Mradi wa maji Jet Buza umekwama?

Chagu wa Malunde

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
8,708
5,711
Serikali ilisema inatekeleza miradi mikubwa ya maji ili kuondoa kero za maji kwa maeneo ambayo mtandao wa maji wa Dawasa haujafika.

Moja ya maeneo ambayo miradi hiyo ni mradi wa jet mpaka Buza jijini Dar es salaam.lakini mradi huu umesimama na mabomba yameshatandazwa mpaka jet kutokea Buza. Sasa wakazi wa buza ambao kwa sasa wana shida ya maji na hulipa mpaka sh 3000 kwa unit kwa wauza maji wenye visima.

Kwa nini serikali isiukamilishe huu mradi ili kusaidia wananchi. Au zilikuwa mbwembwe za Prof kitila wakati fungu halipo?
 
Back
Top Bottom