msaada

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Msaada Android App nzuri ya kutengeneza cover za social media

    Rejea na kichwa Cha habari hapo juu, naomba Msaada wa app nzuri ninavyoweza kudownload na kuitumia kutengeneza cover za social media post. Asanteni
  2. JamiiForums Tanzania China yaendelea kujitetea haijawahi kuwa na lengo la kutoa msaada wa sila Urusi

    China yaendelea kuomba isije ikaeleweka vibaya, imejitetea mara kadhaa sasa kwamba haijawahi kuwa na nia ya kutoa misaada ya silaha kwa Urusi...... Aisei Mrusi analo....Kwa sasa hivi hata fununu kuhusu nchi yoyote kwamba inampa msaada Putin itakua kwenye tabu...hata mataifa ya Kiarabu...
  3. JamiiForums Tanzania Msaada juu ya Kozi ya Business Administration with Education

    Habari wanajamvi! Kuna mdogo wangu ni Mwalimu wa ngazi ya Diploma katika Shule ya Msingi. Ameajiriwa miaka ya karibuni. Anataka kujiendeleza kielimu Open University katika kozi ya Bachelor of Business Administration with Education huku masomo ya kufundishia yakiwa ni Bookeeping na Commerce . Ila...
  4. JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali kuhusu afya ya mke wangu

    Wakuu habari zenu, naomba msaada, ni kuhusu tatizo alilonalo mke wangu. Ana ujauzito wa takribani wiki 7 tatizo lake nikwamba anusumbuliwa na tumbo sana eneo la kuzunguka kitovu, hata baada ya kula kidogo tu anahisi maumivu ya tumbo sana, tatizo hili liliwahi kutokea na kupelekea ujauzito...
  5. JamiiForums Tanzania Msaada wa kutoa harufu ya sigara kwenye gari

    Gari ya mtumba imekuja kutoka mbele. Kumbe walikuwa wanakula sigara humo ndani. Nahitaji msaada namna ya kuitoa harufu huko ndani.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  7. JamiiForums Tanzania Msaada dawa ya mitishamba ya appendix

    Habari wataalamu wa Afya, Nina Mgonjwa Anasumbuliwa sana Na Appendex. Hayupo tayari kufanyiwa Operation. Kulingana na Athari za Operation kwenye mwili. Japo ni operation ndogo lakini amekataa katakata kufanyiwa Operation. MSAADA KWA MTU ANAYEWEZA KUTUSAIDIA KUPATA DAWA ZA MITISHAMBA ZENYE...
  8. D

    JamiiForums Tanzania Msaada tafadhali nikijaribu kutuma maombi Tamisemi taarifa za chuo zinagoma

    zina load muda mrefu then UNDEFINED.. see attachment
  9. JamiiForums Tanzania Msaada jinsi ya ku Refund Pesa zirudi kwenye account yangu

    Habari wana JamiiForums, Hivi majuzi account yangu ya Gmail ilifanya malipo kwenye airtel money kupitia google Play kwa app ambauo niliidownload playstore ambayo sikuwa awareness na kuchukua kiasi kikubwa cha fedha. Niliwasiliana na networ provider yangu nikaambiwa niwasiliane na google play...
  10. JamiiForums Tanzania Msaada: Swali from C++ programming language

    1) Identify element of process operator overloading 2) Expalain stream unary and binary operators
  11. I

    JamiiForums Tanzania Naomba Msaada wa Kibarua

    Hodi na Salamu Members. Mimi ni kijana wa kiume (27), Elimu yangu ni ya Secondary. Nimekuja kwenu Kuomba Connection ya Kibarua cha kulipwa kwa siku, Nimeandamwa na msururu wa Madeni ya Kodi na kwa mangi. Nipo tayari kufanya Majukumu yoyote ilimradi yasikiuke Utu na sheria za nchi. Mungu...
  12. JamiiForums Tanzania Naomba maana ya usemi "Ng'ombe hawezi kuona umuhimu wa mkia mpaka ukatike." Na je, kuna uhusiano na jamii yetu?

    Habari wajukwaa, nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kama kichwChcha uzi kinavyoeleza hivi maana ya usemi huo hapo juu una maana gani? Na je, kuna uhusiano na maisha yetu ya Kila siku? Nimekua nikiusikia watu wengi wakiutumia kwa mazoea pasina kujua maana maana halisi...
  13. R

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada katika scenario kama hii ya road accident

    Kijana wangu alikuwa amebebwa na Bodaboda (pikipiki) pamoja na wenzake wawili wanakwenda shule (mshikaki). Gari likamgonga bodaboda kwa nyuma, mtoto akaanguka na kuumia . (by the way mmoja alikufa na mwingine escaped unhurt) Msaada: Katika scenario kama hiyo namshitaki nani? Bodadoda au mwenye...
  14. JamiiForums Tanzania Msaada Wadau

    Nawezaje kutuma kazi za huyu lecture kwenye email yake
  15. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu simu yangu ya Oppo

    Naombeni kunijuza izo picha mbili chini ni tofauti lakini zinatoa information ya kitu 1 yan ni hivi ninasimu ya Oppo A 83 ambayo storage ya ndani inaonesha 128GB ram6 lakini ukiingia gsmrena ukiangalia specification inaonesha tolrola simu iyo mwisho storage 64GB kama pichaya1 apo chini inavyo...
  16. JamiiForums Tanzania Msaada fundi wa mlango wa Porte Automatic

    Waungwana heri ya pasaka na mfungo mwema kwa kila muhusika. Kwa anaemjua fundi wa mlango wa porte ambao umeacha kujifungua automatically. Awe dar tafadhali. Shukran za dhati za awali. Cc: Extrovert
  17. JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu shida ya simu yangu

    Jamani nahitaji kufahamu, nina simu ya Oppo A83 ina Ram6 na storage 128 lakini kinachonishangaza ukidawnload fail la file manager linakuonesha 64GB ndo storage, sasa sijaelewa hapo nisaidieni wajuzi.
  18. B

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mawazo: Nataka kuanza kilimo cha maharage

    Wakuu nawasalimu, Heri ya sikukukuu ya Pasaka. Kama kichwa cha habari kinavyojieleza naomba msaada nataka kuanza kilimo cha maharage na target yangu ni kupata gunia zisizopungua 100, naomba kusaidiwa ni hekali ngapi zitanifikisha katika hyo target? Palizi yake ni mara ngap, mavuno ni baada ya...
  19. JamiiForums Tanzania Msaada: Course Outline ya Foundation kwa Open University

    Habari guys, Naomba msaada wa course outline ya foundation course idara ya elimu sayansi Kwa walio wahi/ wanao soma Open university of Tanzania (OUT)
  20. JamiiForums Tanzania Msaada, Naulizia power tiller zuri,lenye nguvu kwa pesa ya Mtanzania

    Wasalaam.. Heri ya pasaka kwa wakristo na waislam tuendelee na al-futar ili mradi kila mmoja afanye kinachomfaa na kumpasa.. Leo nimeamka na mood ya kuendeleza mpango wangu wa mwaka (kilimo) na baada ya kufika shambani kutazama shamba nasikitika tu, mazao ni kidogo mno, nimewaza huwenda nyenzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…