DOKEZO Mradi wa REA uliopo Tanga, Lushoto Bumbuli, Kata ya Funta kijiji cha Manga ni mwaka wa 3 haujakamilika

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

scoss

New Member
Dec 20, 2023
2
1
Mradi wa REA uliopo TANGA, LUSHOTO BUMBULI, kata ya FUNTA kijiji cha MANGA. Ni mwaka wa 3 mradi haujakamilika.

Tulifika mpaka TANESCO wilaya kuwaeleza hawajafanya chochote (kama pesa za mradi zimeliwa basi) kama kitongoji kimoja hakimalizi nguzo 10 mwaka wa 3 mradi haukamiliki, basi tunaiomba SERIKALI kama imeshindwa kumalizia mradi huu waje watoe nguzo zao tuendelee na mambo mengine tumechoka. 😔

Screenshot_20240113_010058_Files by Google.jpg
Screenshot_20240113_010031_Files by Google.jpg
Screenshot_20240113_010012_Files by Google.jpg
Screenshot_20240113_010107_Files by Google.jpg
Screenshot_20240113_010121_Files by Google.jpg
 
Sio nguzo zina mvua tatu maana mradi haukamiliki mwaka wa 3. Wanakuja wanaweka nguzo chini wanaondoka. Mara wanakuja wanaangalia wanabeba nguzo na vifaa vingine wanapeleka site nyengine. Kuna wenzetu mradi tuliwatangulia mpaka sasa mradi ulishaisha muda wanatumia umeme na hawakufikisha hata miezi 6.
 
Back
Top Bottom