DOKEZO Mradi wa Mabweni ya Wasichana Sekondari ya Langiro umetelekezwa

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
A

Anonymous

Guest
Mradi wa hostel za wasichana katika shule ya sekondari Langiro umetelekezwa, mradi huu ulivyoanzishwa ni zaidi ya miaka 4 sasa haujakamilika hivyo kusababisha athari kubwa sana kwa watoto wa kike hususan wale wanaotoka vijiji vya mbali na shule......

Mh DED MBINGA na DC kamilisha hostel hizi ili watoto hawa wa kike waweze kuishi karibu na shule ili tuweze kupunguza utoro,mimba n.k
 
Back
Top Bottom