Habari wadau,
Naomba msaada kwa wenye uzoefu wa biashara ya vitu vya nyumbani.
Naomba kufahamu makadirio ya mtaji, changamoto na uzuri wa biashara, na mahitaji yote ili kufungua biashara hii.
Location ni kigamboni
NB; Duka la kisasa(mfano wa mini supermarket). asanteni