mradi

  1. Hivi punde

    JamiiForums Tanzania Hizi ndizo changamoto kuu mbili mradi wa treni ya mwendokasi Dar ~ Moro

    Serikali ina wazo zuri. Serikali imeamua kuleta maendeleo hasa miundombinu ya usafiri. Mradi wa treni ya mwendokasi Dar Moro ambayo itakuwa inasafiri kwa speed ya 160 km/hr ni idea nzuri sana.Tatizo la mradi huu ni :- 1. Umeme wa uhakika muda wote treni iwapo kazini (?) 2. Reli zetu haziko...
  2. Replica

    JamiiForums Tanzania Wazabuni 66 wajitokeza mradi wa umeme wa Stiegler’s Gorge

    Takribani wazabuni 66 kutoka ndani na nje ya nchi wamejitokeza kununua Nyaraka za Zabuni za ujenzi wa mradi wa Umeme wa kiasi cha megawati 2100 katika maporomoko ya maji ya Mto Rufiji (Stiegler’s Gorge) mkoani Pwani hadi kufikia tarehe 19 Septemba, 2017. Mwenyekiti wa Kamati ya kusimamia...
  3. W

    JamiiForums Tanzania Tanzania yakataa agizo la UNESCO la kuitaka kusitisha ujenzi wa mradi wa Stiegler's Gorge Selous

    Tanzania Yakataa Agizo La UNESCO La Kuitaka Kusitisha Ujenzi Wa Mradi Wa Stiegler's Gorge Katika Pori La Akiba La Selous HAMZA TEMBA - WMU Tanzania imesisitiza uamuzi wake wa kuendelea na mpango wa kujenga mradi mkubwa wa kuzalisha umeme katika maporomoko ya mto Rufiji (Stiegler's Gorge Hydro...
  4. tutafikatu

    JamiiForums Tanzania Mhe. Rais Magufuli Kufufua Mmoja wa Mradi Mkubwa wa Kufua Umeme Afrika wa Stiegler's Gorge

    Mheshimiwa Rais wa JMT, John Pombe Joseph Magufuli, ameanza mazungumzo ya kufufua mradi mkubwa wa umeme wa maji katik bonde la mto Rufiji. Mradi huu utazalisha megawatt 2,100 na hivyo kuifanya Tanzania kuwa ni mmoja ya mataifa yanayozalisha umeme kwa wingi barani Afrika. Hongera Magufuli...
  5. Bowie

    JamiiForums Tanzania Hata Kusimamisha Mradi wa Bandari ya Bagamoyo Rais Magufuli aliokoa Taifa

    Mradi wa kujenga Bandari ya Bagamoyo ambao ulikuwa ugharimu dola bilioni 10 ulikuwa ni mzigo mkubwa sana kwa Watanzania. Watanzania tunatakiwa tumshukuru sana Rais Magufuli kusimamisha mradi huo la sivyo ingechukua miaka mingi sana kuilipa China mkopo wa ujenzi wa bandari hiyo ambayo isingekuwa...
  6. Complex

    JamiiForums Tanzania Kwanini TANESCO hawatekelezi STIEGLER'S Gorge project?

    Hakuna sehemu yoyote duniani kwenye umeme wa bei rahisi kama umeme wa Maji (Hydroelectrity). Nchini mwetu Tanzania tumepata bahati ya kuwa na vyanzo vingi vya maji na maporomoko mengi ambayo tungeweza kuyatumia kuzalisha umeme. Baadhi ya maporomoko hayo tumwyatumia, mengine bado hatujayatumia...
Back
Top Bottom