mpya

  1. F

    JamiiForums Tanzania Jinsi vijana wanavyotengeneza pesa kila siku kwa kutengeza maudhui TikTok

    Habari wadau, Nilikuwa nawadharau sana vijana wanaoimbaimba na kucheza cheza TikTok. Nawaona wapuuzi hawana kazi ya kufanya na wajinga. Mtoto wa shangazi yangu ni mmojawapo wa hao wapuuzi wa TikTok. Ana followers laki 6 huko TikTok. Ni binti ana miaka 21 na anasoma chuo kikuu kimojawapo...
  2. K

    JamiiForums Tanzania Waziri aliyepata ajali mbaya Aibukia Mbeya akiwa mpya kabisa.

    Yule naibu Waziri,Dugange anayesemekana alipata ajali mbaya sana yenye utata mwingi,leo asubuhi ameibukia kwenye viwanja vya nane nane, Mbeya akionekana mwenye bashasha na afya tele, Akiongozana na Television ya Taifa ameonekana akitoa nasaha zenye busara nyingi ambazo zimekuwa covered vyema na...
  3. JamiiForums Tanzania Kwenye Katiba Mpya tulikatae neno "uchochezi"

    "Uchochezi", hili ni neno pana sana ambalo hutumika kwenye nchi za kidikiteta, madhumuni yake ni kuwabana wapenda haki ili wananchi waweze kukandamizwa kwa kunyimwa haki zao! Kinachotokea ni kuwa ukitaka nchi iwe na katiba mpya mtawala haitaki hivyo unayeitaka atakuita mchochezi kisa, ni...
  4. JamiiForums Tanzania CHADEMA watashiriki Uchaguzi Mkuu wa 2025 bila katiba mpya

    Tundu Lissu amewarai wananchi kuichagua CHADEMA katika uchaguzi wa serikali za mitaa 2024 na uchaguzi Mkuu 2025 ili tuweze kupata katiba mpya itakayolinda rasilimali zetu na kumuwajibisha Rais asiyezingatia kiapo chake cha kulinda katiba na sheria za nchi. Hayo ameyasema alipowahutubia wananchi...
  5. JamiiForums Tanzania Mapinduzi Afrika yamefungua ukurasa mpya, chaguzi zetu zimeporwa na wazungu

    Ukiangalia watu wanaliofanya na kushangilia mapinduzi kule Burkina Faso, Mali na Niger ni vijana ambao sanduku la kura limeshindwa kuwapatia viongozi wanaowachagua. Chaguzi zetu zinafadhiliwa na wakoloni wetu wa zamani kwa manufaa yao. Chaguzi zetu ni mwanya wa kupenyeza mamluki kwenye uongozi...
  6. JamiiForums Tanzania Mshambuliaji mpya Yanga SC Hafidh Kounkon: Nachukia Klabu ambazo zinapenda Kuroga na Uchawi

    "Mimi ni Mtu wa Imani (Dini) sana na sipendi tabia ya Vilabu vingi vya Afrika kupenda Kuroga na Kuamini Uchawi na nikiwa katika Timu yenye huu Utamaduni nitawakatalia na ikiwezekana hata kuomba Kuondoka" amesema Mshambuliaji mpya wa Yanga SC Hafidh Kounkon kupitia Kipindi cha Spoti Leo cha Radio...
  7. JamiiForums Tanzania Hii ngoma mpya ya Harmonize isiponyakua Grammy nitaamini uchawi upo

    Asubuhi wakati naingia harakati nipo ndani ya daladala mara ghafla hili goma likapigwa redioni, ebwanaeee. Kila aboria aliyekuwemo kwenye gari akaamuka kuanza kucheza, wakina mama, wakina baba, vijana, wanafunzi nk, wote wakaachia siti zao wakaanza kuyarudi bila aibu. Kulikuwa na abiria wanne...
  8. JamiiForums Tanzania Petroli na Diesel bei Juu. Dola yaelezwa kuwa sababu ya bei kupaa

    Hali inazidi kuwa Tete,tunarudi Kwa mwaka Jana ====== MAMLAKA ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA), imetangaza bei mpya za mafuta ambazo zinaonesha Petroli imepanda kwa sh. 443 huku Dizeli ikipanda kwa 391 kwa Dar es Salaam. Kwa mujibu wa bei mpya zilizotangazwa leo na EWURA...
  9. JamiiForums Tanzania Muonekano mpya tovuti ya serikali

    Wanajukwaa kwema? kama kichwa cha uzi kinavyosema, ni muda kidogo sijatembelea tovutu ya serikali yetu ya Tanzania, ikiwa na domain tanzania .go.tz. Lengo la uzi nikutaka cha kwanza kupongeza muonekano mzuri wa tovuti kwasasa tofauti na hapo awali, pia kama mdau wa TEHAMA ni kukufahamisha kuwa...
  10. D

    JamiiForums Tanzania SoC03 Uwajibikaji na Utawala Bora: Msingi wa Mchakato wa Katiba Mpya Tanzania kwa Maslahi ya Umma

    UWAJIBIKAJI NA UTAWALA BORA: MSINGI WA MCHAKATO WA KATIBA MPYA TANZANIA KWA MASLAHI YA UMMA Utangulizi Katiba ni waraka muhimu unaounda misingi ya utawala na uongozi wa nchi. Mchakato wa kuandika Katiba Mpya unapaswa kujumuisha uwajibikaji na utawala bora ili kuhakikisha maono ya taifa...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Mbowe, mbona ajenda ya bandari na katiba mpya umeiacha kwenye mkutano wako huko Mutukula?

