Msaada kufungua internet Banking Equity

GIRITA

JF-Expert Member
Jul 4, 2016
4,134
5,244
Habari wakuu,

Naomba kusaidiwa kufungua online banking au Internet Banking kwa bank ya equity bank, kwa anaweza anisaidie.
 
Watakusajili wao wenyewe na kukupa username and password Yako.

Then utakuwa upo activated.
 
Mi nimejisajili mwenyewe ingia online.equityholdinggroups
Uwe na card yako na namba uliyojisajilia very simple, lol eti nina jero kweli mmh wakuu ni bustini jamani napumulia mashine.

View attachment 2476931
Hii nimejaribu inaniambia invalid email id....itabidi niwafuate wanisajilie wenyewe nimejaribu sana lakini wapi .....shukrani
 
Back
Top Bottom