mpya

  1. JamiiForums Tanzania Nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya 2024 in advance

    Mpendwa, Mary Christmas 🎄 and Happy New Year in advance. Tunapoelekea sikukuu muhimu za Christmas na Mwaka mpya 2024, nachukua fursa hii kukuombea Baraka na Neeema za Mwenyezi Mungu ziambatane nawe katika kila unachokifanya kujiandaa na sherehe hizi pendwa na muhimu, mathalani unajipanga...
  2. JamiiForums Tanzania Dodoso: Bei mpya ya korosho Ruangwa

    Habari wakuu, Nimepata link ya jamaa wa Mtwara anadai korosho zinanunuliwa 1000 kwa wakulima na kwenda kuuzwa 1900 kwenye maghala. Hii ni Fursa wakuu natafuta muwekezaji mmoja tu chapchap tujiridhishe na hizi details tukapige hela. Karibuni kwenye mjadala Cc. Sir midwabada
  3. JamiiForums Tanzania Wimbo mpya wa Israel Mbonyi uitwao "Nitaamini" umejawa upako na matumaini

    Wakuu, Bila shaka mmewahi kuusikia Wimbo wa 'Nina siri na Yesu', ukiimbwa na mwimbaji mashuhuri wa nyimbo za injili kutoka nchini Rwanda mwenye asili ya Congo, Israel Mbonyi. Sasa siku kadhaa zilizopita alitoa wimbo wake mpya ukienda kwa jina 'Nitaamini'. Ni wimbo mzuri mno, lakini napenda...
  4. JamiiForums Tanzania Muonekano mpya wa Windows 11 23hr

    Muonekano mpya baada ya kufanya update ya windows 11 pro kwenda 23h2
  5. S

    JamiiForums Tanzania Kaimu Abdi Mkeyenge: DG mpya wa NIC

    Amefanya vizuri sana kuibadilisha TASAC na Mheshimiwa Rais amwemwamini na kumpa shirika la bima la taifa, NIC
  6. N

    JamiiForums Tanzania Hivi, kuna umuhimu wa kikosi Cha Simba kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya?

    Tumeona misimu miwili Nguvu kubwa imetumika kwenda kuweka Kambi Uturuki kujiandaa na msimu mpya lakini wenzetu Yanga wakijichimbia hapo Kigamboni na maisha yanaenda vizuri tu. Ni muda sasa muda mwingi na fedha za Kambi ziwekezwe kwenye usajili Bora.
  7. JamiiForums Tanzania Uingereza, Marekani zatoa tahadhari mpya ya usalama kuhusu Uganda

    Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa Marekani nao kutoa angalizo linalofanana na hilo. Balozi hizo pia zimewapa angalizo raia wake...
  8. JamiiForums Tanzania Mfumo mpya wa ESS wa uhamisho wa watumishi unahujumiwa kwa makusudi?

    Hilo ndilo tatizo kubwa sababu suala la uhamisho pale TAMISEMI ni rushwa tupu, sasa huu mfumo umekuja kuzuia ulaji wa watu hivyo wameuhujumu taatifa za kuhama na kubadilisha vituo hazipo, yaani hakuna updates zozote zinazoingia.
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba ufafanuzi kuhusu gari aina ya Toyota Raize, IST mpya

    Hii gari ni ist ijayo. Ambaye amewahi kuwa nayo, tunaomba mrejesho.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Mahakama ya Rufaa mfumo wenu mpya ni kikwazo

    Tangu jana Mahakama ya rufaa imeanza kutumia mfumo wake mpya wa ku file kesi online. Mfumo huu umekuwa kikwazo na pia unaflchelewesha mashauri. Mfano kwa kesi ambazo ni za rufaa kutoka mahakama kuu mfumo huu haujaanza kuzipokea. Ukienda pale ku file rufaa yako wanakuambia uache namba ya simu...
  11. JamiiForums Tanzania Tahadhari dhidi ya utapeli mpya mjini

    Kumetokea Watu wanajifanya wanakopesha simu za Mkopo hapa Facebook na kukutaka uwatumie pesa kidogo ili wakutumie bidhaa yako huko mikoani ndugu yangu utapigwa vibaya. Nasema hivyo kutokana na Mimi yamenikuta nimelizwa elfu 50 alafu ni mdada akijifanya katokea Zanzibar kumbe ni matapeli
  12. M

    JamiiForums Tanzania John Boko anaenda Kuandika Historia Mpya Leo!

    Salamu, Leo Novemb 5 2023 Mshambuliaji wa Taifa Captain wa Simba ,John R.Boko.anaenda Kuandika Historia Mpya katika maisha yake ya Soka! Tukutane saa moja jioni! Nakala: Gentamycin...Aione kwenye Faili.
  13. JamiiForums Tanzania Huenda 2024 tukawa na Waziri Mkuu mpya ili kuikamata Kanda ya Ziwa yote na kummaliza mazima Mshindani wa 2025 ndani ya CCM

    Na GENTAMYCINE naendelea Kutabiri kuwa huenda mwishoni mwa 2024 au hiyo hiyo 2024 kukatokea Msiba mkubwa au Tukio Kubwa la Kashfa ambayo itamchafua na kummaliza vibaya Mshindani. GENTAMYCINE naendelea tena Kutabiri mapema 2025 kutatokea tena Vifo vya Waandamizi wa Kati wa Chama ( CCM ) ambao ni...
  14. JamiiForums Tanzania Bilioni 1.8 za Mradi wa BOOST Zakamilisha Ujenzi wa Shule 2 Mpya na Madarasa 25 Halmashauri ya Ushetu.

    Mbunge wa Jimbo la Ushetu, Kahama-Shinyanga, Mhe. Dkt. Emmanuel Cherehani amesema kuwa jumla ya Shilingi Bilioni 1.8 za mradi wa BOOST zimetumika kukamilisha ujenzi madarasa 25 na Shule mpya 2 ikiwa ni Shule ya Msingi Shilabela Iliyopo Kata ya Ulewe Ushetu na Shule ya Msingi Kona Nne iliyopo...
  15. JamiiForums Tanzania Wasafi Record Label kutambulisha msanii mpya katikati ya Novemba

    Katika post iliyowekwa twitter (X) na msanii ambae pia ni mkurugenzi wa Wasafi media na wasafibet, Diamond Platnumz ameonesha kuwa katikati ya November atatambulisha msanii mpya wa mziki wa kizazi kipya. Mapaparazi wengi wakedai msanii huyo uenda ni wa nyimbo za Singeli
  16. M

    JamiiForums Tanzania Interview mpya ya Piers Morgan na Yousef Bassem yasifiwa kwa elimu kubwa juu ya mgogoro wa Palestine

    interview ya kwanza kati ya mwandishi wa habari mashuhuri bwana Morgan na Bassem ilivunja rekodi katika viewership, kwa kuweza kuangaliwa na watu zaidi ya milion 10 ndani ya siku chache. Bwana Morgan anasema kuwa kamwe hajawahi kupata views nyingi namna hiyo. Baada ya mafanikio hayo, Bwana...
  17. JamiiForums Tanzania Simu zinazotumia Teknolojia ya "3D Flaslight Level Camera"

    Katika ulimwengu huu wa teknolojia ya simu za mkononi zenye muundo wa kupangusa zinazobadilika kila wakati kulingana na utandawazi, TECNO Spark 10 pekee ndio simu iliyopiga hatua mbele katika safari hii kwa kuwawekea kipengele cha kisasa kabisa kwenye camera ya mbele kiitwacho “3D FLASHLIGHT...
  18. JamiiForums Tanzania House4Rent NYUMBA MPYA INAPANGISHWA-NGARAMTONI ARUSHA

    Ina vyumba 2 vikubwa self, Ina maji ndani Umeme -Ukuta -Eneo kubwa ndani ya uzio -unaweza kuweka bustani ya mboga, -NYumba ni mpya kabisa. -Eneo iliko ni nyuma ya RC/Shule ya msingi Ngaramtoni, eneo la Kishore. Bei 350,000/= Hakuna udalali Hakuna udalali
  19. JamiiForums Tanzania Kumekucha: EFM Radio kuja na Muundo Mpya wa Kipindi kitakachokuwa Kinawazumgumzia Simba SC tu na siyo Wasiojua Wengine

    Wenyewe ( hasa Watangazaji ) wao Wanasema kuwa hata Rangi za Herufi zao Tatu EFM zina Rangi zinazoshabihiana na Rangi ya Klabu Bora na Kubwa nchini Tanzania na Afrika ya Simba Sports Club. Kipindi hicho Kipya kitaitwa Unguruma na Simba SC ambacho kitakuwa kina Udhamini wa Bia nzuri ya Pilsner...
  20. JamiiForums Tanzania Kwa ambao hawajui, hizi ndizo kazi za Mwenezi wa CCM Taifa. Makonda anajua ana mtu nyuma yake aliyempa maelekezo maalum

    Idara ya Itikadi na Uenezi ya CCM kwa sasa inaongozwa na aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda. Majukumu ya Idara hiyo kama yaliyovyoanishwa kwenye Tovuti ya CCM ni pamoja na; Kushughulikia masuala ya msingi ya Itikadi na Sera za Chama Cha Mapinduzi. Kueneza na kufafanua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…