Naomba kuelekezwa namna ya kufuta post zote za Instagram

xavihernandezalcantara

Senior Member
Nov 17, 2020
124
132
Wadau habari za Asubuhi hope ni kwema,Poleni na majukumu.

Kifupi tu nahitaji msaada jinsi ya kufuta post zangu zote za Instagram kwa pamoja. Post zaidi ya 900. Nafanyaje? Msaada plz

#Forgive Me
 
Do it manually moda baada ya nyingine hakuna option ya pamoja, zitafitika, au kama vipi futa account kabisa, i will be scheduled to be deleted after some time, hope ia 15 days of not 30
 
Huwezi kufuta Account ya I.G leo leo? Na ikafutika?

Sijawahi kujaribu, chakufanya emb fungua account nyingine, kisha post chochote, af tumia account yako unayotaka kufuta then uifollow iyo account mpya na u comment, the nenda kwenye account mpya reply iyo comment, kisha ifute account mpya,

Nenda kwenye account ya zaman jaribu ku access ile post na ku view profile ya account mpya uliodelete, kama ikiwa haipatikan then go and delete iyo unayoyaka kudelete , kama inapatikana bas ni bora ukafita manually ingawa kwa siku moja huwez futa post zote mana kuna rate limit ya activities unazoweza kufanya kwa siku
 
Kuna option hiyo kupitia link, utachagua kuremove posts. Kupata link, search “remove instagram posts” kwenye browser yako.
 
Wadau habari za Asubuhi hope ni kwema,Poleni na majukumu.

Kifupi tu nahitaji msaada jinsi ya kufuta post zangu zote za Instagram kwa pamoja. Post zaidi ya 900. Nafanyaje? Msaada plz

#Forgive Me
tumia akaunti ya google kufuta akaunti ya instagram au nitafute kwa 0785807358
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom