Msaada wazee wa mikeka: kulink VISA card na online betting companies

Planet FSD

JF-Expert Member
Oct 24, 2019
455
938
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.

Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.

Kwa wale wanaofanya online betting kupitia sites kama Bet365 au William Hill, ningependa kujua ni mnatumia cards za bank gani bila usumbufu.
 
Mkuu ni kweli ila solution ni kutumia Prepaid card... Mie natumia ya UBA Bank now inafanya kazi fresh
 
BancABC walisema hata prepaid card yao imekuwa blocked. Hii ya UBA unatumia kwenye forex au betting?
 
Vipi Leo England anapiga Ujerumani Ili kulinda heshima yake au atauza kama alivyofanya France Jana? England na Italy win hao wawili TU. Sitaki tamaa.

Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu ni kweli ila solution ni kutumia Prepaid card... Mie natumia ya UBA Bank now inafanya kazi fresh
Na kutoa pesa inakubali ? Niliwahi kutumia kadi ya NBC ikawa inakubali kuweka pesa ila kutoa ikawa inagoma
 
Wakuu msaada, nimekuwa nahangaika kulink card yangu ya VISA Debit kutoka Equity Bank. Nilipowauliza wakasema ni BOT wamezuia online transactions kutoka/kwenda kwenye online gambling sites na forex.

Nilipewa pia jibu hilo hilo nilipowapigia BancABC.

Kwa wale wanaofanya online betting kupitia sites kama Bet365 au William Hill, ningependa kujua ni mnatumia cards za bank gani bila usumbufu.
Kama ni warusi tumia skrill/moneybookers link card yako na skrill then ndo utumie skrill kuweka na kutoa pesa huko
 
Kama hiyo site inakubali crypto,tumia crypto haina kelele za banks
 
Mleta mada naomba unisaidie namimi suluhu ya hili jambo kama ulipata jibu sahihi la swali lako......nina tatizo shida kama hii yako boss wangu
 
Back
Top Bottom