msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa kuhusu hizi hatua wakati wa kuapply mkopo

    wakuu salute kwenu, Jamani katika harakati za kuaply mkopo.. ukiangalia hiyo attachment hapo chini .. naombeni kujua kuhusu hizi hatua 1. tertiary education 2. guarantor. halafu wakuu naombeni kujua.. mimi ndo nimemaliz form six.. Bado sina kitambulisho cha taifa.. vilevile sina kadi ya...
  2. JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Uganda: Aua mtoto wake kwa kutopokea fedha za COVID19

    Mkazi wa Kalaki katika kaunti ya Ogwolo nchini Uganda amemnyonga mtoto wake wa miezi 9 baada ya kutopokea hela za serikali wanazopewa watu wasiojiweza kipindi hiki cha COVID19. Mkuu wa Wilaya ya Kalaki, Paul Kalikwani amesema mtuhumiwa mwenye umri wa miaka 35 aliwaambia wanakijiji wenzake kuwa...
  3. K

    JamiiForums Tanzania Msaada wa lift kutoka Kahama kwenda Dar es Salaam

    Habari za wakati huu mimi ni binti mkazi wa Dar es Salaam ila kwa sasa nipo kahama, katika harakati za kujikwamua nilipata msaada wa mtu akanambia kuna kazi ya mgahawa hapa kahama hivyo nije kuanza na makubaliano yote yalifanyika ila baada ya kufika kwa nauli ya kujichanga mtu yule hapokei simu...
  4. A

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu maombi ya ualimu NACTE

    Naomba kuuliza hivi Maombi ya Ualimu kwa ngazi ya cheti na Diploma (NACTE) Bado yanaendelea ? Na utaratibu ukoje msaada tafadhali
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wakuu laptop yangu (DELL) imegomea hapo toka juzi

  6. JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata mawasiliano ya msanii Juma Kassim 'Nature'

    Kama kichwa kinavyojieleza, naomba mni-pm mawasiliano ya J. Nature kwaajili ya shida binafsi. Zaidi ya yote ni moja ya wasanii wakongwe ninao wakubali sana.
  7. JamiiForums Tanzania Msaada wa generator nzuri kwa umwagiliaji bustani

    Habari jf; Nina mpango wa kununua genereta. Ninaomba ushauri wa generator nzuri kwa ajili ya umwagiliaji bustanini (nyanya).
  8. T

    JamiiForums Tanzania Kwa ufaulu huu naweza kusoma Shahada ya Sayansi ya Computer

    Habari zenu ndungu zangu.. Kuna uwezekano wa mtu aliyemaliza form 6 PCM mwaka huu ( division III.14 ) akachukua degree ya computer science. Physics-E Chemistry-E Advanced mathematics-D
  9. 2

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata control number kwenye kujisajili loans board (helsb) 2021/22

    Ndugu zangu mwenye kujua anisaidie maana mimi najaribu ila sipati control number kwaajili ya kufanya malipo, tangu asubuhi mpaka usiku huu.
  10. JamiiForums Tanzania Naombeni msaada wa mawazo ndugu zangu.

    Kati ya hizo course hapo ni ipi course ambayo ina wigo mkubwa wa ajira.🙏🙏🙏 Naombeni ushauri wenu kwa mwenye ujuzi 🙏
  11. N

    JamiiForums Tanzania Rais Samia hatuhitaji tena ziara zako za barabarani, hazina msaada wowote kwetu

    Kwanza kabisa napenda kukupa pole na majukumu ya kitaifa. Vile vile tunakuombea wewe na Serikali yetu katika utekelezaji mwema wa majukumu ya nchi ili kuinua uchumi. Mweshmiwa Rais katika muda mchache huu umeonuesha matumaini ya watanzania kupata maisha bora, Ajira na uchumi kuinuka tena...
  12. JamiiForums Tanzania Msaada mafundi naflash infinix hot 9 play x680 inagoma

    Wakuu habari zenu, Nimeletewa INFINIX hot 9 play x680 tatizo Ni frp Nimejaribu kuflash kwa Sp flash tool ujumbe unaokuja ni huu kwenye picha hivyo naomba MSAADA wenu tutagawana hii pesa ya bando.
  13. JamiiForums Tanzania Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu

    Naomba kusaidiwa kwa anayejua tovuti inayotumika kwenye maombi ya ualimu tafadhali.
  14. JamiiForums Tanzania Angalia hapa viwango vipya vya mishahara ya wafanyakazi wa serikalini

    TGOS A TGOS A 1. (Sh240,000), TGOS A 2. (Sh245,600), TGOS A 3. (Sh251,200), TGOS A 4. (Sh256,800), TGOS A 5. (Sh262,400), TGOS A 6. (Sh268,000), TGOS A 7.(Sh272,000), TGOS A 8(Sh279,000), TGOS A 9.(Sh284,800), TGOS A 10(Sh290,400), TGOS A 11(Sh296,000), TGOS A 12(Sh301,600), TGOS A 13(Sh...
  15. JamiiForums Tanzania Naomba msaada kwenye ajira portal

    Nimejaribu kujisajili kwenye ajira portal. Kuna kipengele kimeniletea shida nimeshidwa kuelewa nifanye vipi. Kipengele cha academic qualifications. Msaada wenu tafadhali🙌🙏🏻
  16. JamiiForums Tanzania Msaada: Tafsiri ya ndoto hii

    Heshima kwenu wakubwa zangu, na madogo hamjambo. Niende moja kwa moja kwenye hoja. Asubuhi hii saa 12 nimeota ndoto ambayo inaninyima raha sana, . Katika ndoto hiyo nimeota nimesingiziwa nimeiba box 9 za karatasi nyeupe yaani rim paper na kufungwa miaka miwili jela Nikiwa jela napata taarifa...
  17. JamiiForums Tanzania Mjadala: Nini chanzo na tiba ya tatizo la upele kuota kwenye uume?

    Habari zenu wana JF, samahani sana kwa usumbufu kama vile tujuavyo misemo ya wahenga kuwa mficha uchi hazai. Since mwezi wa nne nasumbuliwa na hili tatizo nimetumia dawa nyingi sana ant fungus kama zote za tube mpaka za kopo ila bado tatizo linanisumbua. Ninawashwa sana mwilini na vijipele...
  18. JamiiForums Tanzania Msaada: Utaratibu wa kwenda nchi jirani na gari binafsi ukoje?

    Wakuu habari, Naomba kujua utaratibu au nyaraka unazotakiwa kuwa nazo ikiwa utasafiri na gari binafsi kwenda nchi nyingine, mathalani Kenya.
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu hataki kusuka wala kununuliwa nguo nzuri

    Wakuu habari. Nimeoa na nina mwaka na nusu wa ndoa sasa. Nina tatizo ambalo ninahitaji ushauri kwa wazoefu. Binafsi napenda mwanamke anayependeza na kujijali, na napenda awe mke wangu ili nisilazimike kutoka huko nje kuchepuka. Sasa nina mke wangu hapendi kusuka, yaani kichwani yupo rough...
  20. JamiiForums Tanzania Msaada bei za simu Kariakoo

    Hope mpo poa.naomba kujua bei ya simu zifuatazo kwe bei ya jumla kwa dar(kariakoo):tecno 528,tecno 351,tecno 313,tecno 301,tecno 372,tecno 474,tecno 454,itel 2160,itel 2173 na bontel l 600.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…