mradi

  1. Jaji Mfawidhi

    JamiiForums Tanzania UDART Jangwani ni mradi wa Mtu, kelele za chura hazizui Tembo kunywa maji!

    Eneo la Jangwani ilipo Karakana ya Mwendokasi imekuwa ikipigiwa kelele muda mrefu na wadau wa mazingira kuwa ujenzi wake haukuzingiatia tathmini iliyofanywa na NEMC wala haukuzingatia sheria za mazingira. Baadhi ya sheria zinazotajwa kukiukwa katika ujenzi wa karakana hiyo ni Sheria ya...
  2. 2019

    JamiiForums Tanzania Baada ya BRT kukosa mabasi mradi wa Mbagala waanza kuchakaa kabla ya uzinduzi pamoja na kwamba umekamilika kwa 99.9%

    Nasikitika nchi hii haina waandishi wa habari za kiuchunguzi kama zamani. Mradi wa mabasi yaendayo kasi Mbagala umeanza kuchakaa tayari kabla ya kuzinduliwa. Zege lina majani, michanga kama vile limejengwa 80s, vituo vinapigwa vumbi tu. Pikipiki na Bajaji ndio zimejimilikisha njia hiyo...
  3. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Dkt. Doto Biteko: Mradi wa JNHPP unatarajiwa kuingiza Megawati 235 katika Gridi ya Taifa mwezi huu

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko, leo Februari 19, 2024 amewasili mkoani Mbeya kwa ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Songwe, Dkt. Biteko amepokelewa...
  4. Huihui2

    JamiiForums Tanzania Petition: Mradi wa Maji Kutoka Ziwa Victoria Uitwe Edward Lowassa Channel

    Mengi yamesemwa kuhusu mchango wa Edward Lowassa akiwa Waziri wa Wizara mbalimbali na akiwa Waziri Mkuu. Katika mazuri aliyofanyia Taifa ni kuongoza nchi za ukanda wa mto Nile (Riparian states) kupinga Mkataba wa Waingereza na Egypt wa mwaka 1929 kuhusu matumizi ya maji ya mto Nile...
  5. Nyankurungu2020

    JamiiForums Tanzania Mafisadi wa CCM hawataki mradi wa JNHPP ukamilike kwa makusudi. Angekuwepo Hayati Magufuli ungekuwa umekamilika

    Mambo mengi yanaendelelea nyuma ya pazia huko. Kuna dili la majenereta lilipigwa. Lipo Jenerereta la dharula lilinunuliwa bil 20. Mahindra tech? Kuna watu wanataka wapewe tenda za kuzarisha umeme. Kwa nini tuhangaike kama mradi unaweza kukamilika kwa wakati?
  6. F

    JamiiForums Tanzania Kama wewe ni kijana mwenye umri usiozidi miaka 22, na una ubunifu au uvumbuzi wa hali ya juu tayari na unatafuta fedha za mradi wako fuatilia uzi huu

    Soma vizuri hadi mwisho na ujaze fomu iliyowekwa mwishoni kabla ya mwisho wa mwezi February. Researchlink International (www.researchlinktz.com) itatoa msaada wa kitaalam wa ku-apply kuongeza uwezekano wa kufaulu. Kuna fursa nzuri ya kupata fedha kutoka kwa kampuni ya Thiel Foundation. Kampuni...
  7. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mbunge Cherehani: Kata 11 Jimbo la Ushetu Kunufaika na Mradi wa Maji wa Ziwa Victoria

    MBUNGE CHEREHANI - KATA 11 JIMBO LA USHETU KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA ZIWA VICTORIA Mbunge wa jimbo la Ushetu Emmanuel Cherehani amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kutoa Fedha nyingi kwaajili ya kukamilisha miradi mbalimbali ya maendeleo...
  8. K

    JamiiForums Tanzania Mradi wa umeme utakaojengwa mto Malagarasi mkoa wa Kigoma

    Juzi niliona uwekaji sahihi kuhusu Mradi wa umeme utakaojengwa Mto Malagarasi mkoani Kigoma. Nilijiuliza, kama tutakuwa na Mradi mkubwa Julius Nyerere Hydro Electric Power ambayo itatosheleza nchi nzima na kuuza ziada, Je ni kwa nini tunapoteza fedha tena kujenga mradi wa umeme kule Malagarasi?.
  9. Roving Journalist

    JamiiForums Tanzania Katavi: Mkandarasi akwamisha mradi wa maji wa Miji 28

    Wakati Serikali inaendelea kutekeleza miradi ya maji hapa nchini ili wananchi waweze kusogezewa huduma ya maji hasa kwa kumtua mama ndoo kichwani, imeeleza kuwa bado baadhi ya wakandarasi wanashindwa kutekeleza miradi hiyi kwa wakati ambapo mradi wa maji unaotekelezwa katika bwawa la Milala...
  10. Arch Barrel

