Natafuta mchumba (mwanamke)

Wadiz

JF-Expert Member
Nov 10, 2022
5,417
11,073
Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma, mhitimu.

Japo ni kwa mapenzi ya kweli na dhati, ila napendekeza kuishi kama wapenzi Kwa miaka kwanzia 1-2, umate umate sina kivile, huduma zangu kwa kuanzia kodi ya kula elfu5 kila siku, bajeti emergency kwa mwezi elfu 50, kodi ya kula sitoi yote ntatoa kila siku, na hiyo elfu 50 itasubiri shida mfano saloon, unashida ya kuumwa etc, naweza kumtafutia kadi ya bima.

Uelewa, uvumilivu, utii, unyenyekevu, na heshima ni nguzo za kike na mahusiano.

Masister duu, mademu wa insta, TikTok, walevi wa WhatsApp na takataka zingine sina mzuka nao. Kila kitu iwe kiasi.

Kipato changu kawaida sana japo cha ajira ya kudumu.

Ukija inbox uliza maswali ya msingi ntajibu yote. Uje kwa dhamira ya dhati ya Mungu kama ilivyo dhamira yangu.

Maswali yanayoakisi vigezo vya Mungu na vya kudumu. Maswali ya Ibilisi ntapotezea. Tutaongea mengine inbox.

Location: Nipo Moro, mwanamke akiwa wa Morogoro au DSM ni poa zaidi. Kwa mwenye maombi ya Mungu popote ulipo wewe ni mke wangu usiogope ongea na Mungu.

Age Simba SC. Fan mnazi shazi shaz Scania 40.

Ubachelor ni dhambi kuu. Tuikatae kwa nguvu zote.

Umri sibagui fungamanisha mimi 40 so jipimie mwenyewe. Dini na makabila ni ya Mungu na huu mpango pia naukabidhi kwake.

Dharau, kejeli, matusi, masimango, kuvunja moyo nakaribisha vyote. Kujifunza siyo kwa kudekezwa tu. Uwe huru kucomment.

Tiba ya moyo ni maudhui ya moyo wenyewe.

Email: shazwadiz@gmail.com
 
Eti 'nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala'
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
 
Habari habari naingia na kiu na haja ya moyo. Nahitaji mwanamke binti asiye na mambo mengi asiye na mtoto (asiye legend wa labor), nyonyo ngumungumu sio nyonyo lala, si kwa ubaya awe mfanyakazi, mwanafunzi wa chuo, kamaliza form six, cheti, diploma,, mhitimu. Japo ni kwa mapenzi ya kweli na dhati, ila napendekeza kuishi kama wapenzi Kwa miaka kwanzia 1-2, umate umate sina kivile, huduma zangu kwa kuanzia Kodi ya kula elfu5 kila siku, bajeti emergency Kwa mwezi elfu50, Kodi ya kula sitoi yote ntatoa kila siku, na hio elfu50 itasubiri shida mfano saloon, unashida ya kuumwa etc, naweza kumtafutia kadi ya bima.

Uelewa, Uvumilivu, Utii, unyenyekevu, na Heshima ni nguzo za kike na mahusiano.

Masister Duu, mademu wa insta, TikTok, walevi wa WhatsApp na takataka zingine sina mzuka nao.
Kila kitu iwe kiasi.

Kipato changu kawaida sana japo cha ajira ya kudumu.

Ukija inbox uliza maswali ya msingi ntajibu yote. Uje Kwa dhamira ya dhati ya Mungu kama ilivyo dhamira yangu.

Maswali yanayoakisi vigezo vya Mungu na vya kudumu. Maswali ya Ibilisi ntapotezea.

Tutaongea mengine inbox.

Location: Nipo Moro, demu akiwa wa Moro au DSM ni poa zaidi. Kwa mwenye maombi ya Mungu popote ulipo wewe ni mke wangu usiogope ongea na Mungu.

Age Simba SC. Fan mnazi shazi Shaz Scania 40.

Ubachelor ni dhambi kuu. Tuikatae Kwa nguvu zote.

Umri sibagui fungamanisha mimi 40 so jipimie mwenyewe.

Dini na makabila ni ya Mungu na huu mpango pia naukabidhi kwake.

Dharau, kejeli, matusi, masimango, kuvunja moyo nakaribisha vyote.
Kujifunza sio kwa kudekezwa tu.
Uwe huru kucomment.

Tiba ya moyo ni maudhui ya moyo wenyewe.

Email: shazwadiz@gmail.com
Sio twapeli lakiniπŸ₯±
 
Mzeya ngoja nikupe mrembo mmoja yeye anataka kodi hiyo ya buku tano kwa siku.
Mie nimemshindwa ila mtamu kinoma nilionja mara mbili
 
Eeee chuchu ziwe zimesimama na kupewa 5000 kasoro 2000 iwe aftatu
Miaka miwil unachakata mbususu ya mrembo oa tu mkuu
Nimekuwa halisia zaidi angalia ajira nyingi hata za vibarua, maduka na etc, si mpango wa kununua na nadhani nimekosea kusema hata hilo Kwa muktadha hasa wenye kumpendeza Mungu sitarajii mwanamke hata aitazame hio kama motisha.

Muhimu ni dhamira njema, ya dhati, ya kudumu ipasayo vema Kwa Mungu
 
Mzeya ngoja nikupe mrembo mmoja yeye anataka kodi hiyo ya buku tano kwa siku.
Mie nimemshindwa ila mtamu kinoma nilionja mara mbili
Hatarias sana yupo DSM au Moro, those that are pro finances niwakora sana. Niko na kiu na ambae ako na mpango mwema kbsa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom