msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Kama tunapokea msaada wa kuondoa umasikini ina maana tunakiri kuwa Nchini tuna Watu Masikini? Je Masikini hao nao wanatozwa tozo au wanapewa unafuu?

    Sweden grants 100bn/- for fund TASAF Phase II - IPP Media https://www.ippmedia.com › news › sweden-grants-100... Nimeona kama Nchi tumepokea Msaada kwa ajili ya Mpango wa kupunguza umasikini Nchini. Hii inamaanisha ya kuwa kama Serikali tunakiri ya kuwa Sehemu ya Wananchi wetu ni Masikini na...
  2. JamiiForums Tanzania Msaada: Kupata Mawasiliano ya Morogoro College of Health Science

    Za majukumu wakuu? Ninaomba msaada wa mawasiliano ya chuo cha Morogoro College of Health Science cha Morogoro niweze kupata joining instructions forms zao. Ninatanguliza shukrani sana.
  3. JamiiForums Tanzania Ni kweli Chuo cha Mwalimu Nyerere majibu yametoka?

    Eti Ni kweli Mwalimu Nyerere majibu yametoka?? Na Kama yametoka nimeingia kwenye account yangu ipo hivo ina maana sijachaguliwa au nisubiri subiri???
  4. L

    JamiiForums Tanzania naomba msaada wa kujuzwa kama kwa matokeo haya kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote

    habari za wakati huu kila mmoja,ndugu zangu naomba kujuzwa hivi kwa matokeo haya EED ya PCB respectively na D ya BAM(basic applied mathematics) kuna uwezekano wowote wa kusoma bachelor degree yoyote tuu ile?! na kama upo huo uwezekano je ni vyuo vipi na kozi zenyewe ni zipi?! msaada tafadhali...
  5. JamiiForums Tanzania Wakuu kuna hili la kisheria hapa naombeni msaada wenu

    Mwanamke na mwanaume walianza kuishi pamoja kama mke na mume toka mwaka 2007 kama mke na mume na wakapata mtoto mmoja wakiwa kwenye Nyumba ya kupata. Ilipofika mwaka 2015 wakabahatika kujenga nyumba na wakanunua gari. Na mwaka 2016 ndio wakafunga ndoa na wakabahatika kupata mtoto mwingine wa...
  6. JamiiForums Tanzania Nawezaje kupata jezi za Yanga Jijini Dodoma?

    Wakuu salamu, Wakuu nitakuwa Dodoma Siku ya Leo na kesho pia. Je, naweza kupata wapi jezi za Yanga za msimu huu? Zilizozinduliwa Jana.
  7. A

    JamiiForums Tanzania kozi kati ya bachelor of sciencie in civil engineerng UDSm au bachelor of science in elecronic and telecom DIT

    Habari wakuu, Naomba msaada wa mawazo au ushauri katika kuchagua kati ya hizo kozi mbili nilizo zitaja hapo juu Kijana wetu amepata bahati ya kupata nafasi katika hizo kozi mbili hapo juu lakini nimeshindwa kumshauri achague ipi kwa vile sina uelewa mzuri wa hizo kozi ,
  8. H

    JamiiForums Tanzania Majina ya waliochaguliwa Vyuo vya Afya yashatangazwa?

    Eti wameshatangaza waliochaguliwa vyuo vya afya au bado maana walisema wanatangaza 22/8 nao mpka sasa hivi sijasikia kitu. Naombeni msaada hapo
  9. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nasikia Nacte, UDOM matokeo ya admissions yametoka

    Naingia NACTE naona kama hakuna link ya log in , vile vile UDOM hakuna response kwenye akaunti ya kijana. Nifanyeje,
  10. P

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi, nina shahada ya Computer Science

    Habari wana Jamiiforum, Poleni na majukumu. Mimi ni mhitimu wa shahada ya Computer Science mwaka jana, jinsia ni mwanaume, naishi Ilala- Dar es salaam, nafanya shughuli za Web Development. Nimekuja mbele zenu kuomba msaada hapa nilipo hali yangu siyo nzuri kifedha na Computer ambayo naitumia...
  11. JamiiForums Tanzania Naomba ushauri, kila nikipanga mipango haitimii

