Serikali iwalipe pesa yao Strabag ili mradi wa barabara Isaka-Lusahunga kipande cha Nyakanazi-Lusahunga kikamilishwe

Cyangungu

Member
Joined
Nov 7, 2019
Messages
45
Points
125

Cyangungu

Member
Joined Nov 7, 2019
45 125
Nipo safarini kurejea kwetu Cyangungu,Kamembe Rwanda lakini hii adha ya kipande cha barabara tajwa hapo juu ni kero!

Toka juzi maroli yamekwama na njia mbadala imeharibika vibaya kwa sababu ya mvua na mkandarasi inadaiwa anadai pesa zake na amegoma kumalizia kipande kifupi tu cha km 5 hadI alipwe pesa yake.ni aibu!

Barabara muhimu kama hii kiuchumi ni fedheha kuwa hivi ilivyo leo.

Shime JPM hebu walipe chao STRABAG ili wamalizie hicho kipande.
 

Forum statistics

Threads 1,380,810
Members 525,890
Posts 33,780,668
Top