Mrembo Kim Nana kuja na strippers club!

Poker

JF-Expert Member
Oct 7, 2016
5,275
14,049
Mrembo matata nchini ambaye ni tajiri na ana connection na mamilionea wengi wa uingereza na marekani, sasa amepanga kuwekeza kwenye strippers club ili watu wapate burudani.

Awali inasemekana kwamba club hiyo itamgharimu takribani bilioni zaidi ya 5 za kitanzia ili kukamilika na iwe na mwonekano wa kuvutia watu wa mataifa mbali mbali.

Akizungumzia namna atawapata mamodels wa hiyo club mpya anasema tayari wapo ni swala la vibali ili akipata go ahead aendelee na uwekezaji.

Pia alisema katika huo uwekezaji anashirikiana na partners wake wengine.

Pichani ni tajiri Kim Nana

Screenshot_20230202-123741.jpg
Screenshot_20230202-124059.jpg
 
Enzi za Makonda zilifungiwa kwa sasa Makonda hayupo acha mambo mazuri yarudi tukasafishe macho,
Maisha yenyewe ndio haya haya.
For sure hayo ndio maendeleo yenyewe sijui kwanini hatutaki kupiga hatua na kuziona hizo club hazifai ilihali waendaji au wateja wapo.
 
Back
Top Bottom