenye shortlist yao, lazima wataje eneo la kufanya interview
Wakuu naomba mnijuze
Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ?
Kipo wapi ?
Yeah!.. watatoa....mtoa mada ajiandae tu kwa usahiliNaona wamewawekea mikoa tu, na interview ni tar 23,
Labda watawapa venue kesho hivi
mgulani jktWakuu naomba mnijuze
Hawa PSRS kituo Chao Cha Usaili Kwa Daresalaam ni kipi ?
Kipo wapi ?
Ingia public service recruitment secretary utakuta matangazo ya usaili angali la tarehe 23 utakuta wameweka kada ,tarehe na mahali pakufanyia usaili!Naona wamewawekea mikoa tu, na interview ni tar 23,
Labda watawapa venue kesho hivi
Nimeziona mkuuIngia public service recruitment secretary utakuta matangazo ya usaili angali la tarehe 23 utakuta wameweka kada ,tarehe na mahali pakufanyia usaili!