    JamiiForums Tanzania Mkopo kwa ajili ya kuendesha mradi wa ujenzi

    Habari za mchana wanajamvi, mimi ni kujana mwenye miaka 33, katika kujitafuta baada ya mapambano ya muda mrefu ya hapa na pale nimefanikiwa kupata kandarasi ya kutekeleza mradi wa taasisi mojawapo ya serikali. Mradi huo una thamani inayofikia 120M, changamoto inayonikabili kwa sasa ni mtaji wa...
  11. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Maji wa Milioni 550 Watekelezwa Usinge Jimbo la Kaliua

    "Kaka yangu Aloyce Kwezi amekuwa akinielekeza tatizo la maji hapa Usinge. Sasa Kwezi asipoongea itakuwaje. Mnatakiwa kumshukuru na kumpongeza sana, Mbunge wenu ni katika wabunge walio makini sana ndani ya Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amehakikisha amesemea Usinge mpate mradi wa maji"...
  12. peno hasegawa

    JamiiForums Tanzania KM 2000 za barabara kuanza kujengwa kwa mtindo wa EPC +F mradi huu umefikia hatua Gani?

    Kuna siku niliona mikataba ya miradi hii ikisainiwa. Miradi hii imefikia hatua Gani? Ni mwaka Sasa umepita tangu nione miradi ikisainiwa.
  13. S

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

    Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika. Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba...
  14. Miss Zomboko

    JamiiForums Tanzania Lushoto: Wazee wakausha maji baada ya mradi kuanzishwa bila kupewa taarifa

    Wakazi wa Kata ya Kwekanga wilayani Lushoto mkoani Tanga wamekumbana na ukosefu wa maji baada ya wazee wa kata hiyo kudaiwa kuzuia chanzo cha maji kutotoa maji hadi kufanyike tambiko, baada ya mkandarasi kuanza mradi bila kuwashirikisha. Akizungumza katika mkutano wa hadhara, Meneja wa Mamlaka...
  15. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Waziri Kairuki Akagua Ujenzi wa Mradi wa Nyumba Msomera

    WAZIRI KAIRUKI AKAGUA UJENZI WA MRADI WA NYUMBA MSOMERA Asisitiza Serikali ya Rais Dkt. Samia Suluhu inalenga kuboresha maisha ya wananchi Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) amekagua mradi wa ujenzi wa nyumba katika kijiji cha Msomera Wilayani Handeni kwa ajili ya...
  16. Ndagullachrles

    JamiiForums Tanzania Mradi wa Kiberenge mlima Kilimanjaro kwa faida ya nani

    Wadau wa sekta ya utalii katika mikoa ya Kilimanjaro na Arusha,wamepaza sauti wakitaka mchakato wa mradi wa ujenzi wa kiberenge ndani ya Hifadhi ya Taifa ya Mlima Kilimanjaro usitishwe . Kwamba mradi huo ambao utahusisha viberenge 40 katika Njia za Machame na remosho umegubikwa na changamoto...
  17. Analogia Malenga

    JamiiForums Tanzania Jenereta la kwanza la mradi wa Mwl. Nyerere kuanza kufanya kazi Januari 2024

    Jenereta ya kwanza kwenye Mradi wa Umeme wa Maji wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye jumla ya megawati 2,115 itaanza kufanya kazi mwezi ujao, ikileta Tanzania karibu kufikia ndoto yake ya kumaliza ugavi usio wa uhakika wa umeme na kuwa nchi inayouza umeme. Ikiwa mtambo huu mkubwa utafanya vizuri...
  18. A

    JamiiForums Tanzania DOKEZO Mradi wa Mabweni ya Wasichana Sekondari ya Langiro umetelekezwa

    Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike hususan wale wanaotoka vijiji vya mbali na shule...... Mh DED MBINGA na DC kamilisha hostel hizi...
  19. Uchumi TV

    JamiiForums Tanzania Yanayojiri: Uzinduzi Mradi wa TACTIC awamu ya pili Desemba 15, 2023

    Leo Desemba 15, 2023 kuna Hafla ya Utiaji Saini Mikataba ya Usanifu wa Miradi ya Uboreshaji Miundombinu ya Miji Tanzania (TACTIC) Kwa Miji 15 ya Kundi la Pili (Tier 2) itakayofanyika Mjini Bukoba Mkoani Kagera. Miji itakayotekeleza TACTIC Awamu ya Pili ni; Babati, Iringa, Bukoba, Bariadi...
  20. Stephano Mgendanyi

    JamiiForums Tanzania Naibu Waziri Mahundi: Zaidi ya Watu 233,000 Kunufaika na Mradi wa Maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama

    NAIBU WAZIRI ENG. MAHUNDI: ZAIDI YA WATU 233,000 KUNUFAIKA NA MRADI WA MAJI WA MUGANGO- KIABAKARI-BUTIAMA. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi amewataka wakandarasi wa mradi wa maji wa Mugango - Kiabakari - Butiama waweze kukamilisha utekelezaji wa ujenzi wa mradi huo ili wananchi...
Back
Top Bottom