Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional plannin?

Edgar 8900

Member
Jun 8, 2022
24
9
Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional planning kama ninasifa za chuo husika?
 
Nimechaguliwa udom kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional planning kama ninasifa za chuo husika?
 
Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional planning kama ninasifa za chuo husika?
Unaweza kuhama, baada ya udahili zile week mbili za kuanza chuo unaweza kuhama program moja kwenda nyingine chuoni hapo au hata ukahamia chuo kingine. Utatakiwa kuandika barua ya kuomba kuhamia kwenye chuo unachotaka kwa kesi yako Ardhi Uni kisha utaambatisha barua ya Admission ya UDOM, vyeti vyako vya F4 na F6. Kisha km kutakuwa na nafasi watakujibu na kukupa utaratibu wa kufuata ili ujisajili hapo. Angalizo ukianza mchakato wa kuhama usiende kujisajili UDOM wala kulipa ada mpaka upate majibu ya transfer yako kingine kuna muda wa kusubiri mkopo wako uhame nayo inachukua muda so jiandae kujifadhili kwa kipindi hicho.
 
Nimechaguliwa UDOM kozi ya BED-PYS naweza kuhamia Ardhi nikasome bachelor of science in Urban and regional planning kama ninasifa za chuo husika?
Bora ungeenda ukasome civil engineering ndio inakutoa kimaisha. Hizo zingine ni danganya toto
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom