Simu yangu imepatwa na "ghost touch", msaada tafadhali

raslimali

JF-Expert Member
Nov 4, 2014
1,349
1,022
Habari wakuu,

Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa.

Mwenye ujuzi naomba msaada, nilishawahi kupata hili tatizo kwenye Tecno lakini liliisha lenyewe bila kufanya chochote. Ila hii samsung ni siku ya tatu leo siwezi kufanya nayo chochote. Msaada please kwa wale wataalamu.
 
Habari wakuu,

Nina simu Samsung Galaxy Grand Prime+ imepatwa na hili tatizo linaloitwa ghost touch. Yaani screen inachezacheza yenyewe bila kubonyezwa na mtu. Nimejaribu njia kadhaa nilizoona mtandaoni kama restart, update software, clean screen lakini hazikufaa. mwenye ujuzi naomba msaada. nilishawahi kupata hili tatizo kwenye Tecno lakini liliisha lenyewe bila kufanya chochote. Ila hii samsung ni siku ya tatu leo siwezi kufanya nayo chochote. Msaada please kwa wale wataalamu.
Jitahidi utafute simu asee
 
Nunua iPhone au pixel hazna stucks Wala paus
 
nje ya mada kidogo kiongozi.

haka ka simu ni kabovu mno toka kamekuja duniani 2015.fanya kukatelekeza tu utafute kengine hapo kameroga kioo,kenyewe thamani yake kwa sasa hata elfu 70 hakauziki,kioo kutengeneza utakuta ni elfu 45,chagua maamuzi sahihi hapo.
 
Nenda kwa authorized dealer wa Samsung wana tech desk watakusaidia
 
nje ya mada kidogo kiongozi.

haka ka simu ni kabovu mno toka kamekuja duniani 2015.fanya kukatelekeza tu utafute kengine hapo kameroga kioo,kenyewe thamani yake kwa sasa hata elfu 70 hakauziki,kioo kutengeneza utakuta ni elfu 45,chagua maamuzi sahihi hapo.
Sawa. Acha nitafute japo Infinix
 
Back
Top Bottom