Msaada: Napata shida kulink VISA card na online betting companies

Planet FSD

JF-Expert Member
Oct 24, 2019
455
938
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.

Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.

Kwa wale wanaofanya online betting kupitia sites kama Bet365 au William Hill, ningependa kujua ni mnatumia cards za bank gani bila usumbufu.
 
Akunyimae Kunde......

Anyway unaweza kutumia online money wallets link card kwenye wallet na wallet huko kwenye kipigo...

By the way kama huruhusiwi kufanya betting offshore siku ukishinda, jamaa wakikataa kukupa pesa zako au wakitaka verification zaidi hence kuzuia pesa utakuwa hauna wa kumlaumu...
 
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.

Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.

Kwa wale wanaofanya online betting kupitia sites kama Bet365 au William Hill, ningependa kujua ni mnatumia cards za bank gani bila usumbufu.
unapoteza muda mkuu link iyo kadi yako na paypal then tumia paypal kufanyia malipo simpleee tu
 
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.

Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.

Kwa wale wanaofanya online betting kupitia sites kama Bet365 au William Hill, ningependa kujua ni mnatumia cards za bank gani bila usumbufu.
acha kubeti brother fanya biashara hata online tu fresh
 
Back
Top Bottom