msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada wa bleed isiyoisha kwa mwanamke aliyetoa mimba

    HABARI WANA JF, Naomba Kufahamu Kwa Mwanamke Aliyetoa Mimba kwa Kutumia Vidonge Vya Kutolea Mimba Na Kupata Bleed Isiyo Kata Zaidi Mwezi Nzima Naomba Kufahamu.👇👇👇 1.Nini Chanzo. 2.Madhara 3.Matibabu.🙏🙏🙏
  2. B

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu utosi wa mtoto mchanga wa wiki Moja kudunda

    Habarini za usiku wapendwa. Naomba mwenye kufahamu ni kwanini mtoto mchanga wa wiki moja utosi wake haudundi na je? io ni hali ya kawaida au ni tatizo kwa mwenye uelewa tusaidiane kupeana elimu
  3. JamiiForums Tanzania Msaada wa final year project title kwa bachelor degrees

    Naombeni msaada.....nasoma chuo X hapa tz , Ni finalist na nnatakiwa kufanya final year project ili niwe awarded degree ya computer science.... Changamoto ipo hivi , tulipebdekeza project title nyingi Sana na baadae moja ikapita, Title ilikuwa chronic desease management information systems...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada wa QuickBooks

    Wakuu habari zenu, naomba mwenye licence key, product nunber na validation number kwa ajili ya QuickBook Premier 2018, au sehemu yoyote ambayo naweza kupata software yake. natanguliza shukrana
  5. L

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali juu ya hints za kujisomea sana na kwa muda mrefu

    Habari za wakati huu ndugu zangu,naombeni hints za mbinu za kuweza kwanza kupata hamu ya kujisomea,pia kujisomea sana na kwa muda mrefu mno, natamani nisome hata 24hrs/7 ila tatizo kubwa ni usingizi na najikuta nakosa kabisa hamu ya kujisomea baada ya kutoka vipindi. Mimi ni mwanafunzi wa...
  6. JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada wa transporter wa kunisafirishia mzigo wangu kwenda Nakonde

    Habari wadau! Nina mzigo wangu mkubwa kidogo unataka kwenda Nakonde, Zambia. Je kuna transport er Kwa nisafirishia kutoka Dar mpaka Nakonde? Msaada jamani
  7. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu simu

    Wajuzi wa Mambo nataka kuchukua simu ya Huawei Nova 2 plus au Huawei Nova 3i au oppo a 15 vipi kwa ambao wamewai kutumia simu izi ipi inafaa kuanzia ubora na kila kitu kwenye matumizi na chaguo la mwisho ni Huawei p 10 lite Chief-Mkwawa msaada tafadhali
  8. JamiiForums Tanzania Urusi yapokea msaada wa silaha kutoka kwa waasi wa Iraq, kwa kupitia Iran - hali mbaya

    Kwa kweli Urusi imefikia kiwango kipya cha aibu, mpaka wanapokea misaada ya silaha kutoka kwa waasi, kainchi kadogo Ukraine kamekua mfupa uliomshinda fisi.... Iranian networks have been working to smuggle weapons from Iraq to Russia as Moscow’s plans to quickly invade Ukraine’s capital and...
  9. J

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kumwombea ajira mwalimu wa certificate ku-add taarifa za chuo

    Nisaidie
  10. JamiiForums Tanzania Wewe umetoa msaada gani?

    Salamu kwako. "wema hauozi" na kizuri kinajiuza ila kibaya kinaendelea kujitembeza ni takribani miaka 16 kuna faida nyingi na hasara chache zilizopatikana kwenye tovuti yetu pendwa ya jamiiforums kwa makusudio ya uzi nitaorodhesha faida kadhaa nilizopata kwenye blogu hii na jambo gani...
  11. I

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka: Nasumbuliwa na goti

    Wakuu salaam, Ni week Sasa NASUMBULIWA na goti limevimba vimba linauma alaf limekaza hata turning ya mguu kutembea imekua tatizo nachechemea tu. Nimechuliwa na kuchuliwa ila ngoma inalegea kidogo na kukaza Tena. Ni tatzo limekua likintokea Mara kadhaa huko nyuma pia Sijaumia Wala kuanguka...
  12. T

    JamiiForums Tanzania Msaada maombi ya ualimu 2022

    Kuna baadhi ya kozi hazionekani kama Diploma in Physical education haipo je walioomba physical education wamefanyaje?
  13. T

    JamiiForums Tanzania Nahitaji msaada kwa yeyote anayetoka mkoa wa njombe na iringa

    Natarajia mko wazima wakuu. Naomba musaada, kama kuna mtu ambae ametoka mkoa wa njombe na iringa tafadhali niadikia,niko na mambo muhimu sana nataka kujua toka njombe na iringa. Natangulia shukrani wakuu.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Msaada wa vifaranga vya Sasso au Kuroiler

    Habari za muda? Kwa yeyote anayefahamu wanapouza vifaranga vya sasso au Kroiler ndani ya Dodoma anifahamishe, au mwenye contact za wakala yeyote wa silverland aliyepo dodoma anipatie, usisahau kunijulisha na Bei. Karibuni!
  15. JamiiForums Tanzania Chama kipya cha Umoja Party kitakapozoa wanachama wengi kwa msaada wa Zitto Kabwe

    Chama chenye nembo ya hayati JPM kimeanza mchaka mchaka wa kutafuta wanachama wake wapya kabisa, kikijitangaza kusimamia falsafa za hayati JPM. Chama HIKI kimeanza harakati zake katika kipindi ambacho hayati anakosolewa Sana mitandaoni na wanasiasa mbali mbali akiwemo Zito Kabwe na Raisi wetu...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada Tunatumia nini baada ya Kickass kufungiwa?

    Kwa wale ambao tulikuwa tunapakua software mbalimbali tulikuwa tunatumia sana hii kitu nakumbuka muda fulani ilifungiwa, naomba msaada wenu wakuu baada ya kufungiwa tunatumia nini?
  17. JamiiForums Tanzania Msaada: Niko njia panda, niendelee na mishe zangu au niombe ajira za Serikali?

    Husika na mada hapo juu. Mimi ni mhitimu wa diploma ya elimu since 2017. Mwaka 2019 nikaaply degree na nilichaguliwa lkn sikwenda baada ya kuwaza sana nikaona nifanye mishe kwanza kwa hela kidogo nliyonayo badala ya kupoteza 3 yrs chuo alaf nianze kuhangaika na ajira, nikiwaza kwamba nitaenda...
  18. M

    JamiiForums Tanzania Mlioomba kazi TANROADS Tabora mlishaitwa kwenye usaili?

    Naomba mnijuze wakuu kwa wale ambao mliomba kazi za Tanroads Tabora, vipi walishaita kwenye interview au watatangaza lini na wanatangaza kupitia website gani? Tafadhali msaada wenu wakuu.
  19. K

    JamiiForums Tanzania Nini kirefu cha RB inayotolewa na Polisi

    Ukienda police unapewa RB JAPO sijuagi kirefu chake
  20. W

    JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya kutumia free Facebook

    Sorry kwa usumbufu jamani nina shida nataka nijue jinsi ya kutumia free Facebook yaan niweze kuona picha natumia Facebook lite apk asanteni!
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…