    Habari za muda ndugu zangu. Hope weekend yenu imekaa njema Wacha nisipoteze muda niingie kwenye mada. Mimi ni kijana ambae nimekuwa nikihangaika sana kwenye mambo yangu lakini huwa sifanikiwi inshort huwa nina mipango mizuri mno lakini haijawahi kufanikiwa, unaweza kuongea na mtu akakuahidi...
  12. JamiiForums Tanzania MSAADA WA TABLET

    Naomba mwenye android tablet ambayo angalau ina sifa hizi aniuzie; 1. storage angalau 16 gb 2.ram angalau 3 au2 gb 3. processor atleast 2GHz 4. mtandao hata iwe na wifi tu 5. isiwe ya tecno 6.iwe used ila nzima 7. iwe ya inchi 7 au 8 Pia anomba ushauri zaaidi. Niko dom
  13. JamiiForums Tanzania Msaada: Namna ya kuweka full width CSS, Related posts display na Post Navigation display kwenye blogger

    Thread closed
  14. JamiiForums Tanzania Wapi naweza kupata fiber sheet

    Wapi naweza kupata fiber sheet Mwenye kufahamu anipe ramani Na bei zinauzwaje Ova Fundi rangi
  15. JamiiForums Tanzania MSAADA : Jinsi ya Kuingiza Piano Kwenye Beat kwa Kutumia Fruit Loops (FL Studio)

    Heshima kwenu wakuu. Well, naomba msaada kwenu wakuu. Kwa mfano nina beat, halafu niko na program ya FL Studio, sasa nahitaji kupiga au kuongeza some instruments kwenye hiyo beat kwa Kutumia FL Studio nafanyaje wakuu? Naombeni muongozo wadau. Natanguliza shukran kwenu wakuu. Thanks a lot.
  16. JamiiForums Tanzania Msaada wa muundo wa barua ya kuhama kituo Cha kazi

    Wakubwa heshima kwenu, naomba kusaidiwa muundo wa barua ya uhamisho. Mimi ni mwalimu wa shule ya msingi nataka nahama kutoka Halmashauri moja kwenda nyingine Binafsi sifahamu njia za kupitia ili nifanikiwe kwa haraka. Natanguliza shukrani za dhati kabisa
  17. K

    JamiiForums Tanzania Msaada, awamu za ujenzi

    Nawasalimu wanajamvi, Mfano ujenzi nyumba imefika kiwango cha hii picha, Hapo tayari ina bomba za kuja kupitishia wiring ya umeme, mfumo wa bomba za maji safi na maji taka pamoja na shimo la maji taka vipo tayari na tuchukulie pesa ya kumalizia ipo ya awamu awamu. Naomba kufahamishwa kama kuna...
  18. K

    JamiiForums Tanzania Picha: Hiki ni kiumbe gani? (Kama samaki mtu mdogo) nimekuta home

    Salamu za asubuhi, hiki kiumbe nimekuta kimefukiwa nyumbani kwangu sehemu ya kuingilia kibarazani bado sijaelewa ni kiumbe gani. Msaada kwa ambae amewahi kukutana na kitu Kama hiki. Ukiangalia kwa umakini utaona mkia Kama wa samaki, kichwa Kama binadamu na mikono kabisa.
  19. C

    JamiiForums Tanzania Nimekuwa na mahusiano na binti asiye na maambukizi ya VVU, anataka tukutane kimwili

    Mimi ni kijana/mwanaume ninayeishi na VVU kwa muda mrefu sasa hivi nimekua nina mahusiano na binti asiye na maambukizi na kwa sasa kwa hakika ninashuhudia mapenzi ya dhati katika historia ya maisha yangu. Changamoto; kwa muda amekuwa akitaka mimi na yeye tukutane kimwili nikawa namtolea nje...
  20. D

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kilimo cha soya au mbaazi

    Jamani mimi ni mkulima mdogo mkoani iringa nalima mahindi, lakini kutoka na hali halisi ya soko na pembejeo kuwa juu nadhani mwakani sitoweza kulima, nataka kulima soya au mbaazi, sasa sijui kitaalamu km hilo zao linastawi na wakati gani wa kulima, kama kuna mwenye taarifa nzuri basi tupeane...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…