    Mheshimiwa Mbowe nimefualtilia kwa makini mkutano wako siku ya leo huko Mutukula mkoani Kagera ambapo chama kina operesheni ya +255 Katiba mpya + Okoa bandari zetu. Lakini nimeshangazwa na hotuba yako nzima hukugusia kabisa suala la bandari wala katiba mpya nikashangazwa sana. Iweje Mwenyekiti...
  12. JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Hakuna Rais kwenye nchi hii amewahi kutufanyia kitu mbaya kama Rais Samia

    Wakuu, tupo live leo kutokea Viwanja vya Uhuru, Bukoba kwenye uzinduzi wa Operation 255 Katiba Mpya okoa Bandari Zetu ambapo Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiongozana na Tundu Lissu na John Mnyika pamoja na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho watakuwa wanazungumza. === Chopa...
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mchakato wa Katiba mpya kuanza Sept. 2023. Baaada ya katiba mpya kupatikana Dp world wanafurushwa

  14. JamiiForums Tanzania Nikki Mbishi - Katiba Mpya New Song

    Wimbo wa Ney wa Mitego 'AMKENI' ukiwa unachanja mbuga za YouTube, Msanii Nikki Mbishi nae ametubariki na wimbo alioupa jina 'KATIBA MPYA', sikiliza toa maoni yako.
  15. K

    JamiiForums Tanzania Nay wa Mitego na Ukweli mchungu dhidi ya serikali ya Rais Samia na CCM yao

    Msanii huyu huenda akatekwa ama akafanyiwa figisu kubwa, ukweli daima amekua sauti ya walalahoi kwa muda mrefu, hata enzi za Magufuli hakufunga mdomo, alipaza sauti. Ney wa Mitego, amerudi tena na ukweli mchungu, mtegee sikio kwa dakika 5 ameongea mengi ambayo hakuna kiongozi atafurahia maana...
  16. S

    JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Nay wa Mitego kuhusu bandari views 71,000 ndani ya saa 7

    Wimbo mpya wa Nay wa Mitego unaoitwa amkeni unaozungumzia sakata la Bandari, Ripoti ya CAG na ugumu wa maisha umefikisha watazamaji 71,000 na comments zaidi ya 2,000 ndani ya masaa 7 tu tangu uachiwe hewani
  17. JamiiForums Tanzania Mahesabu app: Kokotoa jumla ya mauzo ya siku

    Hii ni offline app niliyoitengeneza kwa ajili ya matumizi binafsi kwa lengo la kukokotoa jumla ya mauzo ya siku katika fremu yetu ndogo. Nimeiweka Playstore ili kushare na wengine wanaohitaji. Kwa kifupi unavyoanza siku mpya ya biashara unagusa button [J] ili kufungua jalada mpya na utaona...
  18. JamiiForums Tanzania Mali: Katiba Mpya yaondoa Kifaransa kama lugha rasmi

    Katiba mpya ya Mali imeondoa Kifaransa, ambacho kimekuwa lugha rasmi ya nchi hiyo ya Afrika Magharibi tangu mwaka 1960. Chini ya Katiba Mpya iliyopitishwa kwa wingi wa asilimia 96.91 ya kura katika kura ya maoni ya Juni 18, Kifaransa si lugha rasmi tena. Kifaransa itakuwa lugha ya kazi kuanzia...
  19. H

    JamiiForums Tanzania Features mpya kwenye WaGPTbot - Telegram

    1. Kubadili table zilizopo kwenye hardcopy pamoja na zile ambazo zimeandikwa kwa mkono kuwa csv format Sasa unaweza ku_convert table data ambazo zimeandikwa kwa mkono au ziko scanned kwenda kwenye csv format kwa kutumia https://t.me/wagptbot piga picha data zako kisha zitume kwa...
  20. JamiiForums Tanzania Tatizo sio uwezo, Hawa wachezaji wapya wa Simba wameshajiweka kinga kwa msimu mpya?

    Mchezaji anaweza kuletwa hapa Simba yupo vizuri sana ukimfatilia huko alikotoka ila msimu ukianza unakuta uwezo unashuka, majeraha, kukosa namba ilhali yuko poa na vimbwanga vingine sana baada ya kupigwa "VIPAPAI". Hawa wachezaji wapya ni vema wafanyiwe kinga.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…