Mrejesho: Sina Mimba

May 12, 2018
57
53
Jamani kwema?

Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.

Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
 
Usisahau kupima na UKIMWI.
Ngono kabla ya ndoa ni hatari sana
 
Jamani kwema?

Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.

Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
Wee pokea tuu shahawa hovyo hovyo 🤣🤣🤣🤣🤣
 
Jamani kwema?

Nimerudi na mrejesho Mimi ni yule niliyeuliza mimba imenasa? Nilisema niliingia bleed tarehe 26 mwezi wa kwanza nikasex tarehe 7 mwezi wa pili na akamwagia ndani jamani nimepima leo mara mbili kipimo kimeonesha mstari wa pink mmoja yani sina mimba.

Asanteni kwa kunifariji Ile siku nilivyo post sahivi ntakua makini sanaa.
Shahawa zake hazina kasi. Hizo zitatinga Mimba hadi yai likiwa limeshasogea mlangoni.
 
Subiri uone kama mwezi huu utaingia p kwasabab hiyo tareh 7, Ni Siku ya hatar hivo vipimo haviaminikia asilimia 100 hasa jibu likija negative.
 
Back
Top Bottom