Msaada kwenye tuta

Msaada kwenye tuta

MWAMUNU

JF-Expert Member
Joined
Dec 17, 2011
Posts
868
Reaction score
529
Wakuu heshima kwenu.

Naomba msaada kwa wenye uzoefu na safari ya Dar to Arusha. Kesho kuna gari naipeleka Arusha, changamoto ni kwamba sijawahi fika Arusha kwa njia ile, nimeishia pale Mkata.

Kwa wazoefu naomba mnitoe tongo tongo changamoto ya ruti hiyo. Kuhusu udereva, nna uzoefu wa miaka mingi na nshapiga ruti ndefu nyingi sana, sema sijawahi hiyo ya Arusha.

Asanteni, naomba kuwasilisha.
 
Ndio njia inayoongoza kwa kua na matrafiki wengi.

Hakikisha gari ina extinguisher, triangle, copy ya kadi, na haina deni na wewe una leseni.

Mwendokasi uwe mdogo fuata vibao vya 50.

The rest fuata tu Google Map. Utafika. Ni kama 7 hours kutoka hapo Mkata.
 
Nashukuru ,na njia ipi nzuri kati ya hii ya Chalinze na ile ya Bagamoyo?
 
Tafuta pisi ikae pembeni itakufanya safari uoine fupi sana.
Karibu Arusha ukipenda njoo Picnic usafishe macho na unyooshwe viungo na warembo wa Chuganistani.
 
Pita ya Bagamoyo chap kwa haraka.
Naunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.

Muda mzuri ondoka Asubuhi sana 5am utazitangulia sana Bus wale jamaa wasumbufu.

Au ondoka saa 1 mabasi yameshaenda.

Kuhusu gari:
1. Cheki oil level na ubora. Kama oil imeshapita muda Bora ufanye service.

2. Tyre pressure angalia mbele ziwe 45 nyuma 35 psi poa sana.

3. Coolant na brake fluid iwe level.

4. USIWEKE IKEDA.

5. Weka wese kama lita 45 hadi 50 huku (kama laki 1 na nusu hivi) maana unavyozidi kwenda mbali na Dar wese linapanda bei.

6. Fuata ushauri wa mdau hapo juu ukiwa na company esp yoa mdada utainjoy zaid.

7. Usiendeshe uwahi kufika. Endesha ufike salama. Pumzika for breakfast (30mnts), lunch, na maji so ukipumzika mara , 3 poa sana.
 
Wakuu heshima kwenu.

Naomba msaada kwa wenye uzoefu na safari ya Dar to Arusha. Kesho kuna gari naipeleka Arusha, changamoto ni kwamba sijawahi fika Arusha kwa njia ile, nimeishia pale Mkata.

Kwa wazoefu naomba mnitoe tongo tongo changamoto ya ruti hiyo. Kuhusu udereva, nna uzoefu wa miaka mingi na nshapiga ruti ndefu nyingi sana, sema sijawahi hiyo ya Arusha.

Asanteni, naomba kuwasilisha.
Mkuu nakutakia safari njema. Ikikupendeza basi usimame hapa Korogwe tupige story mbili tatu na lunch wakati oil inashuka then uendelee na safari.

Mambo mengine ya msingi yameshaelezwa na mchangiaji wa kwanza wa uzi huu ila nikupe angalizo moja tu kwamba, MOJA YA SABABU KUBWA YA AJALI ZA BARABARANI NI UGENI WA BARABARA HUSIKA NA CHANGAMOTO YA MIUNDOMBINU YA BARABARA ZETU. Kama mgeni usikimbie sana kwasababu unaweza ukakuta kuna sehemu kuna kona au mteremko mkali mbele, halafu hakuna kibao kinacho-indicate ili kumsaidia dereva. Ukiwa mzoefu wa hiyo barabara hili haliwezi kuwa tatizo, ila kinyume chake ni mzinga!

Safari ni hatua. Kila la kheri.
 
Naunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.

Muda mzuri ondoka Asubuhi sana 5am utazitangulia sana Bus wale jamaa wasumbufu.

Au ondoka saa 1 mabasi yameshaenda.

Kuhusu gari:
1. Cheki oil level na ubora. Kama oil imeshapita muda Bora ufanye service.

2. Tyre pressure angalia mbele ziwe 45 nyuma 35 psi poa sana.

3. Coolant na brake fluid iwe level.

4. USIWEKE IKEDA.

5. Weka wese kama lita 45 hadi 50 huku (kama laki 1 na nusu hivi) maana unavyozidi kwenda mbali na Dar wese linapanda bei.

6. Fuata ushauri wa mdau hapo juu ukiwa na company esp yoa mdada utainjoy zaid.

7. Usiendeshe uwahi kufika. Endesha ufike salama. Pumzika for breakfast (30mnts), lunch, na maji so ukipumzika mara , 3 poa sana.
Nashukuru sana mkuu ubarikiwe.Kuhusu service kila kitu nimezingatia
 
Vanguard lita 60 FT, unatoboa maana ila consumption ya 12km/l average ukiendesha vema inagusa 14.

Sasa Dar to Arusha ni kama 670km ukigawanya hapo zinahitajika lita 55 hivi maximum.
Asante kwa ufafanuzi.
 
Wakuu heshima kwenu.

Naomba msaada kwa wenye uzoefu na safari ya Dar to Arusha. Kesho kuna gari naipeleka Arusha, changamoto ni kwamba sijawahi fika Arusha kwa njia ile, nimeishia pale Mkata.

Kwa wazoefu naomba mnitoe tongo tongo changamoto ya ruti hiyo. Kuhusu udereva, nna uzoefu wa miaka mingi na nshapiga ruti ndefu nyingi sana, sema sijawahi hiyo ya Arusha.

Asanteni, naomba kuwasilisha.
Naelekea huko naomba tusonge wote.
 
Naunga mkono. Pita hiyo ya B'Moyo.

Muda mzuri ondoka Asubuhi sana 5am utazitangulia sana Bus wale jamaa wasumbufu.

Au ondoka saa 1 mabasi yameshaenda.

Kuhusu gari:
1. Cheki oil level na ubora. Kama oil imeshapita muda Bora ufanye service.

2. Tyre pressure angalia mbele ziwe 45 nyuma 35 psi poa sana.

3. Coolant na brake fluid iwe level.

4. USIWEKE IKEDA.

5. Weka wese kama lita 45 hadi 50 huku (kama laki 1 na nusu hivi) maana unavyozidi kwenda mbali na Dar wese linapanda bei.

6. Fuata ushauri wa mdau hapo juu ukiwa na company esp yoa mdada utainjoy zaid.

7. Usiendeshe uwahi kufika. Endesha ufike salama. Pumzika for breakfast (30mnts), lunch, na maji so ukipumzika mara , 3 poa sana.
Hapo namba 4 sijaelewa iyo IKEDA ni nini?
 
Mabishoo wa Sinza wanaoendesha Crown wakina National Anthem

images.jpeg
 
Karibu Chuga.
Wenyeji tupo kukufanya usiwe bored
 
Back
Top Bottom