Nini kirefu cha RB inayotolewa na Polisi

RB kipolisi maana yake ni REPORT BOOK.
Hiyo ina maanisha kuwa kuna mtu amekuja Polisi kutoa taarifa ya tukio la jinai, na polisi wamepokea taarifa hiyo na kuiandika kwenye kitabu chao basi. Hakuna kitu kingine na hakuna chochote cha maana.

Ni sawa na kuingia ofisini na kutia saini kwenye kitabu cha mahudhurio.
 
Rythm , Blues muziki kwenda mbele, utacheza sana ukiwekwa rumande Djs utawakuta hukohuko vua mkanda
 
kuna jamaa yangu ni polisi nimemwuliza hapa hata yeye hajui, yani kachukulia mazoea kwamba ni kibali cha kumkamata mtu.
Ila kitefu chake hajui..
hahahaha
 
RB kipolisi maana yake ni REPORT BOOK.
Hiyo ina maanisha kuwa kuna mtu amekuja Polisi kutoa taarifa ya tukio la jinai, na polisi wamepokea taarifa hiyo na kuiandika kwenye kitabu chao basi. Hakuna kitu kingine na hakuna chochote cha maana.

Ni sawa na kuingia ofisini na kutia saini kwenye kitabu cha mahudhurio.
Kwa kuongezea tu mkuu, hiyo taarifa sio lazima iwe ya tukio LA jinai hata ukipotelewa vitu muhimu km IDs, documents,leseni, hata akipotea mtu, mf mtoto mke mume yoyote yule yani, ukiripoti utapewa RB lazima. Thanks
 
Rice beans UDSM PALE TUMEKULA SANA BOOM LIKIKATA
Hahahaaaa mkuu umenikumbusha mbal sana yaan Udsm pale ukila RB yaan ina maana umeishiwa sana coz RB inatafsiri ya chakula chenye low quality. Dah mpaka leo napapenda sana udsm.
 
kuna jamaa yangu ni polisi nimemwuliza hapa hata yeye hajui, yani kachukulia mazoea kwamba ni kibali cha kumkamata mtu.
Ila kitefu chake hajui..
hahahaha
ha ha ha ha ha,huyo polisi wa mwendokasi,atakuwa hata hajui kuwa POLISI pia ina kirefu ambacho ni Pale Ovu Linapotokea Inabidi Sheria Ifuatwe...
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom