mradi

  1. Masokotz

    JamiiForums Tanzania Mradi mkubwa wa kutengeneza jua kama chanzo cha Nishati huko Ufaransa waanza

    Habari Watanzania' Mataifa zaidi ya 35 ulimwenguni mengi yakiwani ya Ulaya yameanzisha mradi mkubwa sana wa kutengeneza teknolojia kwa ajili ya kufua nishati kwa kutumia mbinu kama inayotumika na jua-Nuclear Fission. Teknolojia hio inalenga kutengeneza clean energy na ni salama zaidi kuliko...
  2. S

    JamiiForums Tanzania Baada ya kushindwa, Mchungaji lazima ataanika kilichotokea hata ikibidi kwa kutotumia lugha ya moja kwa moja mradi tu ajisafishe mbele ya waumini

    Kwa jinsi alivyo-handle issue ya kijana yule wa Koromije kipindi kile, inaonyesha ni mtu asiekubali kushindwa au kusema akae kimya jambo lipite hasa iwapo ana taarifa au ushahidi wa kutosha kuhusu jambo husika. Kwa msingi huo, kama kuna figisu zilifanyika kumbeba mtoto wa dada,basi nina uhakika...
  3. Meneja Wa Makampuni

    JamiiForums Tanzania Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC?

    Mada: Ni mradi upi ungerudisha mtaji wa uwekezaji kwa TPDC kwa haraka zaidi Habari za leo wa kuu, Mimi ni kijana wenu, leo nimekuja na mada hii yenye tija kwa taifa. Taifa letu linayo gesi asilia ambayo, ina matumizi mengi 1. Gesi asilia inatumika kupikia majumbani 2. Gesi asilia inatumika...
  4. No Escape2

    JamiiForums Tanzania Mradi: Mbolea ya kinyesi cha Binaadamu

    Wakuu nisiwachoshe sana, Naomba mwongozo kwa anaeweza kunisaidia kuanzisha kiwanda cha uzalishaji mbolea hii adimu kuhusu malighafi ipo ya kutosha! Mnisaidie pa kuanzia ili niweze kuandaa mashine, mtaji na jambo lolote ambalo mnahisi litanisaidia kunzisha mradi huu na pia Alie tayari kuungana...
  5. dosama

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Stieglers: Mwarabu anaharibu mradi hana utaalam wala ujuzi wa kujenga bwawa, italeta hasara kubwa kwa taifa na ubora hafifu

    Naongea kama mwananchi na kushauri kuwa kumwendekeza huyu mwarabu wa Egypt's ni hasara kwa taifa na uharibifu wa mradi na uasili wake wa stiegler's gorge unapotea kwa sababu zifuatazo. 1. Hawa waarabu wa Misri kutoka Elsewedy electric na Arab contractors kutoka Misri hawana utaalamu wowote wa...
  6. Kennedy

    JamiiForums Tanzania Rais amefanya ziara Kisarawe na kuzindua Mradi mkubwa wa Maji Wilayani humo

    Rais Wa Jamhuri Ya Muungano Wa Tanzania, Leo Atafanya Ziara Wilayani Kisarawe Kuzindua Mradi Mkubwa Wa Maji. Ambao Utawanufaisha Wakazi Wa Kisarawe Hadi Maeneo Ya Ukonga, Pugu Bila Shaka Tutaaambiwa Mapya Mengi Kuhusu Maendeleo Ya Nchi Yetu. Pia Wakazi Wa Pembezoni Mwa Barabara Atakayopita...
  7. kikoozi

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli tusaidie sisi vijana wasomi kwenye mradi wa SGR

    Habari Mh rais Dr John Pombe Joseph Magufuli, Pole kwa majukumu mazito ya nchi kwa maana ya kitaifa na kimataifa kwa ujumla. Awali ya yote tunatoa pongezi za dhati kabisa kwa serikali yako ya awamu ya tano, chini ya uongozi wako kwa kazi nzuri ulizozifanya na unazoendelea kuzifanya katika...
  8. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Polisi yashikilia wawili kwa madai ya kuhujumu mradi Ziwa Victoria

    JESHI la Polisi mkoani Tabora limewatia mbaroni watu wawili kwa tuhuma za kuhujumu miradi ya maji ukiwamo wa Ziwa Victoria kwenda mkoani humo katika operesheni iliyofanywa na jeshi hilo. Akitoa taarifa kwa vyombo vya habari, Kamanda wa Polisi Mkoani wa Tabora, Barnabas Mwakalukwa, alitaja...
  9. Maboso

    JamiiForums Tanzania Picha: Mradi wa Uzalishaji Umeme wa Upepo (Wind energy) wa Megawati 2.4 Mkoani Iringa

    Pichani ni mradi wa umeme kwa njia ya upepo ukiendelea kujengwa katika kijiji cha Usokami mkoani Iringa.
  10. CCM MKAMBARANI

    JamiiForums Tanzania Mkambarani-Morogoro: Wizi, hujuma na ufisadi usiochukuliwa hatua na viongozi kuhusu mradi wa maji

    Habari zenu wakuu wangu?.(Mh.Lowata Ole Sanale- Mkuu wa mkoa),Mh.Regina Chonjo-Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Katibu Mkuu wizara ya Maji Mh.Kitila Mkumbo na wote mnaohusika bila kuwasahau Wana-JF mtakaounga mkono uzi na andiko hili muhimu. Bila shaka ni wazima wa Afya Kuhusiana na kichwa cha...
  11. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Hivi mradi wa BRT kwenda Mbagala kwanini unasuasua mno, shida ni nini hasa?

    Nikiangalia jinsi BRT phase I iliyotekelezwa na Strabag na nikilinganisha hii BRT phase 3 ya kwenda Mbagala naona kuna utofauti mkubwa sana katika ufanisi wa kiutendaji. Niombe kuuliza wale walio ndani kwenye system kabisa, ndani ndani huko, nini kinaendelea? Update: April 2023 Update...
  12. B

    JamiiForums Tanzania 'Timu ya Taifa' ya Wahandisi katika mradi wa Umeme Rufiji

    Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji linatotegemewa kuzalisha 2115 MW wa umeme Tanzania. Mhandisi Robert anaitaja timu hiyo ya watu 21...
  13. mamayoyo1

    JamiiForums Tanzania Ufaransa yaipatia Serikali mkopo nafuu kujenga mradi wa maji mjini Morogoro

    Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo la Ufaransa (AFD) zimetiliana saini mkataba wa mkopo wenye masharti nafuu wa Euro milioni 70, sawa na takriban shilingi za Tanzania bilioni 175.6 kwa ajili ya kugharamia Mradi wa Maji Safi na Usafi wa Mazigira Mjini Morogoro (MORUWASA). Mkataba wa...
  14. Hata Sina kinyongo

    JamiiForums Tanzania Hivi ule mradi wa urenium huko mto mkuju wilaya ya Namtumbo mkoa wa Ruvuma uliishia wapi!?

    Mapema mwaka 2011 mradi ule ulishika kasi sana na hata kupelekea makampuni ya Mantra na Uranex kuanza kuajili nguvu kazi kwa ajili ya utekelezwaji wa mradi ule. Lakini kwa miaka ya hivi karibuni si tu mradi ule unaendelea pia hata kusikika tu uendelezwaji wake ni kimya! Ni kipi kiliukumba...
  15. Jidu La Mabambasi

    JamiiForums Tanzania Mhariri "Daily News" sasa unatia aibu! Yapi Merzeki na mradi wa Umeme , wapi na wapi?

    Gazeti la leo 15/3/2020, front page Daily News. Picha ni nzuri lakini ati anayejenga mradi huo ni Yapi Merzeki!!!!!!! Mhariri naona amechok kazi. No proof reading na anabeba tu makosa ya waandishi wake. Hakumbuki gazeti hili la serikali linasomwa dunia nzima.
  16. mkiluvya

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu afurahishwa maendeleo ya ujenzi wa mradi wa umeme mto Rufiji

    WAZIRI MKUU AFURAHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA MRADI WA UMEME MTO RUFIJI: Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kuwa kazi ya Ujenzi wa Mradi wa Kufua Umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wa megawatts 2115 inayofanyika katika eneo la Bonde la Mto Rufiji ni kazi ya uhakika na...
  17. Stuxnet

    JamiiForums Tanzania Asilimia 66% ya Bajeti ya Wizara ya Nishati na Umeme yaenda kwenye Mradi wa Stiglers. Je, imekaaje kiuchumi?

    Naomba wachumi mje mtujuze athari za Bajeti ya 2020/21 kwenye sector ya nishati elekezwa kwenye mradi mmoja wa Nyerere Hydro Electric Power huko Rufiji. Kama siyo mchumi soma na upite. Angalia kiambatisho hapo chini.
  18. Chagu wa Malunde

    JamiiForums Tanzania Mradi wa REA umeipatia CCM kura 50% kabla hata ya uchaguzi

    Kitendo cha serikali ya rais John Pombe Magufuli kuongeza pesa nyingi na kuwepo na usimamizi mzuri wa mradi wa REA tayari chama cha mapinduzi kimeshajizolea kura kwa 50% za urais hata kabla ya uchaguzi. Hii ni kwa sababu mpaka sasa ni 72% ya vijiji hapa Tanzania vimeshawekewa umeme. Nyumba za...
  19. Superbug

    JamiiForums Tanzania Naamini mradi mkubwa kama Stiegler's Gorge haukosi dhahabu. Je, kama ndivyo zinaenda wapi?

    Jamani tuambiane ukweli hivi mradi mkubwa wa kuchimba eneo kubwa vile kama stiglaz goj utakosa madini kweli? Je, serikali inalijua hili na Kama hailijui basi ilifanyie kazi. Kama inalijua basi tuiulize je Kama Kuna dhahabu madini hayo yanaenda wapi? Isije ikawa mradi unajilipa wenyewe halafu...
  20. senicoms

    JamiiForums Tanzania Jifunze kuandaa andiko la mradi

    JIFUNZE KUANDAA ANDIKO LA MRADI. (SOMO LA MSINGI) MAMBO YA KUZINGATIA KATIKA MUUNDO WA ANDIKO LA MRADI NA TAARIFA ZA MSINGI KUHUSU ANDIKO LA MRADI Je, unaweza kuandika kwa ufupi mambo ya msingi yahusuyo mradi wako? ambayo yanaweza kusomeka kwa wepesi na haraka? yanayoweza kueleweka baina ya...
Back
Top Bottom