Masokotz
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,494
- 5,529
Habari Watanzania'
Mataifa zaidi ya 35 ulimwenguni mengi yakiwani ya Ulaya yameanzisha mradi mkubwa sana wa kutengeneza teknolojia kwa ajili ya kufua nishati kwa kutumia mbinu kama inayotumika na jua-Nuclear Fission.
Teknolojia hio inalenga kutengeneza clean energy na ni salama zaidi kuliko teknoljia nyingine.
Chanzo: BBC
Je, kama taifa habari kama hii inatuambia nini kuhusu uelekeo wa dunia? Ni wakati wa kuwa na maono makubwa