Naomba msaada wa PC

Chachasteven

JF-Expert Member
Jul 4, 2014
1,878
1,849
Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada.

Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za creativity hasa graphics design na film making. Ndoto yangu siku moja niwe mtengeneza filamu. Ingawa kuna mambo ya hapa na pale yananikwamisha. Nimethubutu kwa kujifunza na naamini naweza. Ila kutokana na hali ya uchumi inaniwia vigumu hata kununua PC yenye uwezo.

Ndugu zangu, naomba kama kuna mtu ataguswa na kunisapoti anisaidie kwa namna yeyote nipate walau laptop core i5 kwa kuanzia.

Mawasiliano DM au kwa namba yangu ya Vodacom 0763 170 858. Nipo Mwanza. Shukrani.

Baadhi ya kazi zangu: Profile page for ChachaX
 
Wakuu! Ninaamini post yangu mnaiona nawakumnmbushieni tena. I wish ningekuwa na namna, ila ndiyo sina. Tafadhalini sana.
 
Ndugu zanguni habari, najua JF inao mkusanyiko wa watu tofautitofauti hivo nimeona suala langu nililete hapa pengine nitapata msaada.

Mimi ni mkazi wa Mwanza, ila nina passion kubwa na ishu za creativity hasa graphics design na film making. Ndoto yangu siku moja niwe mtengeneza filamu. Ingawa kuna mambo ya hapa na pale yananikwamisha. Nimethubutu kwa kujifunza na naamini naweza. Ila kutokana na hali ya uchumi inaniwia vigumu hata kununua PC yenye uwezo.

Ndugu zangu, naomba kama kuna mtu ataguswa na kunisapoti anisaidie kwa namna yeyote nipate walau laptop core i5 kwa kuanzia.

Mawasiliano DM au kwa namba yangu ya Vodacom 0763 170 858. Nipo Mwanza. Shukrani.

Baadhi ya kazi zangu: Profile page for ChachaX
Hongera kwa kutaka kuishi ndoto zako amini katika MUNGU atakusaidia tu kwa wakati! Skia hii anza kwanza kufanya kazi kwa kutumia PC za watu unakua unaazima hivo hivo unafanya kazi zako na kupata uzoefu, mwisho wa siku unaweza pata ma deals makubwa makubwa ukapata pesa maisha mengine yakaendelea..... Jiweke karibu na wafanya Graphics kama wewe, wanasemaga kujipendekeza huwa kubaya ila kuna wakati inakubidi ufanye ivo ili kupiga hatua moja katika mitikasi ya maisha.
 
Back
Top Bottom