Msaada: Biashara ya Mashuka toka Uganda

mpwakimeo

Member
Feb 29, 2012
85
53
Habari za Mwaka mpya wana jamii. Kuna haya mashuka na blanket za kutoka Uganda. Nataka na mimi nifanye hii biashara.

Ila nitafurahi kama nitapata muongozo na namna ya kuyapata toka Uganda. Kama kuna mtu ana uzoefu au connection naomba anishirikishe.

Asante sana.
 
Habari ndugu,
Hope upo mzima.
Samahani unaweza kunipa connection za mashuka ya Uganda na Mimi, nilikua nahitaji kwa majina naitwa Kassim nipo Zanzibar
 

Attachments

  • Screenshot_20230425_150840_com.opera.mini.native.jpg
    Screenshot_20230425_150840_com.opera.mini.native.jpg
    84.3 KB · Views: 86
Asili ya watanzania niwatu wachoyo wasiopenda watanzania wenzao kuendelea kwa faida ya nchi yao..

Jamaa kaomba connection kapata ilaa kapatia connection inbox wakati connection hiyo kaiombea hapahapa jukwaani... Wengine wanaomba the same thing ila aliyepata connection ha replied
 
Nauza shuka za uganda kwa balo
Linakua na set 20
Shuka 40
FOronya 80
Balo moja Tsh 650,000
Karibuni sana
#0699306065

INSTAGRAM @dollrubii_decors

Hivi hayo mashuka nikwamba yanatengenezwa huko huko Uganda au yanatoka China yanaingia Uganda?
 
Mtumba ila kule serikali haijaweka kodi za kipuuzi so ni very cheap. Huku SISIEMU wanatoza kodi hata nguo ulizovaa.

Nimeiona hii hali hata zambia. Zambia wanachukua mzigo kutoka China wanatumia banadari yetu bado wanasafirisha mzigo kwa malori zaid ya kilomita 2000 na bado bei za bidhaa zao ziko chini. Kiatu tunachouziwa elfu80 Dar zambia kinauzwa elfu38. It’s https://jamii.app/JFUserGuide***disgrace!
 
Back
Top Bottom